Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ACT Wazalendo ina wabunge 4 wa kuchaguliwa. CHADEMA ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa. CHADEMA haina mbunge wabunge wa viti maalumu wanadai walishawafukuza. J...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku...
13 Reactions
214 Replies
24K Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Naipongeza mamlaka ya mapato Tanzania(TRA) kwa mabadiliko makubwa mliyofanya kiasi cha kuifanya mamlaka kuwa rafiki badala ya kuwa adui kwa walipa kodi...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wale wanaosafiri safiri kidogo ninaamini wananielewa. Enzi za Mwalimu (RIP baba/babu yetu), huko ubeberuni huyu mzee ingawa walikuwa hawampendi kwa misimamo yake lakini walikuwa wakimwogopa na...
44 Reactions
120 Replies
13K Views
Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu asili za viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali huku hoja zikianzia kwenye mwonekano wa nje wa watu. Wapo wanaofananisha baadhi ya wanafamilia wa wateule au hata...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwenye taarifa ya habari ITV leo ya saa mbili nimemsikia Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe amepiga marufuku taasisi zilizo chini ya wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio...
11 Reactions
57 Replies
6K Views
Kauli hii imetolewa na mkurugenzi wa TRC ndugu Masanja Kadogosa akiwa Malampaka mkoani Simiyu. Kwa mujibu wa ndugu Kadogosa ni kuwa kutakuwa na kambi kubwa hapo Malampaka ambayo itachukua...
4 Reactions
69 Replies
7K Views
Ukweli ni kwamba, hawa Bwana wakubwa wamefanikiwa sana katika kupandikiza hofu na uoga katika jamii yetu na hata katika vyombo vyetu vya habari lakini wamefeli sana katika azima yao ya kutaka umma...
24 Reactions
37 Replies
4K Views
Hii ndio taarifa inayosambaa duniani hivi sasa, Mkutano huo wa Kimataifa utafanyika Makao Makuu ya CHADEMA, Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Nje kabisa ya Jiji la Dar es Salaam. Wote mnakaribishwa...
24 Reactions
117 Replies
13K Views
  • Closed
Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani... Ulazwe unapo stahili
5 Reactions
153 Replies
14K Views
Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe. Since the start of the Covid-19 pandemic, almost...
24 Reactions
150 Replies
13K Views
Leo chadema waliongea na Waandishi wa habari na kuomba Viongozi wa dini kuwapatia watu wa kuendesha maombi TP Sinza kwani wao ni wanasiasa. Ila baadae Polisi wakapiga marufuku maombi hayo na...
1 Reactions
63 Replies
8K Views
Msingi wa maendeleo ni jamii kuwa na hoja kinzani na mwisho wake tunafikia muafaka.Hoja yangu ni hii. Suala la sheria siku zote halina "option" kama ina ukakasi ni kuifuta na si kutoitekeleza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
“Katika kipindi cha kuanzia July, 2020 hadi January, 2021 jumla ya ajira 450,416 zimezalishwa katika sekta mbalimbali, kati ya ajira hizo, ajira 169,475 zimetokana na utekelezaji wa miradi ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Pamoja na changamoto zilizoikumba dunia ikiwemo mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango aliyasema hayo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tundu Lisu baada tu ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa alikimbilia ubalozi wa Germany kisha JNIA kukwea pipa na kurudi zake Ubelgiji. Hakuna kamanda yoyote kutoka Chadema aliyejitokeza...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Akizungumza katika makao makuu ya Wizara ya afya huko Mnazi Mmoja Zanzibar, Waziri Mazrui amesema Zanzibar haipo tayari kutumia chanjo yoyote ya Covid hadi pale wataalamu wa afya watakapoitafiti...
7 Reactions
55 Replies
6K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) mkoa wa Mara kimewavua uongozi na kuwafuta uanachama wanachama wake nane akiwamo aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Wilaya ya Tarime kwa kosa la...
9 Reactions
51 Replies
7K Views
Wana Jf, ni wazi kuwa serikali inapofanya maendeleo ya vitu hasa kujenga miundo mbinu, viwanda, na kuboresha sekta zote za kiuchumi lazima zilete matokeo chanya kwenye maisha ya watu. Lakini...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Imenilazimu kusafiri kilometa takribani 1000 ili kumuonesha Robert Amsterdam kuwa hawezi kutupangia nani awe Rais wa Tanzania. Ushindi upo ila tunataka uwe wa kishindo ili akome...
88 Reactions
284 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…