Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,499
113,605
Wanabodi
Hii ni moja ya mada zangu abstract za kufikirika tuu, yaani imaginations za kitu kinachoitwa au dhana ya life after life and reincarnation.

Angalizo la Imani:
Kama wewe ni muumini closed mind wa imani ya dini yako, nakuomba upitie mbali uzi huu, ili kuepuka kubishana na watu waliokuwa indoctrinated na imani za dini zao!. Hapa wabaki watu ambao ni open minded.

Mtoa mada ni Mkristo Mkatoliki die hard, alipoishi Saudi Arabia, Dubai na Doha, alijifunza Quran Tukufu.

Alipokuwa India alijifunza Hinduism, alipokuwa China, Tibet alijifunza Buddhism.

Na aliporejea Tanzania akaenda Usukumani akajifunza imani za asili.

Waarabu ndio walituletea dini ya Kiislamu na Wamissionary wakatuletea dini ya Kikistu.

Walipozileta hizi dini zao mbili, walikuta tuna dini zetu za asili, wakasema ni za kishenzi ila kiukweli zilikuwa na nguvu, japo ni kweli zilikuwa na baadhi ya mambo ya kishenzi lakini pia zilikuwa na mambo mengine mazuri kama yale mambo ya kwa Mswati!, hivyo mimi nilishauri Blaza wangu yule "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"

Kwa waumini wa life after life, jee kuna uwezekano JPM amefufuka kwa mtindo wa reincarnation, hivyo he is still alive and kicking kwa kuwa reincarnated into Makonda?. Nikimuona Makonda, namuona kabisa JPM!.

Kama dhana hii ni kweli, then JPM amefufuka na yupo nasi kupitia Makonda hivyo wale waliokaa mguu upande na ku relax kwa kudhani hii ni awamu ya wala urongo!, sasa wakae mguu sawa tayari kwa mwendo wa mchaka mchaka kama wa Magufuli!. Ameisha anza na kiranja wao PM kwa kumpa ultimatum ya miezi 6!, mawaziri ni kupigiwa simu za summons
kujieleza na wakuu wa mikoa ni kuamrishwa kwa amri ya "wee kuja hapa"!. Swali ni jee JPM was he a devil or an Angel?. If a devil wale wavivu, wazembe na wabadhirifu watarejea motoni, if ni an Angel, taifa litabarikiwa!. Nikilisoma bandiko hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... I was never wrong!.

Kwa dhana za kidini za Kikistu au Kiislamu, tunaelezwa Mungu anakaa juu mawinguni ambako ni mbinguni peponi kwa Mungu na anakaa na malaika na shetani anakaa motoni Jehanam anakaa na mashetani wenzake!.

Mtu ukifa unakwenda hukumuni mbele ya haki, kama ni mtenda mema unakwenda mbinguni peponi kwa Mungu, kama ni mtenda maovu unakwenda motoni jehanam kwa shetan!. Kwa dhana za dini hizi shetani ni shetani na malaika ni malaika.

Mtu hawezi kuwa both shetani na malaika ni either awe malaika au shetani.

Naomba kuwaambia mlidanganywa!. Bila kusoma imani nyingine, ukiambiwa Mungu anakaa mbinguni utaamini, akitokea mtu akakuambia umedanganywa utamuona yeye ndio muongo!.

Ukweli ni kuwa Mungu ni Omniscience, Omnipresence, Omnipotent, hakai juu mawinguni, mbinguni sio juu, Mungu yuko kila mahali ikiwemo ndani yako so does shetani!.

Mbinguni, peponi na jehanum motoni ni hapa hapa duniani ila kuna dunia mbili, ulimwengu wa mwili, physical World, na ulimwengu wa roho, spiritual World. Na miili yetu kuna mwili wa nyama , physical body na mwili wa roho, spiritual body.

Mtu anapozaliwa anaingiwa na roho wa Mungu, the soul, the spirit na mwili wake una sehemu mbili, physical body, ni ule mwili wa nyama na spiritual body ni mwili wa roho.

