Je, ni kweli ndani ya miaka mitano Serikali imeajiri walimu laki tatu?

Jun 16, 2019
12
45
“Katika kipindi cha miaka mitano wameajiriwa walimu 300,000 hivi karibuni tulitangaza nafasi 8,000 na tunatarajia kutangaza ajira nyingine 5,000 za walimu. Tunataka suala la elimu lizingatiwe, nchi yenye kuthamini elimu ndiyo yenye nia ya kweli ya kuendelea,”

Hayo yamesemwa na Magufuri alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa sekondari bukoba kwenye ziara yake mkoani kagera.

Je, ni kweli ndani ya miaka mitano serikali imeajiri walimu laki tatu?
Takwimu zinaonyesha awamu ya tano tangu ilipoingia madarakani imeajiri walimu 24,369 tu katika mchanganuo ufuatao

2016 haikutoa ajira

2017 iliajiri walimu 3,081 wa msingi na sekondari. Ikaajiri wengine 1537 wa sayansi na hisabati. JUMLA: 4618

2018 iliajiri walimu 4840 wa msingi na sekondari na wengine 2160 wa sayansi na hisabati. JUMLA: 7000

2019 iliajiri walimu 4549

2020 iliajiri walimu 8202

JUMLA KUU 2015- 2020: 24,369 ndio wameajiriwa. Hao laki tatu anaosema mkuu wa kaya wameajiriwa lini?
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
11,095
2,000

je ni kweli ndani ya miaka mitano serikali imeajiri walimu laki tatu?

Takwimu zinaonyesha awamu ya tano tangu ilipoingia madarakani imeajiri walimu 24,369 tu katika mchanganuo ufuatao

2016 haikutoa ajira

2017 iliajiri walimu 3,081 wa msingi na sekondari. Ikaajiri wengine 1537 wa sayansi na hisabati. JUMLA: 4618

2018 iliajiri walimu 4840 wa msingi na sekondari na wengine 2160 wa sayansi na hisabati. JUMLA: 7000

2019 iliajiri walimu 4549

2020 iliajiri walimu 8202

JUMLA KUU 2015- 2020: 24,369 ndio wameajiriwa. Hao laki tatu anaosema mkuu wa kaya wameajiriwa lini?
Serikali yenu na uongo uongo ni Chanda na pete
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
1,650
2,000
Nafikiri ni walimu wapya mil 3, hukuelewa tu ndugu!

Utashtakiwa kwa sheria ya takwimu, umeleta takwimu za uongo.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
6,063
2,000
Sijui kwa nini mods habari kama hizi wanaziacha.
Kasema 30000 Ila kwa makusudi mtu anakuna kupost na kusema ni 300000
Screenshot_20210119-183136_1.jpg
 
Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
1,775
2,000
Sijui kwa nini mods habari kama hizi wanaziacha.
Kasema 30000 Ila kwa makusudi mtu anakuna kupost na kusema ni 300000
View attachment 1681360
Haya sawa 24,000 na 30,000 wapi na wapi ni tofauti ya 6,000

Kwa kutumia hesabu za makadirio,

Kwa kadirio la chini alitakiwa aseme "... tumeajiri walimu ZAIDI ya 20,000 ..."

au kwa kadirio la juu alitakiwa aseme tumeajiri waalimu TAKRIBAN 25,000

Huwezi kukadiria 24,000 mpaka 30,000 acheni uongo!!!
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
2,199
2,000
“Katika kipindi cha miaka mitano wameajiriwa walimu 300,000 hivi karibuni tulitangaza nafasi 8,000 na tunatarajia kutangaza ajira nyingine 5,000 za walimu. Tunataka suala la elimu lizingatiwe, nchi yenye kuthamini elimu ndiyo yenye nia ya kweli ya kuendelea,”

Hayo yamesemwa na Magufuri alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa sekondari bukoba kwenye ziara yake mkoani kagera.

Je, ni kweli ndani ya miaka mitano serikali imeajiri walimu laki tatu?

Takwimu zinaonyesha awamu ya tano tangu ilipoingia madarakani imeajiri walimu 24,369 tu katika mchanganuo ufuatao

2016 haikutoa ajira

2017 iliajiri walimu 3,081 wa msingi na sekondari. Ikaajiri wengine 1537 wa sayansi na hisabati. JUMLA: 4618

2018 iliajiri walimu 4840 wa msingi na sekondari na wengine 2160 wa sayansi na hisabati. JUMLA: 7000

2019 iliajiri walimu 4549

2020 iliajiri walimu 8202

JUMLA KUU 2015- 2020: 24,369 ndio wameajiriwa. Hao laki tatu anaosema mkuu wa kaya wameajiriwa lini?
Tupe kwanza idadi ya jumla ya watumishi wote, halafu tujadiliane ya walimu.
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
1,822
2,000
Awamu hii ya tano inapenda sana takwimu na kujificha nyuma yake ili kuweza kujenga hoja mbele ya umma wa Watanzania. Lkn pamoja na jitihada zote hizo namba hazipo upande wanaoutaka ama kuzitumia kuaminisha yale yaliyoshindikana, kwa hakika zinagomba, hazilandani wala hazisigishani. Nafikiri ni wakati wa kukaza buti kuendelea kuitimiza kwa vitendo ilani iliyokwisha kunadiwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom