Ushiriki wa Wanawake kwenye uongozi

G-Mdadisi

Senior Member
Feb 15, 2018
157
99
"Naomba nisisitize. Akifeli mwanamke kwenye nafasi aliyopewa achukuliwe kama yeye mwenyewe na isichukukiwe kwamba ni jamii nzima ya wanawake imefeli, kwa sababu ipo hiyo akifeli utasikia wanawake bana wapo wanavuruga tu wanakati mwanaume akifeli na wanafeli kila siku haionekani kama jamii nzima ya wanaume kwamba wamefeli.

Kwahiyo vitu hivi tusiwe na 'double standard' wakati wa kujaji." - Eng. Zena Ahmed Said, Katibu Mkuu Kiongozi na katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar. #MwanamkeNiKiongozi.

IMG_20210214_170351_572.jpg
 
Wanawake wenyewe si ndio hawa wanaosema jinsi bungeni kulivyo kuzuri wataishia kuuana tu endapo mtu atataka kuwatoa au kuwanyang'anya nafasi zao.

Hatare kubwa hii.
 
Back
Top Bottom