Mtu anapokufa au kukata roho, kinachokufa na kuzikwa ni physical body only, ile spiritual body, roho inatoka na kuhamia kwenye ulimwengu wa roho. The soul ni eternal haifi!. Mwili ndio unakufa unageuka mavumbi.

Kwa dini za Kikistu na Kiislamu zinaamini Roho inakwenda kwenye hukumu na kuingia ama mbinguni peponi ama motoni, na Wakristo wanaamini ufufuko wa miili na uzima wa milele, ile miili inayofufuka sio miili ya nyama ni miili ya roho, mtu akiisha kufa ule mwili wa nyama hauna issue tena, uzike, uchome au ufanye cremation, it makes no difference, hata ibada za makaburini ni za kishetani tuu!. Ndio maana niliwahi kusema Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

Dini ya Hinduism na Buddhism zinaamini kwenye after life kupitia reincarnation wanaamini ukifa unazaliwa tena au unaingia kwenye mwili wa mtu mwingine. Haya mambo ya Life after life nimeyazungumza sana humu
Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli. Na hii sio mara yangu ya kwanza kumuona mtu kama mtu mwingine fulani Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

Hivyo nakuomba uniamini japo Magufuli mwenyewe yuko hapa Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani baada ya kuitwa kwa Baba yake, ile spiritual body yake ime m possessed Makonda kwasababu Makonda ni mpakwa mafuta na Bwana.

Angalia nilianza nae lini humu Mimi nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae kwanza kwa kutoa wito Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... kisha tukamshauri Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Kama ni kweli Makonda ni Reincarnation ya Magufuli, natoa wito kwa Watanzania tujiandae kupokea the good, the bad and the ugly kama zama zile!.
The good ni mchapakazi na watu watachapa kazi, CCM itapendwa kufa, matokeo ya uchaguzi wa 2025 yatakuwa kama matokeo ya 2020, mpinzani wa kupenya labda ni mmoja tuu tena atapenyea mlango wa "nusu mkate!"

The bad ni uongozi wa mkono wa chuma!, Baada ya kum summon PM na kumpa ultimatum, huku mawaziri wakikimbizwa mchaka mchaka kuwajibika kwake, atam summon Spika and may be CJ, na mwisho wa siku, asipodhibitiwa mapema, hata Maza, atampandia kichwani!, ili asifike huko, sisi washauri wa bure tumeisha mpongeza kwa amsha amsha na kumshauri Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

Sasa nasubiria tuu, 2025 mnipe tuu maua yangu pale nilipo waambia Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo you can never tell for sure with politics, anything can happen!, hivyo bado inawezekana kabisa bandiko hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... ni very valid, Maza anamalizia tuu awamu ya Magufuli, kisha 2025, the game is on again!.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
 
Ile rule inayosema never outsmart your master itaenda kumtuliza Makonda siku chache zijazo.

Atazunguka huko mikoani anapiga simu kwa kila waziri, atatoa maelekezo, lakini mwisho wa siku naamini itakuwa business as usual.

Magufuli angekuwa reincarnated kwa Makonda endapo aliyepo ikulu ana tabia za Kimagufuli, lakini kinyume na hapo, ni na hili mkalitazame ...

Anyway, sijui kwanini tunamkumbuka zaidi Makonda wa Magufuli, kisha tunamsahau kabisa Makonda wa Kikwete, kama hao Makonda wawili walikuwa tofauti, basi hata huyu Makonda wa tatu wa Samia, nae atakuja kuwa tofauti pia, just a matter of time.
 
Wanabodi
Hii ni moja ya mada zangu abstract za kufikirika tuu, yaani imaginations za kitu kinachoitwa au dhana ya life after life and reincarnation.

Angalizo la Imani:
Kama wewe ni muumini closed mind wa imani ya dini yako, nakuomba upitie mbali uzi huu, ili kuepuka kubishana na watu waliokuwa indoctrinated na imani za dini zao!. Hapa wabaki watu ambao ni open minded.

Mtoa mada ni Mkristo Mkatoliki die hard, alipoishi Saudi Arabia, Dubai na Doha, alijifunza Quran Tukufu.

Alipokuwa India alijifunza Hinduism, alipokuwa China, Tibet alijifunza Buddhism.

