Serikali yaanza kuwafuatilia Madaktari walioajiriwa Halmashauri na kuacha kazi au kuhamia sekta binafsi

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Serikali yaanza kuwafuatilia Madaktari walioajiriwa Halmashauri na kuacha kazi au kuhamia sekta binafsi kati ya 2015 - 2021

Ikumbukwe Januari 30, 2021, Rais Magufuli akiwa mkoani Tabora alitoa maelekezo kwamba madaktari mkoani humo waliokimbia Hospitali ya Rufaa ya Serikali na kwenda Binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe. Zaidi soma Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

Madaktari.jpg
 
Tena wa hali ya juu. Hawa madaktari hawajafanya kosa lolote lile la kuvunja sheria za Nchi ila huyo anayejiita mwendawazimu kasema basi imekuwa ni sheria ya Nchi tayari!!! Wawafuatilie na Wahandisi, Wahasibu, Manesi etc ambao walipata mikopo ya Serikali lakini “wakakimbia” Serikalini ili kutafuta maslahi bora.
huu ni unyanyasaji
 
Yaani umeanza na wahandisi UMEMGUSA KUMOYO,Awamu hii Wahandisi hawaguswi,
Aliwapa ahadi,wasipotajirika awamu hii?,hawatotajirika tena,,
Kuna mambo yanafanyika ya kuchekesha sana,hususani elimu yetu.
 
Back
Top Bottom