Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!! Mapolisi sasa wa juu wanajiona wanamzidi mpaka waziri!! wameshanusa damu sasa wanajiona kama Simba
4 Reactions
8 Replies
385 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa...
10 Reactions
259 Replies
13K Views
Kama ilivyokuwa kwa Nguza Samike katibu binafsi wa Rais Magufuli na sasa tuna Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia. Huyu ndiye mtendaji wa shughuli zote binafsi za Rais Samia katika...
20 Reactions
276 Replies
57K Views
Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera :Angy: ---------- Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa...
5 Reactions
29 Replies
737 Views
GT Samia anachofanya wakati ninyi mkiamini amejificha lakini yeye anapeleka serikali huko na kuongeza mzunguko wa fedha. Ikulu inapohamia mahali pilikapilika zinakuwa nyingi. Hotels na migahawa...
3 Reactions
17 Replies
342 Views
Hawa waandamanaji watakuwa wameokotwa wapi na haya madela na hijabu zao?
13 Reactions
49 Replies
1K Views
Nchi imekuwa ya wapumbavu sana hii najua hali wanayopitia watanzania wazalendo simu za vitisho haziishi kuna watu wameajiriwa kutuma hizo simu. Lazima tujiulize hivi sisi ni malofa na majimga...
3 Reactions
4 Replies
162 Views
Uhuru wa habari utazidi kuminywa.. Vyombo vitazidi kuminywa na mateso yatazidi zaidi.. Maana ya kumteua ni moja tu.. Kumaliza yale yote yaliyobaki... Kumbuka huyu ni mpenda Sifa yaani hapo Dully...
2 Reactions
0 Replies
188 Views
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anahoji waliotaka matukio ya Oktoba 29 yarushwe na vyombo vya habari walikuwa kina nani na walitaka...
4 Reactions
24 Replies
627 Views
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha...
3 Reactions
32 Replies
828 Views
1. Amevamia Venezuela 2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration 3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu 4. Anawaza kuivamia Columbia 5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na...
10 Reactions
41 Replies
779 Views
Habari wakuu.. Naibu Waziri wa Michezo, Mh. Makonda sijamsikia tangu ameingia serikalini/ kuteuliwa. Yuwapi Bro? Hatujamzoea hivi
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Hamjambo! 1. Wale wazee wa political analysis and evaluation mtakubaliana na Mimi kuwa vijana WA sasa wa CCM hawana ushawishi. Hawana mvuto. 2. Siongei kisiasa naongea uhalisia wa mambo ulivyo...
13 Reactions
38 Replies
859 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI --30/01/2014 Ndugu zangu waandishi wa habari, awali ya yote naomba niwasalimie na niwapongeze kwa kufika -mwaka mpya 2014, pia naomba niwapongeze kwa kazi kubwa...
8 Reactions
262 Replies
39K Views
Wanabodi, Naomba kukiri kumfahamu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, tangu kitambo kidogo kwa Paul kutambulishwa kwangu nikiwa mjini Dodoma, pale Dodoma Hotel, kiukweli nilimuona kama ni...
18 Reactions
172 Replies
27K Views
Hapo zamani za kale kwenye kijiji cha msituni kulikuwa na mzee mmoja aliyejulikana kama Mzee Filipo.. Alikuwa mrefu, mnene mweusi.. Alitisha sana! Kutokana na mwonekano wake alitawala kijiji...
1 Reactions
10 Replies
338 Views
Habari wadau! Binafsi natabiri ujio wa Paulo tena kwenye gemu baada ya Mama Samia Suluhu kuapiswa. Pia namuomba Mama Samia Suluhu asije akamsahau Paulo kwenye utawala wake sababu zipo wazi Paulo...
3 Reactions
216 Replies
15K Views
MINISTRY OF HOME AFFAIRS THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA P.O. Box 9223, Dar es Salaam. Telegram "Usalama" Telephone In reply please quote: 22 Januari, 1977. Ref. No. AHM/PERS/P. 1/14 MHESHIMIWA...
3 Reactions
3 Replies
293 Views
Kuna vid ilitrend sana Baada unasikia hizi jumla bil kama 6 jama akihesabu Mh katambi naamini umeaminiwa na n mmoja wa wafuasi wako nakupenda toka ulipokuwa kwa kazi nzuri Naomba hili mtuwekee...
0 Reactions
1 Replies
136 Views
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa. Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea...
7 Reactions
122 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…