Kuna clip ya Mh Musukuma nimeiona akitaka wahusika ie Waziri wa Fedha na Waziri wa Viwanda na biashara wamfikishie ujumbe mh Rais kwamba hali ya biashara ni mbaya kwani wafanyabiashara wengi...
Mbunge wa Geita kupitia CCM, Joseph Kasheku ameshauri mabilioni yanayowekezwa na Serikali kwenye miradi ambayo haizalishi kuwekezwa kwa watu wa hali ya chini.
Amesema, "Tumeona Serikali kipindi...
Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza.
Source ITV habari...
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dkt. Felista Kisandu kupisha uchunguzi kwa madai ya kutoa taarifa zisizo sahihi za ugonjwa...
Ajali za barabarani nchini Tanzania hasa kwa madereva wa pikipiki (bodaboda), zinasababishwa na adhabu kutoka kwa askari wa usalama barabarani (Trafiki).
Kauli hiyo imetolewa na Salome Makamba...
Dunia ikiwa inatumia mabunge yake kufikiri na kujadili janga hili la gonjwa la Corona, athari zake kiuchumi na tafiti za matibabu yake, hapa kwetu Bunge hili la kuchonga kama kinyago limejikita...
Kuna mtu aliwahi kusema humu Jamiiforums kwamba in politics everything happens for a reason. Akimaanisha kwamba lolote ulionalo kwenye siasa halitokei kwa ajali liko well calculated na linafanywa...
The country that rejected coronavirus vaccines
Dave Lawler
Tue, February 9, 2021, 3:03 AM
A number of countries around the world have fudged official coronavirus statistics, shared...
Wataalamu wa sheria hebu tasaidieni
=====
Bomba la mafuta kati ya Uganda na Tanzania lakabiliwa na changamoto ya kisheria.
Mashirika manne yasiyo ya kiserikali yamekwenda kwenye mahakama ya...
Katika Bunge la 12 Wabunge badala ya hukuchangia yaliyomo kwenye Hotuba ya Rais wamejikita kwenye Hoja ya Kuongeza Ukomo wa Rais Hayati Baba wa Taifa ktk Utawala wake alipendekeza Uongozi wa RAIS...
Na Emmanuel J. Shilatu
Wakati mgumu wa janga la ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya Corona vimetuonyesha aina ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tuliyenae Watanzania aitwaye...
Raha ya ushindi ni kunoga kwake. Raha ya uchaguzi ni kushinda halafu kutamba kama mwenye magamba membamba. Kunyakua kiti cha Urais; viti vya Ubunge na Udiwani kufuatiwe na 'utamu' wa kidemokrasia...
SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2021/22 inatarajiwa kukusanya na kutumia Sh. trilioni 36.26, sawa na ongezeko la asilimia 4.0 ya bajeti ya mwaka 2020/21 ya Sh. trilioni 34.88.
Maeneo ya...
Wakati Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo akiomba Serikali ipunguze tozo za kuingia katiba hifadhi ya wanyama ya Serengeti, Spika wa Bunge Job Ndugai naye amesisitiza ombi hilo akiitaka Wizara...
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji...
Wiki chache baada ya Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi kuingia madarakani, kulishuhudiwa sherehe kadhaa zisizo rasmi, watu wakipika na kula, wakifurahi na kucheza kwa dufu. Hawakuwa wanafurahia ushindi...
Naam, wana bodi !
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nayo inahusu watu dhaifu. Watu dhaifu ni watu hatari sana. Wakiwa wanasiasa wanakuwa hatari zaidi. Ni waoga wa mabadiliko. Waangalie wale wote...
Ndiyo,
Mkutano wa pili na wa mwanzo kabisa wa mwaka, hakuna hoja za muhimu kwa wananchi zilizojadiliwa na wabunge wa JMT.
Badala yake hoja kubwa ni kumuongezea muda wa urais Mh Rais Magufuli...