Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,823
- 287,818
Kijana Huyo Tayari amejitokeza mitandaoni akikiri hadharani kwamba uamuzi wa Chadema wa kususia uchaguzi wa kizushi wa oktoba 29 ulikuwa sahihi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba anayefuatia kuja kapiga goti hadharani ni Yerricko Nyerere ambaye inaelezwa kwamba huko Kigamboni aliambulia namba za vitatu vya mtoto