Na aliporejea Tanzania akaenda Usukumani akajifunza imani za asili.

Waarabu ndio walituletea dini ya Kiislamu na Wamissionary wakatuletea dini ya Kikistu.

Walipozileta hizi dini zao mbili, walikuta tuna dini zetu za asili, wakasema ni za kishenzi ila kiukweli zilikuwa na nguvu, japo ni kweli zilikuwa na baadhi ya mambo ya kishenzi lakini pia zilikuwa na mambo mengine mazuri kama yale mambo ya kwa Mswati!, hivyo mimi nilishauri Blaza wangu yule "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"

Kwa waumini wa life after life, jee kuna uwezekano JPM amefufuka kwa mtindo wa reincarnation, hivyo he is still alive and kicking kwa kuwa reincarnated into Makonda?. Nikimuona Makonda, namuona kabisa JPM!.

Kama dhana hii ni kweli, then JPM amefufuka na yupo nasi kupitia Makonda hivyo wale waliokaa mguu upande na ku relax sasa kukaa mguu sawa tayari kwa mwendo wa mchaka mchaka kama wa Magufuli!. Ameisha anza na kiranja wao PM kwa kumpa ultimatum ya miezi 6!, mawaziri ni kupigiwa simu za summons
kujieleza na wakuu wa mikoa ni kuamrishwa kwa amri ya "wee kuja hapa"!. Swali ni jee JPM was he a devil or an Angel?. If a devil wale wavivu, wazembe na wabadhirifu watarejea motoni, if ni an Angel, taifa litabarikiwa!. Nikilisoma bandiko hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... I was never wrong!.

Kwa dhana za kidini za Kikistu au Kiislamu, tunaelezwa Mungu anakaa juu mawinguni ambako ni mbinguni peponi kwa Mungu na anakaa na malaika na shetani anakaa motoni Jehanam anakaa na mashetani wenzake!.

Mtu ukifa unakwenda hukumuni mbele ya haki, kama ni mtenda mema unakwenda mbinguni peponi kwa Mungu, kama ni mtenda maovu unakwenda motoni jehanam kwa shetan!. Kwa dhana za dini hizi shetani ni shetani na malaika ni malaika.

Mtu hawezi kuwa both shetani na malaika ni either awe malaika au shetani.

Naomba kuwaambia mlidanganywa!. Bila kusoma imani nyingine, ukiambiwa Mungu anakaa mbinguni utaamini, akitokea mtu akakuambia umedanganywa utamuona yeye ndio muongo!.

Ukweli ni kuwa Mungu ni Omniscience, Omnipresence, Omnipotent, hakai juu mawinguni, mbinguni sio juu, Mungu yuko kila mahali ikiwemo ndani yako so does shetani!.

Mbinguni, peponi na jehanum motoni ni hapa hapa duniani ila kuna dunia mbili, ulimwengu wa mwili, physical World, na ulimwengu wa roho, spiritual World. Na miili yetu kuna mwili wa nyama , physical body na mwili wa roho, spiritual body.

Mtu anapozaliwa anaingiwa na roho wa Mungu, the soul, the spirit na mwili wake una sehemu mbili, physical body, ni ule mwili wa nyama na spiritual body ni mwili wa roho.

Mtu anapokufa au kukata roho, kinachokufa na kuzikwa ni physical body only, ile spiritual body, roho inatoka na kuhamia kwenye ulimwengu wa roho. The soul ni eternal haifi!. Mwili ndio unakufa unageuka mavumbi.

Kwa dini za Kikistu na Kiislamu zinaamini Roho inakwenda kwenye hukumu na kuingia ama mbinguni peponi ama motoni, na Wakristo wanaamini ufufuko wa miili na uzima wa milele, ile miili inayofufuka sio miili ya nyama ni miili ya roho, mtu akiisha kufa ule mwili wa nyama hauna issue tena, uzike, uchome au ufanye cremation, it makes no difference, hata ibada za makaburini ni za kishetani tuu!. Ndio maana niliwahi kusema Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

Dini ya Hinduism na Buddhism zinaamini kwenye after life kupitia reincarnation wanaamini ukifa unazaliwa tena au unaingia kwenye mwili wa mtu mwingine. Haya mambo ya Life after life nimeyazungumza sana humu

Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli. Na hii sio mara yangu ya kwanza kumuona mtu kama mtu mwingine fulani Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

Paskali
Makonda ni shetani tu, halafu kumfananisha Magufuli na Bashite ni kumkosea adabu.

