Je, Freeman Mbowe akiteuliwa na Rais kuwa mbunge atakataa au mnawabania tu wabunge wa BAWACHA?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,788
2,000
Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya CHADEMA itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?

Ni hako kaswali tu makamanda.

Maendeleo hayana vyama!
 
Lee

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
35,907
2,000
Hizi ndoto za alinachaaa ...nawazaaa

Maendeleo yasiwe ya vyama
 
Jorojik

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
3,162
2,000
Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?

Ni hako kaswali tu makamanda.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashe Mbowe siyo maskini kama wewe, Nape na Mwiligulu. Jikite kuondoa umaskini wako wa kipato ili uwe na free mind.
 
mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,550
2,000
Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?

Ni hako kaswali tu makamanda.

Maendeleo hayana vyama!
Bado mmekomaa na CHADEMA tu , mbona kuna mambo mengi ya kuwashauri viongozi wenu wa ccm. Msiwe wajinga sana

Wekeni mjadala wa elimu ya nchi hii tuone kama tunatoboa kwa mtaala wetu huu, maana vyuo vingi tu lakini tumeshindwa kutoa chumvi katika maji ya chumvi.

Mambo ni mengi au mnataka mawazo kutoka kwetu maana chadema ndio baba wa hoja katika bunge la ccm. Sasa mnawaza hoja za maendeleo mtazitoa wapi?

Hata kuwasahuri ccm tu ishu ya kukatalia maiti za watu kwasababu eti marehemu anadaiwa hela ya matibabu linahitaji mjadala mpana.

Acha ujinga wewe. Ndio maana watu makini wanaona Jf ya sasa ni utopolo tu kwasababu za watu kama nyinyi
 
Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
1,474
2,000
Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?

Ni hako kaswali tu makamanda.

Maendeleo hayana vyama!
Ingependeza yeye na Mbatia waingie bungeni. Ingependeza CDM wapeleke wabunge wa viti maalumu. Kususa sio dawa. Kwa jinsi mambo yalivyo, there is nothing that they could do
 
King Kisali

JF-Expert Member
Nov 20, 2019
772
1,000
We Pimbi Mbowe Hana njaa hiyo , angekuwa na njaa mmefuata Mara ngapi kumnunua Kama kina Silinde , Mwita Waitara , Gekul ,Selasini , Mtulia na akataa na day lenu kama mlilompa Mwita Waitara na mkazidisha hongo ya hell na unaibu waziri , mliposhindwa mkaanza kesi uchwara za akina Akwilina poleni Sana mapimbi wa Lumumba .
 
Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,612
2,000
Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?

Ni hako kaswali tu makamanda.

Maendeleo hayana vyama!
Ajira zenu ni kama zimeshakufa sasa hata posho yenu hapo Lumumba sio muda itasitishwa
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
1,308
2,000
Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?

Ni hako kaswali tu makamanda.

Maendeleo hayana vyama!
Hawezi kukubali maana nje ya siasa mwamba anapesa ya kutosha Sana, hafanyi siasa kwa njaa,japo yapo mengi yamemkuta
Level ya mwamba sio ya nchi hii mkuu ,achana na mbowe
 
nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
1,564
2,000
Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?

Ni hako kaswali tu makamanda.

Maendeleo hayana vyama!
Asikubali p
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
1,308
2,000
Ngoja tuone bwashee!
Tatizo unapo au utumiapo bwa shee , Kama kweli hu mtumishi au sio mtumishi bali mungu lipo Jambo kakupa kwa kumtumikia kwa njia moja au nyingine basi omboea japo kidogo afrika, UGANDA UNAONA KINACHOJIRI.

Watu wanasagwa Kama kuku, why, yahani gari inakata kona , kisa ya kiongozi flan,then inaparamia ka nguzo ka umeme,huku chini watu wamesagwa ,roho inauma Sana, iweje gari ianzapo kata kona fuata watu Kama imekosa speed ipunguze mwendo kidogo then mwendo uongezeke.

Wenda mungu kaamua kuifuata afrika, kwa njia moja au nyingine.

KWA Sasa afrika Ina matukio ya hajabu kuliko corona,then na jina lako takatifu wakaa kusema bwa shee,Mimi sio bwashee samahani, nakuheshimu Kama mungu apendae na kuheshim viumbe vyake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom