Inashangaza sana kuona watu wanailaumu nchi ya Kenya kuzuia mahindi toka Tanzania kuingizwa nchini humo.
Watu wengi wanailaumu Kenya kana kwamba haina mamlaka ya kulinda raia wake na mipaka yake...
Huku serikalini amekanyaga katiba kwa kiwango kikubwa, ameikanyaga mihimili mingine (bunge na mahakama) kwa kiasi cha kutisha. Amevunja sheria na taratibu za utumishi na watumishi kwa kiasi...
Ulikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo...
Kuna msemo kuwa ili kupata matokeo yasiyo ya kawaida, ni lazima kwanza kufanya kitu kisichokuwa cha kawaida .
Sote tunakubaliana kuwa ili kukuza uchumi wetu, kwa vyovyote vile ni lazima tukuze...
Watu huangamia kwa kukosa maarifa, lakini watu huangamia kwa upumbavu wao au kiburi chao.
Sisi kama Taifa na dunia kiujumla tunalo la kujifunza kutoka Uchina na nchi za Asia, kulekule ambapo...
Wasafiri wanaoingia au kutoka Zanzibar kuanzia leo vipimo vyao vya Covid-19 vitachukuliwa kutoka hoteli kubwa na matokeo kupelekwa kwa mamlaka husika kwa njia ya elektroniki.
Hii inafuatia...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeingia mkataba na Serikali ya Jamhuri ya Korea kupata mikopo ya masharti nafuu kutoka Mfuko wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EDCF) yenye thamani ya hadi...
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe ametoa wiki moja kwa Mkandarasi kuhakikisha anaifanyia marekebisho Barabara ya Keko ili iweze kupitika kiurahisi.
Gondwe ametoa agizo hilo leo alipofanya...
Ukiangalia maoni ya wana CHADEMA mitandaoni, kufuatia huli suala la Kenya kuzuia mahindi toka Tanzania na Uganda utaona kabisa hawa jamaa wana ihofia sana Kenya na pengine wanahisi inaweza hata...
Nchi yetu ina upungufu mkubwa sana wa vyumba vya madarasa na shule. Maana wanafunzi wengi huwa wanakosa masomo sababu ya kukosa madarasa ya kusomea au shule kuwa mbali na maeneo wanayoishi...
Ninaumia sana tena sana pale ninapoona furaha na fahari tuliyokuwa nayo wanaccm katika awamu zilizopita inatoweka kwa kasi ya ajabu sana. Tumehangaika sana kutafuta ushindi 2015 kwasabb wapinzani...
Waziri wa Kilimo Prof Mkenda amesema kesho zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige litaendelea baada ya rubani aliyetelekeza ndege pale Kilimanjaro kurejea.
Mkenda amesema kuna kundi la nzige wadogo...
Wanna Jf,
Tanesco Tegeta wanafanya hujuma na ukatili wa hali ya juu, lengo kuzikataa mita za Baobab zinazotengenezwa Tanzania.
Nimesema hivyo baada ya kufanya tafiti zifuatazo.
1. Tanesco...
Kati ya majirani zetu ambao wanapaswa wawe soko letu kubwa la bidhaa za kilimo na biashara nyingine ni Wakenya.
Ila Kati ya watu ambao tumekuwa tukiishi nao Kama maadui kwa miaka sita Sasa ni...
Nchi ya Uganda, ambayo ni mwanachama wa EAC, anakusudia kuwashtaki wanachama wenzake, Tanzania na Kenya kwenye mahakama ya East Africa, kama mazungumzo hayatazaa matunda.
Nchi ya Kenya...
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Dk.Maulid Madeni amesema halimashauri hiyo, haitalipa Sh.bilioni 1.9 za fidia kwa wananchi wa Kata ya Olasiti katika eneo la Mradi wa kituo cha Mabasi...
Ushahidi huu hapa ni kielelezo cha ubora wa Taasisi hii kuongoza kwa sasa Africa na pengine duniani , kwa taasisi ambayo karibu viongozi wake wote wanakabiliwa na kesi mahakamani huku kukiwa na...
Kwa mujibu wa simulizi ya Dereva wa Tundulisu, ni kwamba Dereva alishuhudia tukio zima la upigwaji Risasi wa Tundu Lisu.
Dereva alishuka kwenye gari bila wauwaji kumuona na akaingia kwenye...
Wengi hushangaa wakisikia mtu asiye na kazi nchi zilizoendelea kuwa hulipwa posho kila mwezi na serikali
Siri yake ndogo tu ni kuwa miradi mikubwa ya maendeleo mila pesa nyingi kama mabarabara...
Nimesikitishwa na tabia ya Waziri wa ardhi, aliyoionesha akiwa Mwanza wakati baadhi ya wananchi walipomfuata kutoa malalamiko yao. Waziri badala ya kuwa msikivu na kuuliza maswali ya kiufumbuzi...