Magufuli ni Mwalimu by professional na ana degree, huyu Bashite ambaye hata majina yake ni utata hata elimu yake ni mashaka matupu ndio mtu wa kumfanisha na Magufuli?

Wakati wa Corona Makonda alikuwa anatapeli watu kwamba anamwagilia Dawa ya kuuwa Corona Magufuli alimueleza wazi huwezi kuuwa virus kwa kumwagilia Dawa, Magufuli Kemia imelala kweli ndio wa kumfananisha na huyu tapeli?
 
Nikimuona alikiba namuona Magufuli. Au karudi jamaa
420489.jpg
 
Wanabodi
Hii ni moja ya mada zangu abstract za kufikirika tuu, yaani imaginations za kitu kinachoitwa au dhana ya life after life and reincarnation.

Angalizo la Imani:
Kama wewe ni muumini closed mind wa imani ya dini yako, nakuomba upitie mbali uzi huu, ili kuepuka kubishana na watu waliokuwa indoctrinated na imani za dini zao!. Hapa wabaki watu ambao ni open minded.

Mtoa mada ni Mkristo Mkatoliki die hard, alipoishi Saudi Arabia, Dubai na Doha, alijifunza Quran Tukufu.

Alipokuwa India alijifunza Hinduism, alipokuwa China, Tibet alijifunza Buddhism.

Na aliporejea Tanzania akaenda Usukumani akajifunza imani za asili.

Waarabu ndio walituletea dini ya Kiislamu na Wamissionary wakatuletea dini ya Kikistu.

Walipozileta hizi dini zao mbili, walikuta tuna dini zetu za asili, wakasema ni za kishenzi ila kiukweli zilikuwa na nguvu, japo ni kweli zilikuwa na baadhi ya mambo ya kishenzi lakini pia zilikuwa na mambo mengine mazuri kama yale mambo ya kwa Mswati!, hivyo mimi nilishauri Blaza wangu yule "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"

Kwa waumini wa life after life, jee kuna uwezekano JPM amefufuka kwa mtindo wa reincarnation, hivyo he is still alive and kicking kwa kuwa reincarnated into Makonda?. Nikimuona Makonda, namuona kabisa JPM!.

Kama dhana hii ni kweli, then JPM amefufuka na yupo nasi kupitia Makonda hivyo wale waliokaa mguu upande na ku relax sasa kukaa mguu sawa tayari kwa mwendo wa mchaka mchaka kama wa Magufuli!. Ameisha anza na kiranja wao PM kwa kumpa ultimatum ya miezi 6!, mawaziri ni kupigiwa simu za summons
kujieleza na wakuu wa mikoa ni kuamrishwa kwa amri ya "wee kuja hapa"!. Swali ni jee JPM was he a devil or an Angel?. If a devil wale wavivu, wazembe na wabadhirifu watarejea motoni, if ni an Angel, taifa litabarikiwa!. Nikilisoma bandiko hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... I was never wrong!.

Kwa dhana za kidini za Kikistu au Kiislamu, tunaelezwa Mungu anakaa juu mawinguni ambako ni mbinguni peponi kwa Mungu na anakaa na malaika na shetani anakaa motoni Jehanam anakaa na mashetani wenzake!.

Mtu ukifa unakwenda hukumuni mbele ya haki, kama ni mtenda mema unakwenda mbinguni peponi kwa Mungu, kama ni mtenda maovu unakwenda motoni jehanam kwa shetan!. Kwa dhana za dini hizi shetani ni shetani na malaika ni malaika.

Mtu hawezi kuwa both shetani na malaika ni either awe malaika au shetani.

Naomba kuwaambia mlidanganywa!. Bila kusoma imani nyingine, ukiambiwa Mungu anakaa mbinguni utaamini, akitokea mtu akakuambia umedanganywa utamuona yeye ndio muongo!.

