Leo Mwenyekiti Taifa wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM. Je, tutegemee nini kutoka kikao hiki?
Fuatilia mada hii...
Wakuu, madelo ga wiza;
Katibu wa itikadi na uenezi CCM comredi Polepole alijichukulia umaarufu sana katika kipindi kilichopita wakati wa kampeini hasa kwa matamko yake ya kuwananga wapinzani...
Baraza la Mawaziri limetangazwa Zanzibar lakini nimeguswa na majina matatu Jamal Kassim na Rahma Kassim inasemekena hawa ni watoto wa Mzee Kassim Ali.
Huyu mzee kassim Ali ni nani pale Zanzibar...
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ACT-Wazalendo, vimejitoa katika uchaguzi wa udiwani kata ya Igumbilo, Manispaa ya Iringa uliopangwa kufanyika Desemba 8, mwaka huu.
Kata hiyo...
Wanajamvi,
kuwaita wafadhili wako na wahisani “mabeberu”, na kuitumia hiyo kauli mbiu kwenye siasa, ni sawa na kuwalisha chuki wananchi dhidi ya wafadhili, kwa maslahi ya kisiasa, yale ya binafsi...
Kiukweli sehemu moja muhimu ya kupunguza matumizi ya Serikali ni kuwaondoa manaibu waziri kwani zaidi ya kujibu maswali bungeni huwa sioni kazi nyingine ya maana wanayofanya.
Katika hili...
Mimi sijahama CHADEMA na wala sitegemei kuhama, mimi ni Mbunge mteule kwa hiyo nitawatumikia Wananchi kwa imani ambayo waliniamini, labda chama changu kitakavyoamua kama itakuwa vinginevyo basi...
Natafakari yanayoendelea nchini kisiasa hatuna tena wazee wa hekima wasio na itikadi wenye weledi kushauri.
Kada ya sheria waamuzi katika maandiko walikuwa watu wenye hekima na waliheshimiwa sana...
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limewaachia kwa dhamana watu wanane akiwemo Mtume na Nabii, Boniface Mwamposa wanaotuhumiwa kuendesha kongamano lililosababisha vifo vya watu 20 mjini Moshi...
TAARIFA KWA UMMA
Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na vyombo vingine vya Dola, tarehe 2 Januari 2014 majira ya saa tatu asubuhi kwenye...
Toka serikali ya awamu ya 5 imengia watumishi wa umma zaidi ya laki 5 hawakuwahi kupandishiwa mishahara wala madaraja lakini kuna kundi la watumishi wachache sana nchi hii wameneemeka na serikali...
Hata hatujafika mbali sana, tayari wanaanza kusema waziwazi wenyewe mbinu haramu na za wizi wa kura walizotumia kushinda uchaguzi huu.
Katika video hii inayomwonesha mbunge mpya wa CCM - Jimbo...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Jitihada za kuanzisha na kuboresha upatikanaji wa huduma za kijamii zinazidi kushika kasi ambapo safari hii Serikali imemtua Mama wa Mihambwe ndoo kichwani.
Wakazi wa...
Wana JF, nimejaribu kuwaza sisi Tanzania katika nchi za Africa tunaosemekana kwamba ni "Third World Countries" mara nyingi tumekariri kwamba ili matokeo ya uchaguzi yakubalike na vyama vyote...
Kwa muda mrefu katika ukumbi huu CHADEMA imekuwa ikiitwa (reffered to) kama saccos. Wanaoiita CHADEMA saccos nadhami wana maana kwamba chama kinaendeshwa kwa matakwa ya watu wachache tofauti na...
Ndugu zangu,
Laana au karma sasa imeishika CHADEMA baada ya kupuuza wananchi na kumkumbatia bwanyeye Amsterdam.
Tulionya lakini Makamanda waliamini kuwa Tundu kaja na suluhisho na ghafla...
Mabibi na Mabwana mtu kuutaka Urais ni kwa sababu ana agenda. Ana agenda ya kufanya. Hiyo ndiyo tunapaswa kuisikia na hiyo ndiyo anayopaswa kutushawishi nayo.
Mtu anapewa vipi mamlaka na kisha...
Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya CHADEMA itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19...
Kuna habari inatembea sana kwenye mitandao ya kijamii kwamba kuna mtu anajipambanua kwamba yeye ni msafi na kwamba Serikali ya Rais Magufuli imefuja uchumi wa Taifa
Nashangaa sana ndani ya...