My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,336
Eti huyu ni Mtumishi wa Mungu, hivi Mungu ni simple kiasi hiki hadi awe na watumishi sampuli ya Gwajima? Mtu anayetumika na utawala wa Dunia hii ktk kukandamiza haki za watu eti naye ni Mtumishi wa Mungu?
Badala ya kwenda kwao Koromije system imeona bora imtumie kulipora Jimbo la kawe, huyu Gwajima anajua kabisa kuwa hatashinda Jimbo la Kawe, huko CCM haitakiwi kabisa, kwa hiyo ili kumpitisha ni lazima Damu imwagike ikibidi, eti Mtumishi wa Mungu anasubiri kutangazwa mshindi wa ubunge kupitia Tume ya kihuni kabisa inayobeba Chama Tawala, Gwajima, Gwajima, Gwajima, Gwajima, Gwajima, "wewe si wa kwanza kumdhihaki Mungu ".
Si Ulisema kuwa umeajiriwa na Mungu kwa hiyo huwezi kuajiriwa na Binadamu kumbe wewe ni tapeli hasa.
Kweli Lucifa yupo kazini, hovyo kabisa Gwajima!!!