Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumeshuhudia yaliyotokea nchini, kilichotokea pale siyo uchaguzi ni uchafuzi. Ni kikundi cha watu wachache kikilindwa na vyombo vya ulinzi kikafanya mapinduzi dhidi ya Jamhuri. kwa kujitwalia...
16 Reactions
27 Replies
999 Views
  • Redirect
fikiria yeye alipiga pingu wangapi, alifunga wangapi, aliua wangapi, kweli maisha ni fumbo aise, duh ...
1 Reactions
Replies
Views
Nchi ikiwa na idara ndogo ya Usalama kama kitengo kimoja tu na kukosa kiongozi mahiri na katiba inosiginwa kila mara, huyumba sana na kukosa mwelekeo na yale tunoyashuhudia leo ni matokeo ya...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata...
12 Reactions
29 Replies
1K Views
Mimi Sijambo! Polepole alisha-miss target 🎯 tangu siku ya kwanza. Sijajua nini atafanya kurudisha mchezo katika umiliki wake. Kwa kweli bado natathmini nini atafanya kuitikisa serikali ya Samia...
6 Reactions
21 Replies
914 Views
Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali. Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Mkapa wakati akigombea urais 1995, alikuwa hafahamiki sana. Hivyo wanaccm wengi, ikiwa ni pamoja na Anna Makinda walikuwa wakiwaunga mkono "Boyz II Men" (nick name ya Kikwete/Lowasa & Co) ...
25 Reactions
39 Replies
3K Views
https://x.com/barakawamb/status/2007413291476238344?s=20
1 Reactions
26 Replies
859 Views
Katika sayansi ya siasa na usalama, jaribio la kupindua serikali ni kamari ya hatari zaidi ambayo kikundi cha watu kinaweza kuicheza. Kanuni isiyo rasmi ya mchezo huu inasema: "Kama unataka kupiga...
6 Reactions
54 Replies
1K Views
Akizungumza Leo huko Kigoma, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia hafanyi Utani na Amedhamiria kumkomboa mkulima wa Tanzania Kupitia Kilimo Cha Umwagiliaji. Waziri Bashe ameyasema...
9 Reactions
592 Replies
24K Views
Huyu binti alipitia kipindi kigumu kama cha Lisu na Chadema kwa ujumla. Alipitia vipindi vigumu kama vya Lisu.
1 Reactions
5 Replies
240 Views
Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria. Watu wajinga na wapumbavu huwa ni dhaifu sana kuliko...
1 Reactions
1 Replies
213 Views
Taarifa Ikufikie popote ulipo, kwamba, Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concor amefika Hotel Desderia ya Jijini Mbeya na kukutana na Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo. Habari...
10 Reactions
74 Replies
5K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Balozi huyo amefika kumuona Bwana Sugu baada ya kuruhusiwa kutoka Hospitali, ambako alilazwa akiwa Mahututi kutokana na kipigo cha Polisi wa Tanzania...
52 Reactions
201 Replies
9K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial Bara John Heche @hechejohn amesema Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu ni tunu ya taifa huku akishinikiza kuachiwa kwa...
5 Reactions
5 Replies
355 Views
Unaweza usione uzito wa kauli hii leo. Tuendelee kiwaamini hawa wavaa kaundasuti, wavunja tofali wa vichwa (badala ya akili) na wazee wa shuruti bila sheria kwamba watakulinda. Dawa ya jeuri ni...
8 Reactions
15 Replies
444 Views
"Ni ubatili na dharau kubwa kwa Watanzania kuyaita maridhiano sasa katika mazingira ambapo serikali iliamua kwa makusudi kuwapuuza wananchi, vyama vya siasa na wadau wa demokrasia juu ya hitaji la...
2 Reactions
2 Replies
203 Views
Back
Top Bottom