The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Nimeshangaa kuona Mwenyekiti wa Jumuia ya wanawake CCM hawapo Bungeni?
Nilifikiri wao UWt ndiyo wanapeleka majina ya viti maalum na Mwenyekiti na katibu ndo majina ya kwanza?
Kama zamani wakati wa Sophia Simba?
Why huyu Gaudence Kabaka why sio mbunge viti maalum na wenzie?
Kuna mabadiliko ya kanuni?