Kitendo cha Lissu na ZItto kutembea nchi za Nje na kuipaka matope na kuisaliti nchi yake na wananchi wake ni kitendo cha kinyama na ajabu na hakuna Mwanasiasa wa Upinzani Dunian aliyefanya aibu hiii.
Tumewashuhudia wapinzani wazalendo Dunian kama akina Raila , Joe Biden, Julius Malema etc , huwezi kuona anatoka nje kwenda kuchafua na kunajisi nchi yake, hata kama kuna changamoto ktk inchi yake.
Wanachokifanya akina Lissu na Zitto ni dhambi kubwa ambayo inawachafua wao wenyewe na vyama vyao , na kukosa dhamano kwa wananchi.
Wajitafakari vizuri ni aina gani ya upinzani inahitaji kwa sasa lkn siyo stille hiyo ya usaliti kwa nchi na Kuponda kila kitu na kushindwa kuwaletea maendeleo wananchi.