CCM kuimaliza CHADEMA 2020

Baba jay'rose

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
1,198
2,000
Habari wana JF...

Kweli siasa ni tamu hasa kwa wenye kipaji cha ushawishi wa hoja.

Leo asubuhi nimebahatika kuona kipindi cha mjadala star tv kikiwa mwishoni pakiwa na mada inayohusiana na Viwanda na kilimo sikumbuki mada iliandikwa vip lakini ili husu hoja hio.

Mchambuzi aliyekua na mtangazaji wa kiume alikua ni kijana mwenye kajinafasi ccm mkoa wa kagera au wilaya ya Bukoba,
Huyu kijana alijitahidi saana kukomaa na hoja kwakutetea yale ambayo serikali ya awamu hii wanafanya na hata kama yaliyo feli yeye alikua na sababu ambayo hakuhusisha serikali na lawama ziliekea kwa wananchi na wapinzani..

Kiukweli alikua anajiamni kiasi cha kumshawishi mtu mwepesi na kuamini kinachoendelea!!! (sina maana ni mabaya matupu) hii imenidhibitisha kwakua palikua namtu ambaye amekua akifuata mkumbo wa kumpinga na kukosoa anayoyafanya mh rais wetu.

Na nilipokua kazini wakati wa mapumziko ya mchana tukipata chakula sehemu fulani paliibuka mjadala juu ya mwenendo wa uchumi na siasa ya nchi yetu, palikua na mtu mmoja bana alikomaa kuitetea serikali kiasi ambacho aliweza kuwashawishi walejamaa mpaka wakabaki bila hoja.

Nikafikiria kwamba ccm bado inanafasi kuubwa saana kuongoza nchi hii kama itapata wanasiasa wazuri wenye ushawishi wa hoja kufikia uwezo wa kuhalalisha hata jambo lililofeli au lenye matokeo mabaya. (si halalishi ufedhuli)

Wakati huu Chadema wakiisumbua serikali ya ccm kwa hoja za udikteta uchwara, mkwamo wa kiuchumi, usalama wa raia na viongozi, matumizi mabovu ya matamshi pamoja na maamuzi yasiyo na tija nadhani kama ccm ikiamua kuwatumia wanachama wajenga hoja na wataalamu wa propaganda hakika Chedema hawatopata kiti hata kimoja bungeni wala huruma na wananchi.

Dodoma msifanye makosa.
Tumuokoe rais wetu
Mimi ni mzalendo.
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,083

Futa huu uzi Ndugu..
The whole content is absolutely RUBBISH..
Shame.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,804
2,000
Hebu mwambieni huyo jamaa aruhusu mijadala iliyo huru inayowakosoa asitumie police kunyamazisha watu!! Unapojisifu kwa kuwa na siasa za upande moja lazima uwe zezeta wa kutokuona ukweli
 
lukesam

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
10,686
2,000
Mtu kama huyu unaweza ukashangaa kuna sehemu anaheshimika kabisa na anaitwa akatoe maoni!
 
successor

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
3,085
2,000
Unajua ni kwanini Magu amezuia wapinzani wasifanye siasa isipokuwa CCM pekee?

Usinipe jibu.
 
nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,384
2,000
Waziri wa ujenzi awa rais huko Tanganyika. Tutajenga mabarabara nchi nzima.
 
gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,671
2,000
mshsngao wetu sisi kina gogo la shamba ni pale tunapoona ccm ambayo ndio waasisi wa viwanda hawana kiwanda hata kimoja alafu wao ccm wanashangaa chadema kutokuwa na kiwanda
 
Able man

Member
Nov 22, 2020
72
125
Habari wana JF...

Kweli siasa ni tamu hasa kwa wenye kipaji cha ushawishi wa hoja.

Leo asubuhi nimebahatika kuona kipindi cha mjadala star tv kikiwa mwishoni pakiwa na mada inayohusiana na Viwanda na kilimo sikumbuki mada iliandikwa vip lakini ili husu hoja hio.

Mchambuzi aliyekua na mtangazaji wa kiume alikua ni kijana mwenye kajinafasi ccm mkoa wa kagera au wilaya ya Bukoba,
Huyu kijana alijitahidi saana kukomaa na hoja kwakutetea yale ambayo serikali ya awamu hii wanafanya na hata kama yaliyo feli yeye alikua na sababu ambayo hakuhusisha serikali na lawama ziliekea kwa wananchi na wapinzani..

Kiukweli alikua anajiamni kiasi cha kumshawishi mtu mwepesi na kuamini kinachoendelea!!! (sina maana ni mabaya matupu) hii imenidhibitisha kwakua palikua namtu ambaye amekua akifuata mkumbo wa kumpinga na kukosoa anayoyafanya mh rais wetu.

Na nilipokua kazini wakati wa mapumziko ya mchana tukipata chakula sehemu fulani paliibuka mjadala juu ya mwenendo wa uchumi na siasa ya nchi yetu, palikua na mtu mmoja bana alikomaa kuitetea serikali kiasi ambacho aliweza kuwashawishi walejamaa mpaka wakabaki bila hoja.

Nikafikiria kwamba ccm bado inanafasi kuubwa saana kuongoza nchi hii kama itapata wanasiasa wazuri wenye ushawishi wa hoja kufikia uwezo wa kuhalalisha hata jambo lililofeli au lenye matokeo mabaya. (si halalishi ufedhuli)

Wakati huu Chadema wakiisumbua serikali ya ccm kwa hoja za udikteta uchwara, mkwamo wa kiuchumi, usalama wa raia na viongozi, matumizi mabovu ya matamshi pamoja na maamuzi yasiyo na tija nadhani kama ccm ikiamua kuwatumia wanachama wajenga hoja na wataalamu wa propaganda hakika Chedema hawatopata kiti hata kimoja bungeni wala huruma na wananchi.

Dodoma msifanye makosa.
Tumuokoe rais wetu
Mimi ni mzalendo.
Ni wapi ulipokengeuka na kuacha Imani hii leo unataabika?
 
King Kisali

JF-Expert Member
Nov 20, 2019
845
1,000

Chadema ife kwa mbinu uchwara hizi za kuwabambikia ubunge kina Mdee , kuwafanyia ugaidi na rushwa , tatizo la maccm kwenye mbinu na mipango yao ni maziro brain .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom