Tatizo: CCM wengi wanapenda Chama kuliko nchi

Tatizo: CCM wengi wanapenda Chama kuliko nchi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,589
Reaction score
14,912
1. Kuiba uchaguzi hawajali kuchaguliwa

2. Misaada ya mabilioni kuyeyuka hawajali ilimradi tu ni CCM

3. Visa list ya kuzuiawa huko USA hata kwa wafanyabiashara hawajali maana Mama ni Raisi wa kulazimisha

4. Utekaji wa wazi hawajali

Wanachojali wengi wao ni wenyewe binafsi kupata vyeo ili waweze kuiba uchaguzi
 
CCM kuachia nchi ni sawa uwe baba mwenye nyumba ghafla mpangaji wako anaanza kuwa na power kutaka kununua nyumba yako mnayoishi wote huku nawe na familia yako mkiishi humo!, ukiruhusu tu hilo sasa ndo utaona rangi halisi ya mpangaji wako atakunyoosha mpaka uombe poo!, hapo CCM wameona bora watumie AK-47 sio kuachia nchi.
 
1. Kuiba uchaguzi hawajali kuchaguliwa

2. Misaada ya mabilioni kuyeyuka hawajali ilimradi tu ni CCM

3. Visa list ya kuzuiawa huko USA hata kwa wafanyabiashara hawajali maana Mama ni Raisi wa kulazimisha

4. Utekaji wa wazi hawajali

Wanachojali wengi wao ni wenyewe binafsi kupata vyeo ili waweze kuiba uchaguzi
Hawapendi chama, ni wanafiki kwa vile kwenda kwao chooni kunatoka hapo ccm. Hakuna mapenzi...hakuna anayeweza kupenda muuaji toka rohoni mwake. Ni wanafiki njaa mavi matumboni mwao
 
Tuna wana CCM wengi haya yanayotokea hawayapendi
Maana
Wana CCM nao waliuliwa mo 29
Wana CCM nao ni wakatoliki
Wana CCM nao wanakosa maji
 
1. Kuiba uchaguzi hawajali kuchaguliwa

2. Misaada ya mabilioni kuyeyuka hawajali ilimradi tu ni CCM

3. Visa list ya kuzuiawa huko USA hata kwa wafanyabiashara hawajali maana Mama ni Raisi wa kulazimisha

4. Utekaji wa wazi hawajali

Wanachojali wengi wao ni wenyewe binafsi kupata vyeo ili waweze kuiba uchaguzi
Sahihisha. Wanapenda ulaji. CCM ikitoka kwenye kutawala hawa wote hutawaona tena na itakufa haraka sana. CCM imetekwa na matapeli ambao kazi yao ni moja tu.... kupigania matumbo yao.
 
Bila CCM hii nchi hawawezi kuitafuna, lazima wakifie chama ili wale nchi.
 
Wanachojali wengi wao ni wenyewe binafsi kupata vyeo ili waweze kuiba uchaguzi
Mkuu sio "WENGI WAO", CCM wote wanajijali wenyewe.

Pia Mapenzi kwenye Chama chao ni UNAFIKI, wanasoma upepo wapi watapata hela.
 
1. Kuiba uchaguzi hawajali kuchaguliwa

2. Misaada ya mabilioni kuyeyuka hawajali ilimradi tu ni CCM

3. Visa list ya kuzuiawa huko USA hata kwa wafanyabiashara hawajali maana Mama ni Raisi wa kulazimisha

4. Utekaji wa wazi hawajali

Wanachojali wengi wao ni wenyewe binafsi kupata vyeo ili waweze kuiba uchaguzi
Asilimia kubwa ya wafuasi wa CCM siyo upenzi ni wanafaika wa chama !!

1.Wakuu wa wilaya wote na familia zao na ukoo

2.Wakurugenzi wa Halmashauri zote na familia zao

3.DAS wote wa wilaya na familia zao

4.Wakuu wa miaka wote na familia zao

5.RAS wa mikoa yote na familia zao

6.Wakuu wa Idara zote mfano
Maafisa Elimu wa wilaya na Mkoa ,huwezi kupewa nafasi hii kama huna ushirika na CCM

Madaktari wote wakuu wa Halmashauri na mikoa (DMO,RMO') hata kama unasifa zote na za ziada Lazima uwe na vina saba vya CCM

Hii ipo mpka Kwa wakuu wa shule ,wafawidhi wa vituo vya vya afya na polisi
 
Back
Top Bottom