Tuurejee MKUKUTA

Gutapaka

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
283
218
Habari zenu wadau!
Naomba niwakumbushe vijana wenzangu kuwa Kuna Jamaa aliwahi kufanya Tafiti Jumuishi iliyolenga kutatua matatizo au kuyapunzia ukali matatizo nguli ya Taifa hili.
Jana nililipitia Tena Jarida lile, mchoraji alikuwa Masoud Kipanya na Jarida lilichapishwa Mwaka 2005.

Ziliandikwa sababu za umasikini au zinazoweza kupeleka Umasikini wa Ghafla nchini mojawapo ilikuwa Mila na desturi, nielewe tu. Kama unatatizo lolote ulilo nalo kijana mwenzangu Kama msomi wa leo tafuta hili Jarida na usome page 5 tu utapata majibu yoteee.

Kumbuka lilichapishwa 2005 lakini linatoa majibu kwa matatizo ya Sasa. Watu wenye elimu wapo na wenye akili wapo.

The power of intelligence is not the knowledge but imagination
Mzee Albert Myahudi.
 
Ni matumaini yangu jarida hilo limekusaidia hadi umepata angalau hiyo tcnof1😂
 
Hujasema ni jarida gani wala limeandikwa na nani na tunaweza kulipata wapi!!!
 
Unaonaje ungeiweka hiyo page ya tano ya hilo jarida na sisi tuisome wenyewe?
 
Back
Top Bottom