Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanalalamika kuwa oh sovereignty ya Venezuela imekiukwa. Madulo alikuwa haheshimu sovereignty ya watu wake, why dunia yenye akili iheshimu sovereignty yake? Unaua watu uili ubaki madarakani...
3 Reactions
3 Replies
167 Views
  • Redirect
Samia hana mamlaka ya kuongea na wananchi anaongea nini na wananchi wakati wanauwa wananchi akatafute genge lake huko wakae wapige zogo.
2 Reactions
Replies
Views
Kinachoendelea Venezuela chaweza kuwa kutisha mahayatollaj wa Iran ak kuiandaa dunia kwa anguko la serkali ya kikatili ya Iran. Waiting na Idi Amin Mama angekuwa kwenye kundi hili. Achunge...
5 Reactions
16 Replies
269 Views
  • Redirect
Kipimo cha akili na uelewa ni pamoja na kutambua wanaokuzidi uwezo na uwezo wao. Ni SWALA mpumbavu atamwona Simba na ataenda kucheza akitikisa makalio yake mbele ya Simba . Si ushujaa ni upumbavu...
2 Reactions
Replies
Views
Kazi iendelee... Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
Tunapoanza mwaka 2026 na kusherehekea miaka 250 ya Taifa letu, CIA inaendelea kujitolea kikamilifu kuunga mkono vipaumbele na misingi ya usalama wa taifa wa Marekani. Kila siku—kwa ari na dhamira...
3 Reactions
26 Replies
477 Views
Wakuu Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Wakuu! Katika pitapita zangu huko Mitandaoni nimekutana na page zaidi ya Tatu tofauti za Vyombo vya Habari vilivyoandika/kupost makala moja kuhusu Humphrey Polepole na wote wanahoji "Polepole ni...
2 Reactions
14 Replies
935 Views
Ndugu Wana ukumbi, Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi? Wakati wao huapa...
22 Reactions
110 Replies
5K Views
Wakuu, Haki mwisho wa siku hupatikana hata kama itachelewa. Huyu Maduro wananchi wake walikuwa hawamtaki na ilikuwa watu wakiandamana yeye response yake ni kuua waandamanaji ikiwemo WATOTO wa...
7 Reactions
12 Replies
198 Views
Humphrey Polepole amesema kwa utamaduni, desturi na katiba ya Chama cha Mapinduzi, Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Humphrey Polepole amesema, Salamu ya 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Kazi iendelee!' inamkiuka Mungu
20 Reactions
48 Replies
3K Views
https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9 Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe...
7 Reactions
13 Replies
636 Views
Wakuu! Humphrey Polepole amesema alijiuzulu Ubalozi wa Cuba ili awe huru kuzungumza kwamba kuna tatizo kubwa katika Taifa letu na sio dhambi kujirekebisha. Sasa leo saa 2:00 usiku usikae mbali...
37 Reactions
175 Replies
14K Views
Wakuu Kila siku nasema humu. Wachina ni matapeli. Nakumbuka wakati wa uzinduzi wa Ilani ya CCM mwaka jana CCM walijaza Warusi, Wachina na Wakorea Kaskazini kwenye mkutano wao. CCM ilisema...
11 Reactions
31 Replies
657 Views
Habari wakuu Nilikuwa Offline kwa muda niliporudi nimekutana na zuio la kibiashara kwa raia wa kigeni machoni, nimewaza sana, unajua ninyi mnaokaa Dodoma hamjui changamoto ya haya maamuzi. Mungu...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
The Venezuelan people are today rid of Nicolás Maduro’s dictatorship and can only rejoice. By seizing power and trampling on fundamental freedoms, Nicolás...
1 Reactions
1 Replies
231 Views
Code, maboya ya ndege hayo ni yapi ambayo yatashushwa na kukoa CCM na Tanzania OIL isipomwagwa
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Clayton Chipando almaarufu kama Babalevo, aliyekuwa mtiania na mgombea wa ndani wa Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kigoma Mjini amejiharibia. Kama ulikuwa ni mtego, umemnasa. Kitendo chake cha...
14 Reactions
55 Replies
3K Views
Hapo vip! Kwa mauwaji ya kishetani na yakidharau yaliotokea oct.29 na 30 lazima wahusika nao, wateswe na kuuwawa vile vile. Ameuwa kwa upanga naye auwawe vile ni mtu mbaya sana huyu...
0 Reactions
2 Replies
124 Views
Back
Top Bottom