TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI --30/01/2014
Ndugu zangu waandishi wa habari, awali ya yote naomba niwasalimie na niwapongeze kwa kufika -mwaka mpya 2014, pia naomba niwapongeze kwa kazi kubwa...
Wanabodi,
Naomba kukiri kumfahamu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, tangu kitambo kidogo kwa Paul kutambulishwa kwangu nikiwa mjini Dodoma, pale Dodoma Hotel, kiukweli nilimuona kama ni...
Hapo zamani za kale kwenye kijiji cha msituni kulikuwa na mzee mmoja aliyejulikana kama Mzee Filipo..
Alikuwa mrefu, mnene mweusi..
Alitisha sana!
Kutokana na mwonekano wake alitawala kijiji...
Habari wadau!
Binafsi natabiri ujio wa Paulo tena kwenye gemu baada ya Mama Samia Suluhu kuapiswa.
Pia namuomba Mama Samia Suluhu asije akamsahau Paulo kwenye utawala wake sababu zipo wazi Paulo...
MINISTRY OF HOME AFFAIRS THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
P.O. Box 9223, Dar es Salaam.
Telegram "Usalama"
Telephone
In reply please quote:
22 Januari, 1977.
Ref. No. AHM/PERS/P. 1/14
MHESHIMIWA...
Kuna vid ilitrend sana
Baada unasikia hizi jumla bil kama 6 jama akihesabu
Mh katambi naamini umeaminiwa na n mmoja wa wafuasi wako nakupenda toka ulipokuwa kwa kazi nzuri
Naomba hili mtuwekee...
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.
Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea...
Wanabodi
Hii ni moja ya mada zangu abstract za kufikirika tuu, yaani imaginations za kitu kinachoitwa au dhana ya life after life and reincarnation.
Angalizo la Imani:
Kama wewe ni muumini...
1. Kuiba uchaguzi hawajali kuchaguliwa
2. Misaada ya mabilioni kuyeyuka hawajali ilimradi tu ni CCM
3. Visa list ya kuzuiawa huko USA hata kwa wafanyabiashara hawajali maana Mama ni Raisi wa...
Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu
Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani...
JAMES Mbowe, aliyekuwa mgombea ubunge katika jimbo la Hai kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), achutama, ajutia uamuzi wake wa kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na...
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anasema vyombo vya habari vya nje havikufuata utaratibu wakati wa kuripoti matukio ya Oktoba 29 nchini.
Majibu ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Tanzania (JAB), Patrick Kipangula kuhusu Vyombo vya Habari kurusha matukio ya Oktoba 29, 2025.
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anasema ithibati za waandishi hazikulenga wakosoaji bali wale ambao hawakuwa na vigezo pekee.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ametoa agizo la Mama aliyeporwa eneo lake la ardhi kurejeshewa ndani ya siku saba, ameeleza mama huyo alinunua eneo hilo 2009 na alipofikisha suala hilo la kuporwa...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam...
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imebahatika kupata Rais mwenye kuwahurumia watanzania ambaye hataki Kuendesha Nchi kwa fedha ya dhuluma.