Ukweli ni kuwa Mungu ni Omniscience, Omnipresence, Omnipotent, hakai juu mawinguni, mbinguni sio juu, Mungu yuko kila mahali ikiwemo ndani yako so does shetani!.

Mbinguni, peponi na jehanum motoni ni hapa hapa duniani ila kuna dunia mbili, ulimwengu wa mwili, physical World, na ulimwengu wa roho, spiritual World. Na miili yetu kuna mwili wa nyama , physical body na mwili wa roho, spiritual body.

Mtu anapozaliwa anaingiwa na roho wa Mungu, the soul, the spirit na mwili wake una sehemu mbili, physical body, ni ule mwili wa nyama na spiritual body ni mwili wa roho.

Mtu anapokufa au kukata roho, kinachokufa na kuzikwa ni physical body only, ile spiritual body, roho inatoka na kuhamia kwenye ulimwengu wa roho. The soul ni eternal haifi!. Mwili ndio unakufa unageuka mavumbi.

Kwa dini za Kikistu na Kiislamu zinaamini Roho inakwenda kwenye hukumu na kuingia ama mbinguni peponi ama motoni, na Wakristo wanaamini ufufuko wa miili na uzima wa milele, ile miili inayofufuka sio miili ya nyama ni miili ya roho, mtu akiisha kufa ule mwili wa nyama hauna issue tena, uzike, uchome au ufanye cremation, it makes no difference, hata ibada za makaburini ni za kishetani tuu!. Ndio maana niliwahi kusema Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

Dini ya Hinduism na Buddhism zinaamini kwenye after life kupitia reincarnation wanaamini ukifa unazaliwa tena au unaingia kwenye mwili wa mtu mwingine. Haya mambo ya Life after life nimeyazungumza sana humu

Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli. Na hii sio mara yangu ya kwanza kumuona mtu kama mtu mwingine fulani Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

Paskali
Ni kweli maana wote wawili ni wahalafu, na Kinga ya uhalifu wao ni madaraka.
 
Ni usanii tu uko hapo
Mara punda, ngamia, boda, lorry kama sio usanii ni nini
Ila naona ile nguvu ya kuamrisha kapunguza maana ilikuwa haina heshima kabisa
Kujionyesha kuwa uko juu ya kila Waziri walioteuliwa na Rais ni kama unamuambia Rais mwenyewe

Well kuhusu Magu kaja na mwili wa makonda hili sijui
Tusubiri tuone na mwanae atakuwa nani
 
Hakika Makonda ametutoa kimasomaso watanzania. Yaani kila mtu anafuraha kuu kwa sababu anasikiliza kero na kutatua hapo hapo.
 
Haya ndio yaaaaleeee, "Ngoma Kupasuka"

Makonda kawaweza.

Hatahivyo, Reincarnation ni imani kwamba roho ya mtu huzaliwa upya ndani ya mwili mpya baada ya kifo.

Hilo pembeni, sidhani Wananchi wanahitaji Makonda awe ndie mbebaji wa roho ya J.P.M rest in power.
Nadhani kuwa na fikra kuwa Kama Nchi, tunaweza kuwa na Vision yetu na kuifanyiya kazi kwa bidii, inatosha.

Amani iwafikie.
 
Wanabodi
Hii ni moja ya mada zangu abstract za kufikirika tuu, yaani imaginations za kitu kinachoitwa au dhana ya life after life and reincarnation.

Angalizo la Imani:
Kama wewe ni muumini closed mind wa imani ya dini yako, nakuomba upitie mbali uzi huu, ili kuepuka kubishana na watu waliokuwa indoctrinated na imani za dini zao!. Hapa wabaki watu ambao ni open minded.

Mtoa mada ni Mkristo Mkatoliki die hard, alipoishi Saudi Arabia, Dubai na Doha, alijifunza Quran Tukufu.

Alipokuwa India alijifunza Hinduism, alipokuwa China, Tibet alijifunza Buddhism.

Na aliporejea Tanzania akaenda Usukumani akajifunza imani za asili.

