Kitendo cha watu kuchagua kiongozi wao ni jambo kubwa sana (Sacred). Ukiiba uchaguzi umepanda mbegu ya Uasi na mgawanyo ndani ya Taifa.
Siku si nyingi Watanzania mitaani watakuwa na Silaha...
Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro.
Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa...
Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae...
Anawaonea wanyonge, aje huku kama hakunya mkojo. Anawaonea wanyonge akina Venezuela, jaribu hapa uone cha mtema kuni.
WHO ARE YOU, WHO ARE YOU, WHO ARE YOU
Ndugu zangu Watanzania,
Siku yaja Siku za Mbeleni ambapo Wanaomtukana Matusi Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu. Watalia na Kububujikwa...
Jambo lililo dhahiri, na kwa mafundisho ya kiimani, shetani huwatumia wanadamu kufanikidha malengo yake. Sio wote waliopo makanisani au waimbao Bwana Bwana, au wenye majina ya Kikristo, ni waumini...
Kuitumikia kwake serikali na viongozi fisadi na akakubali kuteuliwa nyadhifa mbalimbali serikalini akiyajua yoooote haya na kukaa nayo kimya ni wazi alikuwa ananufaika na huo uozo!!
Nivyema...
Ikumbukwe Komredi Polepole aliitangazia dunia kuwa Lowassa akiwa mgombea Urais kupitia CCM atazungukuka nchi nzima kuwashawishi Wananchi wasiichague CCM
Kilichofuatia CCM ikatikisika na kumkata...
TAARIFA
"Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na wakakiri kwamba wanamshikilia Katika kituo cha polisi kikuu Mbeya"
"Kaka...
Kukamatwa kwa diaspora na Mkaazi wa Marekani, Thadei Kweka kunaweza kuzidisha msuguano kati ya Marekani na Tanzania. Ikumbukwe kwamba mwezi ujao Marekani inategemea kutoa azimio jipya kuhusu...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeibua gumzo mitandaoni baada ya kuposti picha ya nyota wa soka Msuva akishangilia bao, ikiambatana na maneno "Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi...
GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.
Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna...
Matajiri wa ndani ya nchi wamechangia CCM bilioni 86 kwa ajili ya uchaguzi .Kuwa ùpo
Matajiri wawekezaji na wafanyabiashara na walipa kodi wakubwa wanasema uchaguzi utakuwepo lofa gani awezaye...
Tahadhari: Hili swali na hii mada sio ya kibaguzi wa aina yoyote.
Kwa nini utajiri mkubwa wa Tanzania unamilikiwa na Watanzania wenye asili ya Asia ?
Pia utajiri huo sio wa miaka 10 au 15...
Binafsi naona kuliko kuendelea kudanganywa na akina Sugu kuwa Chadema ni Wapinzani halisi huku Wafuasi wao wakipotea na wengine Wakifa kwa kukipigania chama cha mchongo ni afadhali kabisa maamuzi...
Kwanini Trump ameisusa Tanzania kwa mauaji na ufisadi unaoendelea licha ya mamlaka zake zimeonesha kuguswa na kulaani mauaji?
Tulitegemea kuona Trump akiingilia kati lakini amekuwa kimya; je...
Yani kwa sasa hata jambo dogo tu anajisikia tu kusema nakuweka miezi sita na hutoki hata aje nani.
Hii nchi kwakweli tumefika pabaya sana, hili kundi la polisi hili itafutwe tu namna ya...
Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
Kuna siku nilimuuliza akanipiha Block,
Mwambukusi ana bweka tu kwenye socia media ila hutakaa umuone Mahakamani au kokote kule, Maraisi wemgine wa TLS walio tangulia tulikiwa tunawaona Mahakani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.