Kwanini ushindi wa Democrats ni pigo kwa nchi za Afrika na nyingine zinazoendelea?

Albert Einstein

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
384
560
Kushindwa kwa Donald Trump itakuwa pigo kwa Afrika. Kwa nini nasema hivyo Trump anapinga ushoga, Trump aliwambia marais wa Afrika wajitegemee, Trump alikataa kushambulia mataifa machanga kisa maslahi ya USA, Trump alirejesha majeshi ya Marekani nyumbani na akagoma kuishambulia Iran.

Democrat wanasapoti ushoga 100% ndio wanaongoza kuvamia mataifa mengine, ndio wanaoongoza kuuza drugs duniani, ndio wataalam wa kuchukua rasilimali za mataifa ya Afrika, ndio wataalam wa kuweka mataifa ya Afrika mikononi mwao kwa marais mamluki nk, Rais asipofuata matakwa wanamtoa.

NB: Haya ni mawazo huru, unaweza kuyapinga kwa hoja pia.

Naandaa makala ndefu itakayochapwa kwenye gazeti hivi karibuni, nitaiweka hapa pia.
 
Hicho ni chama kinachopenda democrasia shida sera hii inapingana ya mataifa mengi ya Afrika leo hii tukianza wekewa vikwazo Magufuli atajitokeza na kusema sababu amewabana mabeberu wasituibie Mali zetu hapo hatakuwa ameshasahau wizi wa kura alioufanya.
 
Kushindwa kwa Donald Trump itakuwa pigo kwa Afrika. Kwa nini nasema hivyo Trump anapinga ushoga, Trump aliwambia marais wa Afrika wajitegemee, Trump alikataa kushambulia mataifa machanga kisa maslahi ya USA, Trump alirejesha majeshi ya Marekani nyumbani na akagoma kuishambulia Iran.
Wewe hujui lolote. Bush aliishambulia Iraq ila siyo Democrats
 
Mwalimu Nyerere alipatana sana na John Kennedy na Jimmy Carter. JK na Obama walikubaliana. Na wote hao walikuwa marais kutoka Democratic jee Nyerere na Jk walikuwa wanaunga mkono ushoga?

Mbona awamu hii ya tano ujinga na ushamba umechukua nafasi kubwa kiasi hiki? Ukweli ni kuwa Democratic hawahusudu kabisa viongozi madikteta. Na kwa msimamo huo awamu hii itaonja joto la jiwe.
 
Particularly for the man who crame that "tunatekeleza kwa pesa zetu za ndani, Mungu oyee"

Wakati huo huo "malaria ni hatari kwa watoto chini ya miaka 5," tangazo hili ni kwahisani ya watu wa Marekani
Hii English kwa hisani ya wapi?
 
Back
Top Bottom