Waarabu ndio walituletea dini ya Kiislamu na Wamissionary wakatuletea dini ya Kikistu.

Walipozileta hizi dini zao mbili, walikuta tuna dini zetu za asili, wakasema ni za kishenzi ila kiukweli zilikuwa na nguvu, japo ni kweli zilikuwa na baadhi ya mambo ya kishenzi lakini pia zilikuwa na mambo mengine mazuri kama yale mambo ya kwa Mswati!, hivyo mimi nilishauri Blaza wangu yule "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"

Kwa waumini wa life after life, jee kuna uwezekano JPM amefufuka kwa mtindo wa reincarnation, hivyo he is still alive and kicking kwa kuwa reincarnated into Makonda?. Nikimuona Makonda, namuona kabisa JPM!.

Kama dhana hii ni kweli, then JPM amefufuka na yupo nasi kupitia Makonda hivyo wale waliokaa mguu upande na ku relax sasa kukaa mguu sawa tayari kwa mwendo wa mchaka mchaka kama wa Magufuli!. Ameisha anza na kiranja wao PM kwa kumpa ultimatum ya miezi 6!, mawaziri ni kupigiwa simu za summons
kujieleza na wakuu wa mikoa ni kuamrishwa kwa amri ya "wee kuja hapa"!. Swali ni jee JPM was he a devil or an Angel?. If a devil wale wavivu, wazembe na wabadhirifu watarejea motoni, if ni an Angel, taifa litabarikiwa!. Nikilisoma bandiko hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... I was never wrong!.

Kwa dhana za kidini za Kikistu au Kiislamu, tunaelezwa Mungu anakaa juu mawinguni ambako ni mbinguni peponi kwa Mungu na anakaa na malaika na shetani anakaa motoni Jehanam anakaa na mashetani wenzake!.

Mtu ukifa unakwenda hukumuni mbele ya haki, kama ni mtenda mema unakwenda mbinguni peponi kwa Mungu, kama ni mtenda maovu unakwenda motoni jehanam kwa shetan!. Kwa dhana za dini hizi shetani ni shetani na malaika ni malaika.

Mtu hawezi kuwa both shetani na malaika ni either awe malaika au shetani.

Naomba kuwaambia mlidanganywa!. Bila kusoma imani nyingine, ukiambiwa Mungu anakaa mbinguni utaamini, akitokea mtu akakuambia umedanganywa utamuona yeye ndio muongo!.

Ukweli ni kuwa Mungu ni Omniscience, Omnipresence, Omnipotent, hakai juu mawinguni, mbinguni sio juu, Mungu yuko kila mahali ikiwemo ndani yako so does shetani!.

Mbinguni, peponi na jehanum motoni ni hapa hapa duniani ila kuna dunia mbili, ulimwengu wa mwili, physical World, na ulimwengu wa roho, spiritual World. Na miili yetu kuna mwili wa nyama , physical body na mwili wa roho, spiritual body.

Mtu anapozaliwa anaingiwa na roho wa Mungu, the soul, the spirit na mwili wake una sehemu mbili, physical body, ni ule mwili wa nyama na spiritual body ni mwili wa roho.

Mtu anapokufa au kukata roho, kinachokufa na kuzikwa ni physical body only, ile spiritual body, roho inatoka na kuhamia kwenye ulimwengu wa roho. The soul ni eternal haifi!. Mwili ndio unakufa unageuka mavumbi.

Kwa dini za Kikistu na Kiislamu zinaamini Roho inakwenda kwenye hukumu na kuingia ama mbinguni peponi ama motoni, na Wakristo wanaamini ufufuko wa miili na uzima wa milele, ile miili inayofufuka sio miili ya nyama ni miili ya roho, mtu akiisha kufa ule mwili wa nyama hauna issue tena, uzike, uchome au ufanye cremation, it makes no difference, hata ibada za makaburini ni za kishetani tuu!. Ndio maana niliwahi kusema Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

Dini ya Hinduism na Buddhism zinaamini kwenye after life kupitia reincarnation wanaamini ukifa unazaliwa tena au unaingia kwenye mwili wa mtu mwingine. Haya mambo ya Life after life nimeyazungumza sana humu

Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli. Na hii sio mara yangu ya kwanza kumuona mtu kama mtu mwingine fulani Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

Paskali
Mimi mkuu napingana kidoogo na wewe leo. Magufuri alikua mtu wa misimamo na mtu wa kazi na kazi zake zilikua zinakamilika kwelikweli.

