Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Tushazoea kuona nchi za Ulaya, Marekani ambao walikuwa ni partners wetu wa maendeleo kwa muda mrefu wakiwa wanajali kuhusu mazingira Kuna projects nyingi sana ambazo zilianzishwa na nchi...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Tofauti ya mahubiri ya zamani na sasa ni moja Zamani maaskofu, mapadre, Wachungaji, mitume na manabii nk ilikuwa wanasoma Biblia kwanza kupata mahubiri sasa hivi wanaangalia hali ya siasa nchini...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Mfuasi wa CHADEMA utakuta anatukana watu lakini ukijaribu kumuuliza upo chama gani anasema yeye Hana chama hii ni laana wanaishi kwa laana za kutukana watu ndo maana wanaona aibu hata kujiita...
4 Reactions
77 Replies
2K Views
Duniani kosa vyote usikose akili Bibi muuaji baada ya kuuwa Watanganyika alijisifia kwa ngebe mbele ya Wazee wa Dar es Salaam kuwa nguvu aliyotumia hadi kuuwa watu ilikuwa sahihi. Zaidi...
6 Reactions
15 Replies
383 Views
Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa...
58 Reactions
117 Replies
7K Views
Mwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo. Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya. Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa...
27 Reactions
126 Replies
9K Views
Asilimia 77.4 ya deni la nje la Tanzania linashikiliwa na Central government, ikimaanisha kuwa serikali ndiyo mkopaji mkuu. Hii inaashiria utegemezi mkubwa wa mikopo ya kimataifa kwa ajili ya...
4 Reactions
59 Replies
3K Views
Sheikh Yahya Banju ametoa mifano akielezea namna madai ya Baraza kuu la Waislamu BAKWATA kudhulumu na kupora mali za waislamu. Banju amesema hayo leo walipokutana na waandishi wa habari Kinondoni...
0 Reactions
2 Replies
192 Views
Kwa akili zao kabisa wanaamini wanaweza pambana na Kanisa Katoliki lililoweza kupambana na Madikteta hatari zaidi duniani kama Adolf Hitler wa Ujerumani na Fujimori wa Chile na kuwashinda...
6 Reactions
19 Replies
401 Views
Kamwe hatuwezi kusahau maumivu tuliyopata terehe 29 wakati wa uchaguzi.maumivu ya kuuawa ndugu zetu kinyama na waTanzania wenzetu wachache ambao ni watawala...
3 Reactions
8 Replies
152 Views
Ndugu zangu Watanzania! Mvua ya Haki na Amani toka kwa Mungu wa Mbinguni iwe nanyi! Ashukuriwe Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka mpya. Kwani siyo jambo rahisi kwetu sisi Watanzania tuliobaki...
1 Reactions
0 Replies
363 Views
My people, Huyu ni mwandishi wa habari na mwanaharakati wa Iran ambaye naye kama alivyo Kimambi anaishi Marekani Akihojiwa na NBC News anasema familia nyingi za viongozi wakubwa wa Iran wanaishi...
4 Reactions
10 Replies
375 Views
  • Redirect
Moscow ‍is ‍deeply concerned and condemned an “act of armed aggression” against ⁠Venezuela committed by the US, the Russian ‍Ministry of Foreign Affairs said. “In the current situation, ‍it ⁠is...
0 Reactions
Replies
Views
  • Closed
Picha mbili ikionesha Chadema ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era.
1 Reactions
60 Replies
574 Views
Huyu mtu mtoto wa Rais Samia yupo wapi? Hasikiki kabisa. Yaliyoko kwenye korido za wanausalama wazalendo ni kwamba mratibu Mkuu wa matukio ya mauaji ya MO29 ni huyu mtu. Ndiye aliyekuwa...
15 Reactions
48 Replies
4K Views
Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye...
4 Reactions
15 Replies
330 Views
Kuna lolote kinaendelea ICC au ndiyo imetoka hiyo! Mwenye fununu atufunulie
2 Reactions
4 Replies
222 Views
  • Redirect
Rais wa Marekani, Donald Trump amedai Taifa hilo limefanya shambulio kubwa Nchini Venezuela na kuwakamata Rais wake, Nicolas Maduro, na mkewe na kusafirishwa kwa ndege kutoka nchini humo Kupitia...
1 Reactions
Replies
Views
Yulo wapi? Alibeba mapicha ya Samia, wakamshikisha mapicha. Yuko wapo? Kafia wapi? Au teuzi zijazo atakumnukwa? Nani ampishe?
3 Reactions
13 Replies
315 Views
Huyu jamaa kateka, kaua na kapoteza watu wengi sana nchini lakini Wala haguswi na mkono wowote wa Sheria za nchi. Hivi Jaji Chande na Tume yake uchwara alikutana na mtu kama huyu anaweza kuwa na...
7 Reactions
22 Replies
550 Views
Back
Top Bottom