Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tundu Antiphas Lissu Mbunge kutoka Jimbo la Singida mashariki.ameonesha uwezo usio na Mashaka katika siasa za Kupambana na Utawala uliojaa Chuki, Visasi, Dharau, kejeli na ubabe wa Rais aliyeko...
20 Reactions
63 Replies
7K Views
DART BRT aka Mradi wa mabasi yaendayo kasi “ A failure before start project “. Niiloandika haya 2016 wakati wa kuanza tu kwa mradi huo Na kweli imekuwa kweli BRT umefeli kabla ya kuanza Na...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Wengi waliosoma nje ya nchi kwa kulipiwa na bodi ya mikopo (HESLB) wanadaiwa fedha nyingi kulinganisha na waliosoma nchini. Nimeona jamaa ana mshahara 900K but anadaiwa 47M. Kwa mwezi atakatwa...
24 Reactions
77 Replies
8K Views
Utafiti wa haraka haraka usiohitaji utaalamu utakuonyesha kuwa katika nchi nyingi meya wa mji au jiji ni mtu mwenye madaraka na majukumu yanayofahamika na kuonekana wazi. Haya ni pamoja na masuala...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
*MAUAJI YA JANUARI 26/27 NA MADAI YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI CUF- Chama Cha Wananchi kinaendelea na Maandalizi ya Maadhimisho ya Mashujaa wa Chama waliouawa kinyama Januari 26 na 27...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa ( LAAC )...
12 Reactions
166 Replies
14K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameliagiza Jiji la Dodoma chini ya Mkurugenzi wake Joseph Mafuru kuifanyia ukarabati Shule ya Msingi Nkuhungu pamoja na kuhakikisha inafikisha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi. Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao...
22 Reactions
154 Replies
14K Views
Falsafa wanzilishi ya Tanzania, Ujamaa, ilielewa uhusiano kati ya rangi ya ngozi, ukoloni, na ukandamizaji. Hivyo ilikuwa na lengo la kuondoa dhana ya kudharilishwaji wa ngozi Nyeusi kwa...
1 Reactions
1 Replies
908 Views
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
RAIS MAGUFULI ATUA KENYA, ALAKIWA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE BI. AMINA MOHAMMED Rais John Pombe Magufuli, akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Kenya, Bi. Amina Mohammed kwenye uwanja wa...
5 Reactions
90 Replies
17K Views
Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni nchi huru na inayojiamulia mambo...
12 Reactions
65 Replies
9K Views
  • Poll Poll
Mabibi na mabwana tunapita katika kipindi kigumu. Haki imepotea na manyanyaso tokea katika mamlaka yametamalaki. Angalia TRA angalia polisi. Biashara zinalazimika kufungwa kwa sababu ya maonevu...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mahospitalini Kuna ubadhirifu wa fedha za umma kupitia WIZI wa MADAWA, kuchukua rushwa kwa Wagonjwa, kufanya uharibifu wa makusudi wa vifaa tiba ili visiwe vinafanya kazi na kisha wagonjwa...
21 Reactions
93 Replies
10K Views
Nimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile. Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Naangalia ziara ya kikazi ya Rais mkoani Kagera katika hafla ya utiaji saini mkataba kati ya serikali ya JMT na kampuni ya LZ nickel Limited. Wahudhuriaji katika hafla hii ni wengi wakiwemo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
"Katika miaka hii mitano nitakuwa mkali ninyi, kwa sababu sihitaji kupigiwa kura wala sigombei tena Urais. Katika miaka hii watakoma wasaidizi wangu. Ambao hawahitaji kuwa mawaziri au wakuu wa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Seif Sharif Hamad amesema misimamo ya vyama vya siasa isitumike kusababisha mifarakano na kuwagawa wananchi wa Zanzibar. Amesema jamii nyingi zimefarakana na...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu mtu hajawahi kumung'unya maneno. Hiki kilichotokea mbeya leo ni salamu tosha kwa CCM kwamba Sugu ni Rais wa mioyo ya wana Mbeya, pole sana Tulia haya yanatokea mbele ya macho yako chadema...
23 Reactions
130 Replies
17K Views
“Katika kipindi cha miaka mitano wameajiriwa walimu 300,000 hivi karibuni tulitangaza nafasi 8,000 na tunatarajia kutangaza ajira nyingine 5,000 za walimu. Tunataka suala la elimu lizingatiwe...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…