Nakumbuka wakati akiwa na wizara ya ujenzi akisikia sehem daraja limesombwa na maji aliweza kuweka kambi na mafundi hapohapo hadi daraja linapitika.

Tukio lile la maroli kuwekwa kuanzia mizani kibaha hadi kucha hadi waziri mkuu kuingilia kati, ujue yule mwamba alikua na misimamo isiyoyakawaida.

Makonda hajawahi kusimamia jambo hadi likamimilike..yaani ni mbunifu wa mambo lakini kila analobuni hawezi kulisimamia hadi kukamilika.

Lakini pia huyu ananafasi yake na umuhimu wake, acha awavuruge kidogo labda anaowatafuta watajenga akili mpya kwenye vichwa vyao.

Ukija kiimani,. Mungu ni MADETATION FORCE. nikitu unacho mwenyewe, kile unachokiwaza kufanya kwenye mawazo yako Ya ndani ndio hiko kinachokutokea, sawa na mtu unaamka asubuhi unaomba kua niende kazini nifike salama na nifanye kazi salama na nirudi salama, sasa kwakua umewaza kiundani iwe hivyo basi utaenda kwa uangalifu na utafanya kazi kwa uangalifu na utarudi kwa uangarifu.

Ukisema unamuona magufuli kwa makonda maana yake, huo utakua mzimu wa magufuri kwa makonda, je anaukoo nae?
Mizimu inaenda kiukoo. Makonda hawezi kufanana na magufuli.

Magufuri pamoja na kukubalika kwakwe tangu akiwa waziri hajawahi kutamani uongozi. Ila uongozi ulimfuata kutokana na alivyokua mchapakazi.(UONGOZI HAUPIMWI KWA MATAMANIO YA MTU, UONGOZI UNAPIMWA KWA UWEZO WA MTU)

MAKONDA akiwa RC alitamani ubunge na alionywa na magufuri kua tamaa haifai, na kweli ccm ilimwaga kigamboni na magufuri pia alimmwaga ukuu wa mkoa.

Hivyo kwa wakati huu mimi nahisi mama amepaniki na kuhofia kitu, hivyo anatakiwa kua makini pia, nikweli kinyang'anyilo cha kugombea awamu ya pili kwa siasa za sasa ni ngumu sana, maana uchaguzi wa ndani ya chama RAIS KAMA MWENYEKITI WA CHAMA kuna saa kama 2 za kujiuzuri ili kupicha democrasia kufanya kazi yake.hapa ndio panakuaga pagumu na hofu kuu.hivyo inatakiwa kupata watu sahihi wa kumtetea, hivyo kuna umuhimu wa kuwakalibu na watu wa kukutetea.
 
Wanabodi
Hii ni moja ya mada zangu abstract za kufikirika tuu, yaani imaginations za kitu kinachoitwa au dhana ya life after life and reincarnation.

Angalizo la Imani:
Kama wewe ni muumini closed mind wa imani ya dini yako, nakuomba upitie mbali uzi huu, ili kuepuka kubishana na watu waliokuwa indoctrinated na imani za dini zao!. Hapa wabaki watu ambao ni open minded.

Mtoa mada ni Mkristo Mkatoliki die hard, alipoishi Saudi Arabia, Dubai na Doha, alijifunza Quran Tukufu.

Alipokuwa India alijifunza Hinduism, alipokuwa China, Tibet alijifunza Buddhism.

Na aliporejea Tanzania akaenda Usukumani akajifunza imani za asili.

Waarabu ndio walituletea dini ya Kiislamu na Wamissionary wakatuletea dini ya Kikistu.

