Prof Kikwete sio mwizi wezi walio mzunguka nakama kweli ni mwizi report haitosomwa huo ndio ukweli

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,286
2,000
Kuna watu wamefika mahali wakasema Rais ni mwizi jamani tumuogope Mungu huyu mzee wa watu angekuwa mwizi hata hizo kamati zisingeundwa tatizo ni walio mzunguka kwakweli wanaliangamiza taifa tuna rais msafi na asie ficha taka taka ktk serikali yake na nyote mtakuwa mashaidi pale atakapo neda sign baruwa za watakao jiuzulu tatizo lililopo sasa watu wana deal nyingine ukiacha hii inayo taka waondoa ktk uongozi wao ndio maana hawataki kuachia ngazi yani kiti ni kitamu inawauma
Upo uwezekano mkubwa watu kufutwa kazi huo ndi ukweli Kaka yao pinda atapigiwa kura then ndio mwisho wa safari
RAISI WETU NI MSAFI TENA KWA 100% ANAYE BISHA ATAKUBALI HAPO BAADAE
UJUMBE WA CHAMA HABEBWI MTU WAJIPIME NA WAACHIE NGAZI
 
mzushi

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
2,902
2,000
mitoto yako ikiwa mijizi unataka nani awajibike .usitete uozo hapa
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
18,648
2,000
Kuna watu wamefika mahali wakasema Rais ni mwizi jamani tumuogope Mungu huyu mzee wa watu angekuwa mwizi hata hizo kamati zisingeundwa tatizo ni walio mzunguka kwakweli wanaliangamiza taifa tuna rais msafi na asie ficha taka taka ktk serikali yake na nyote mtakuwa mashaidi pale atakapo neda sign baruwa za watakao jiuzulu tatizo lililopo sasa watu wana deal nyingine ukiacha hii inayo taka waondoa ktk uongozi wao ndio maana hawataki kuachia ngazi yani kiti ni kitamu inawauma
Upo uwezekano mkubwa watu kufutwa kazi huo ndi ukweli Kaka yao pinda atapigiwa kura then ndio mwisho wa safari
RAISI WETU NI MSAFI TENA KWA 100% ANAYE BISHA ATAKUBALI HAPO BAADAE
UJUMBE WA CHAMA HABEBWI MTU WAJIPIME NA WAACHIE NGAZI
angakuwa sio mwizi ile ripot ya pccb ilitosha kuwapeleka watu mahakamani kwa amri yake na kulinda heshima ya taifa kashindwa hata kutoa kauli leo useme sio mwiz aliingia ikulu kwa sarakasi na nchi inaendeshwa kwa sarakasi over.
 
Hunyu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,788
2,000
Shikamooo serikali, mi ni mwananchi tu nisiye na haki hapa Tz, fanyeni tu mnachotaka. Kila kitu ni chenu wakuu, madini, mafuta, tembo, na mapori yote. Hata mkitaka kutuuza kwa wachina au wamarekani ni sawa tu hatuna tatizo na nyie kabisa. Hata ESCROW ni halali yenu wakuu tumieni mnavotaka. Asante
 
sam-Akida

Member
May 20, 2013
48
95
mh jamani tusijifiche kwenye kichaka cha karanga, hebu nashauri tunapowasilisha hoja za kisiasa tujue tunaachokisema!
wale wakristo hadithi ya kuhani Eli na wananwe twaijua vzuri na fundisho lake, sasa iweje leo hii mwanao au tegemezi wako aibe kisha useme huhusiki na wizi. ikiwa we ndo mchungaji mifugo ikafanya uharibifu we ndo mharibifu wa kwanza. umepewa mamalaka ya kudimamia na kuongoza, kutawala washindwa tumia dhamana ulopewa basi wahusika. kwanini asihusihwe Mkapa wakati akaunt hizo zimeandaliwa kipindi cha uongozi wake
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
101,779
2,000
Alipotishwa na wale waliokuwa wakitajwa kwamba watafukuzwa CCM walipomwambia "Ikulu hakutalalika" baada ya kutamka hadharani "Sasa tunalivua gamba" na kuogopa vitisho vyao na hatimaye kushindwa kulivua gamba, inaashiria kwamba naye ana uchafu wake ambao hataki uanikwe hadharani. Si msafi huyu hata kidogo.
 
swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,660
2,000
Kuna watu wamefika mahali wakasema Rais ni mwizi jamani tumuogope Mungu huyu mzee wa watu angekuwa mwizi hata hizo kamati zisingeundwa tatizo ni walio mzunguka kwakweli wanaliangamiza taifa tuna rais msafi na asie ficha taka taka ktk serikali yake na nyote mtakuwa mashaidi pale atakapo neda sign baruwa za watakao jiuzulu tatizo lililopo sasa watu wana deal nyingine ukiacha hii inayo taka waondoa ktk uongozi wao ndio maana hawataki kuachia ngazi yani kiti ni kitamu inawauma
Upo uwezekano mkubwa watu kufutwa kazi huo ndi ukweli Kaka yao pinda atapigiwa kura then ndio mwisho wa safari
RAISI WETU NI MSAFI TENA KWA 100% ANAYE BISHA ATAKUBALI HAPO BAADAE
UJUMBE WA CHAMA HABEBWI MTU WAJIPIME NA WAACHIE NGAZI
Kwa nini anajificha uko kwenye tezi jike
 
