CHADEMA inapitia adhabu ya kuacha nguvu ya Umma na kumkumbatia Robert Amsterdam

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Laana au karma sasa imeishika CHADEMA baada ya kupuuza wananchi na kumkumbatia bwanyeye Amsterdam.

Tulionya lakini Makamanda waliamini kuwa Tundu kaja na suluhisho na ghafla wakadharau wananchi na kuegemea kwa bwanyeye Robert.

Muda umetoa hukumu.
 
Naona vijana wa posho mmeongezeka kwa nguvu sana kupachika bandiko za issues za chadema utadhani bado uchaguzi haujafanyika na rais hajapatikana!
Robert Amsterdam leo amesema nini mkuu? Wakati wa kampeni ilikuwa kila siku lazima mlete update za Beberu lenu Robert Amsterdam au nalo linapambana na stress za Uchaguzi?
 
Hakuna kitu kinachoitwa nguvu ya umma kwa 'Wadanganyika'.

Kupata tu Uhuru toka kwa Mabeberu ni hadi watu fulani wachache walipojitoa muhanga kwa hali, mali na mwili...
 
Back
Top Bottom