Wakuu,
Mwanasiasa mkongwe na mzoefu, Dkt. Mary Michael Nagu, amejiunga rasmi katika mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Hanang...
Mama anjotahidi sana kuwanyanyua vijana kwa kuwapa ajira ambazo zinmwagwa daily kiti ambacho jpm aliamuaa makusdudi kuwaangamiza vijana kwa kutotoa ajira kwaa muda wake wote.
Hata zile chache...
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha...
It was just like a sucker punch...! Hii inaitwa mwana kulitafuta mwana kulipata!
Hit them where it hurts! {Severely} Vuna vyote lakini kamwe usivune aibu!
Hasira za TK sijui ataangushiwa...
Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces...
KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya...
Leo siku ya 5 huko Iran Maandamano yanazidi kupamba moto na hakuna watu waliouliwa kama kuku
Imagine hapa kwetu oct 29 tu ndani ya siku moja jitu limetoa oda ya kuua watu zaidi ya elfu 10
Yaani...
Sasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?
No reforms no Election yatinga Meza Kuu za CCM.
Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣
Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka...
Huyu jamaa ni kama Lucas Mwashamba wa bei ya jioni
Hivi toka ameanza kujipendekeza kwa watawala ashawahi kupata nini?
Nauliza tu kwasababu kila baya la serikali likiibuka basi atatoka na uzi wa...
Na Malisa GJ
. Kikosi maalumu cha jeshi la Marekani (Delta Force), kimetumia dakika 124 tu (masaa mawili na dakika 4) kutua Ikulu ya Venezuela (Palacio de Miraflores) na kumnyakua Rais Nicolás...
Wanalalamika kuwa oh sovereignty ya Venezuela imekiukwa.
Madulo alikuwa haheshimu sovereignty ya watu wake, why dunia yenye akili iheshimu sovereignty yake? Unaua watu uili ubaki madarakani...
Kinachoendelea Venezuela chaweza kuwa kutisha mahayatollaj wa Iran ak kuiandaa dunia kwa anguko la serkali ya kikatili ya Iran. Waiting na Idi Amin Mama angekuwa kwenye kundi hili. Achunge...
Kipimo cha akili na uelewa ni pamoja na kutambua wanaokuzidi uwezo na uwezo wao. Ni SWALA mpumbavu atamwona Simba na ataenda kucheza akitikisa makalio yake mbele ya Simba . Si ushujaa ni upumbavu...
Kazi iendelee...
Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua...
Tunapoanza mwaka 2026 na kusherehekea miaka 250 ya Taifa letu, CIA inaendelea kujitolea kikamilifu kuunga mkono vipaumbele na misingi ya usalama wa taifa wa Marekani.
Kila siku—kwa ari na dhamira...
Wakuu
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na...
Wakuu!
Katika pitapita zangu huko Mitandaoni nimekutana na page zaidi ya Tatu tofauti za Vyombo vya Habari vilivyoandika/kupost makala moja kuhusu Humphrey Polepole na wote wanahoji "Polepole ni...
Ndugu Wana ukumbi,
Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi?
Wakati wao huapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.