Lekakui

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,449

UJUMBE WA CHAMA HABEBWI MTU WAJIPIME NA WAACHIE NGAZI[/QUOTE

Naona wazee wa TEZI DUME mnahangaika sana,kwa kifupi hii serikali ya awamu ya 4,ndo imekuwa chafu,chafu,chafu kuliko serikali zote zilizowahi kusikika hapa tanzania tangu uhuru,so kaka acha u.c.h.o.k.o,hana usafi wowote,hayo mkaongelee kule kule kwenye ulingo wenu wa siasa wakati wa...........................
 
lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,481
2,000
Mkuu TumainiEl, umenena maneno makuu haswa na yenye busara zinazostahili kwa hakika.
Tatizo huenda ikawa jinsi ya kutofautisha nani mwizi kulingana na lugha husika, yaani kibaka wa Manzese au Mbwa mwitu, wavamia mabenki na wateka mabasi au wale walioko kwenye umaridadi wa suti na viyoyozi.
...nakuwa namuonea sana huruma Mama Profesa Tibaijuka anavyojitahidi kueleza ukweli wa alichochukua kutoka kwa kampuni tuhumiwa ili ajinasue na hili janga la aibu!
 
win8

JF-Expert Member
Nov 13, 2014
926
250
Mtu wangu wa karibu Dodoma (ccm) amenipa break hii hapa muda huu "Imeamuliwa vyovyote iwavyo ripoti hii isijadiliwe. Mkuu kasema hayuko tayari kuvunja cabinet kwa mara nyengine. na kwa kuwa Makinda alishatoa msimamo jana; imeonekana hawezi kuongoza mjadala wa leo maana hataeleweka...
kwa iyo akatatafutwa mtu "mwenye kifua" anayeweza kufanya vyovyote mjadala huu uahirishwe. Na katika wenyeviti wa bunge aliyeonekana kuweza "kudump" mjadala huu ni Mussa Azzan Zungu. So msitegemee lolote ifikapo saa 11:30 jioni. Mjadala ndo ushakufa.
 
J Mbungi

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
234
225
Mkuu TumainiEl- Wewe ni miongoni ma Watanzania weeeeeeengi sana ambao fikra na mawazo yao yametekwa na haiba ya rais..Nasema hivyo kwasababu wewe na mimi tunajua kuwa Ufisadi wa TANZANIA si wa mtu mmoja mmoja,wala kikundi cha watu,BALI ni mtandao unaoendeshwa na Serikali(Ndio maana Matukio yote ya Kifisadi uyeyuka na kuisha bila mtu kufungwa,bali geresha za hapa na pale)..Tungekuwa na serikali inayowajibika kuna watu wangelikwisha Nyongwa kwa uujumu uchumi).
Kuna watu wamefika mahali wakasema Rais ni mwizi jamani tumuogope Mungu huyu mzee wa watu angekuwa mwizi hata hizo kamati zisingeundwa tatizo ni walio mzunguka kwakweli wanaliangamiza taifa tuna rais msafi na asie ficha taka taka ktk serikali yake na nyote mtakuwa mashaidi pale atakapo neda sign baruwa za watakao jiuzulu tatizo lililopo sasa watu wana deal nyingine ukiacha hii inayo taka waondoa ktk uongozi wao ndio maana hawataki kuachia ngazi yani kiti ni kitamu inawauma
Upo uwezekano mkubwa watu kufutwa kazi huo ndi ukweli Kaka yao pinda atapigiwa kura then ndio mwisho wa safari
RAISI WETU NI MSAFI TENA KWA 100% ANAYE BISHA ATAKUBALI HAPO BAADAE
UJUMBE WA CHAMA HABEBWI MTU WAJIPIME NA WAACHIE NGAZI
 
TUTEER

Senior Member
Nov 6, 2013
161
170
Shikamooo serikali, mi ni mwananchi tu nisiye na haki hapa Tz, fanyeni tu mnachotaka. Kila kitu ni chenu wakuu, madini, mafuta, tembo, na mapori yote. Hata mkitaka kutuuza kwa wachina au wamarekani ni sawa tu hatuna tatizo na nyie kabisa. Hata ESCROW ni halali yenu wakuu tumieni mnavotaka. Asante
Umetisha
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,286
2,000
mkuu tumainiel- wewe ni miongoni ma watanzania weeeeeeengi sana ambao fikra na mawazo yao yametekwa na haiba ya rais..nasema hivyo kwasababu wewe na mimi tunajua kuwa ufisadi wa tanzania si wa mtu mmoja mmoja,wala kikundi cha watu,bali ni mtandao unaoendeshwa na serikali(ndio maana matukio yote ya kifisadi uyeyuka na kuisha bila mtu kufungwa,bali geresha za hapa na pale)..tungekuwa na serikali inayowajibika kuna watu wangelikwisha nyongwa kwa uujumu uchumi).
hoja kuu rais mwizi au sio mwizi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom