Kwanza kabisa nataka kukupongeza kwa ushindi wa kishindo ambao umeupata,wewe pamoja na raisi wako wa JMT Raisi JPM kwa ushindi wenu na chama kwa ujumla. Najua unakazi ngumu sana ya kulijenga na...
Air Tanzania Company Limited (ATCL) (Swahili: Kampuni ya Ndege Tanzania) is the flag carrier airline of Tanzania based in Dar es Salaam with its hub at Julius Nyerere International Airport. It was...
Kupanua ukusanyaji na vyanzo vya mapato tutegemee makundi haya kuathirika aidha ndani ya msingi wa sheria ya Kodi au nje ya sheria ya Kodi.
- Wakulima wajiandae kulipishwa Kodi bila kujali umevuna...
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amvunja bodi ya wakurugenzi wa shirika la meli na uwakala.
Taarifa iliyotolewa leo Jumanne Novemba 15, 2020 na katibu kiongozi, Dk Abdulhamid Mzee inaeleza...
Wajumbe GT's hamjambo?
Mwenye ufahamu anieleweshe; chanjo ya ugonjwa wa Corona 19 ni lazima au la?
Nimeuliza hivyo kwasababu zifuatazo:-
1. Kila mtu anaongea lakwake watu wanashindana kwa...
Nimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar.
Kigezo ni kwamba CHADEMA na ACT-Wazalendo hawayatambui matokeo...
Tangu awamu ya 5 ya Rais wetu JPM iingie madarakani imekuwa ikitoa kipaumbele kwa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga. Pamoja na malengo mazuri ya serikali kuwasaidia wamachinga...
SAUTI YA ASKOFU SEVERINE NIWEMUGIZI WA KANISA KATOLIKI TANZANIA
Mhashamu Baba Askofu Severine Niwemugizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge - Ngara ni miongoni mwa Maaskofu wanaopaza sauti...
EU na WB KAMA WAMEJIBU WA ZITTO NA LISU....
Na Elius Ndabila
0768239284
Ikumbukwe hivi karibuni baada ya uchaguzi mkuu kufanyika, vyama vya siasa vilivyoshindwa Uchaguzi huo hasa CHADEMA NA ACT...
Nimeona Video ambayo Waziri wa fedha anawaambia watu wa idara zote zinazohusika na ukusanyaji wa mapato ya kodi na yasiyo ya kodi ya serikali kukusanya mapato mengi ili malengo ya serikali ya...
Serikali hii nguvu ambayo mmeipatia TRA kuwa na uwezo wa kushirikia account za bank za wateja (wafanya biashara) na hata kuchukua pesa, muingalie, huenda hiyo nguvu (Authority) wanaitumia vibaya...
Madiwani waonywa kufukuza watumishi
MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, amewataka madiwani wa halmashauri zote katika mkoa huo, kutokuwa chanzo cha migogoro kwenye maeneo yao, huku akipiga...
Kosa kubwa ninalo iona kwenye vyama vya upinzani ni tamaa ya kushika dola, kila chama cha upinzani wanadai kuwa lengo lao lakwanza ni kushika dola.
Sio lengo baya lakini hakuna chama...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu na wenzake walioachiwa huru jana na kisha kukamatwa tena, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu...
Huko Geita Mkurugenzi kasimamishwa kazi. Ni safi sana! Sababu ziko wazi. Pesa za CSR haziwezi kuwa za gari la Mkurugenzi, wakati Shule, Hospitali na Madaraja ni hovyo. Mbaya zaidi ni gari la...
Nilisoma kwenye gazeti kwamba mkuu wetu hawezi kuuwa mtu hata waliohukumiwa kunyongwa. Tujue mpaka mtu ahukumiwe kunyogwa ni kwamba aliuwa binadamu mwingine au wengine. Kama ni kwa sababu ya dini...
Nimesikiliza hotuba ya mh. JPM baada ya kumuapisha Naibu Waziri wa madini Prof. S. E.Manya.
Moja ya sababu zilizosababisha kuleta huu uzi ili wana CCM wenzangu ambao wanaweza kutafakari uzi huu na...