Walipozileta hizi dini zao mbili, walikuta tuna dini zetu za asili, wakasema ni za kishenzi ila kiukweli zilikuwa na nguvu, japo ni kweli zilikuwa na baadhi ya mambo ya kishenzi lakini pia zilikuwa na mambo mengine mazuri kama yale mambo ya kwa Mswati!, hivyo mimi nilishauri Blaza wangu yule "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"

Kwa waumini wa life after life, jee kuna uwezekano JPM amefufuka kwa mtindo wa reincarnation, hivyo he is still alive and kicking kwa kuwa reincarnated into Makonda?. Nikimuona Makonda, namuona kabisa JPM!.

Kama dhana hii ni kweli, then JPM amefufuka na yupo nasi kupitia Makonda hivyo wale waliokaa mguu upande na ku relax sasa kukaa mguu sawa tayari kwa mwendo wa mchaka mchaka kama wa Magufuli!. Ameisha anza na kiranja wao PM kwa kumpa ultimatum ya miezi 6!, mawaziri ni kupigiwa simu za summons
kujieleza na wakuu wa mikoa ni kuamrishwa kwa amri ya "wee kuja hapa"!. Swali ni jee JPM was he a devil or an Angel?. If a devil wale wavivu, wazembe na wabadhirifu watarejea motoni, if ni an Angel, taifa litabarikiwa!. Nikilisoma bandiko hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... I was never wrong!.

Kwa dhana za kidini za Kikistu au Kiislamu, tunaelezwa Mungu anakaa juu mawinguni ambako ni mbinguni peponi kwa Mungu na anakaa na malaika na shetani anakaa motoni Jehanam anakaa na mashetani wenzake!.

Mtu ukifa unakwenda hukumuni mbele ya haki, kama ni mtenda mema unakwenda mbinguni peponi kwa Mungu, kama ni mtenda maovu unakwenda motoni jehanam kwa shetan!. Kwa dhana za dini hizi shetani ni shetani na malaika ni malaika.

Mtu hawezi kuwa both shetani na malaika ni either awe malaika au shetani.

Naomba kuwaambia mlidanganywa!. Bila kusoma imani nyingine, ukiambiwa Mungu anakaa mbinguni utaamini, akitokea mtu akakuambia umedanganywa utamuona yeye ndio muongo!.

Ukweli ni kuwa Mungu ni Omniscience, Omnipresence, Omnipotent, hakai juu mawinguni, mbinguni sio juu, Mungu yuko kila mahali ikiwemo ndani yako so does shetani!.

Mbinguni, peponi na jehanum motoni ni hapa hapa duniani ila kuna dunia mbili, ulimwengu wa mwili, physical World, na ulimwengu wa roho, spiritual World. Na miili yetu kuna mwili wa nyama , physical body na mwili wa roho, spiritual body.

Mtu anapozaliwa anaingiwa na roho wa Mungu, the soul, the spirit na mwili wake una sehemu mbili, physical body, ni ule mwili wa nyama na spiritual body ni mwili wa roho.

Mtu anapokufa au kukata roho, kinachokufa na kuzikwa ni physical body only, ile spiritual body, roho inatoka na kuhamia kwenye ulimwengu wa roho. The soul ni eternal haifi!. Mwili ndio unakufa unageuka mavumbi.

Kwa dini za Kikistu na Kiislamu zinaamini Roho inakwenda kwenye hukumu na kuingia ama mbinguni peponi ama motoni, na Wakristo wanaamini ufufuko wa miili na uzima wa milele, ile miili inayofufuka sio miili ya nyama ni miili ya roho, mtu akiisha kufa ule mwili wa nyama hauna issue tena, uzike, uchome au ufanye cremation, it makes no difference, hata ibada za makaburini ni za kishetani tuu!. Ndio maana niliwahi kusema Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

Dini ya Hinduism na Buddhism zinaamini kwenye after life kupitia reincarnation wanaamini ukifa unazaliwa tena au unaingia kwenye mwili wa mtu mwingine. Haya mambo ya Life after life nimeyazungumza sana humu

Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli. Na hii sio mara yangu ya kwanza kumuona mtu kama mtu mwingine fulani Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

Paskali
Mkuu kakitu unakotumia kaache, au basi punguza. Bila ya hivyo utaanza kuona miujiza.
 
Back
Top Bottom