Mkuu wa Wilaya Ya Arumeru, Jerry Muro awapatia wafugaji ambao Ng' ombe wao waliuawa hifadhini Tsh Milioni 6.4

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,692
Amewaonya Wafugaji hao kuacha mara moja tabia ya kulisha mifugo yao kwenye hifadhi ya Arusha kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria

Wafugaji hao walipoteza ng' ombe wao 16 waliouawa baada ya kuingia hifadhi ya Taifa Ya Arusha ( Arusha National Park)

Wananchi & Wadau Mbalimbali wamempongeza sana Mkuu huyo wa Wilaya kwa moyo wa huruma na Uzalendo na kuamua kuwapa kifuta machozi hicho kufuatia masaibu waliyoyapata.

Wamemuombea kwa Mungu azidi kumpa Hekima zaidi na Ulinzi ili aweze tekeleza majukumu yake ipasavyo kama Muwakilishi wa Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania ngazi ya Wilaya!
 
Ndio serikali tuitakayo yenye kujali wananchi wake sio kuandaa maandamano yasiyo na tija!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom