Villanova tito
Member
- Dec 20, 2016
- 98
- 109
Tunaiomba Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kupitia wilaya ya kinondoni kutupa maelezo ya kueleweka kusimama kwa mradi wa mto ng'ombe unaopita maeneo ya sinza mtogole mpaka mkwajuni kusimama kwa miezi mitatu.
Huku wakazi wa huku tukiwa hatuna amani maana mda si mrefu mvua zitaanza na tutapigwa na mafuriko kwa sababu sehemu kubwa bado mto huu haujajengwa kingo.
Wakandarasi wanasema hawajalipwa pesa na mteja wao ndo maana wamesimamisha kazi