Azizi J Hamad
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 442
- 230
Ilani ya CCM, Sura ya 10, Ibara ya 251,(e), Uk.299. Hatua nyingine muhimu kwa Chama katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ni kuhakikisha kuwa, Chama kinatenga siku maalum kila wiki ili kusikiliza kero za wananchi na kuzifikisha serikalini kwa ajili ya kupatiwa ufumbuzi.
Kila siku ya Jumamosi, Chama Cha Mapinduzi kupitia Idara ya Itikadi na Uenezi inaskiliza kero za wananchi na kiziwasilisha serikalini papo kwa papo kwa ajili ya ufafanuzi na utatuzi wake, kupitia kipindi cha Papo kwa Papo, kuanzia saa3:00-5:00 usiku.
#PapoKwaPapo