Rais Magufuli alizaliwa Oktoba 29, 1959 ambapo katika maisha yake kisiasa alianza kama Mbunge alioushinda mwaka 1995.
Mwaka 1995 hadi 2000 alikuwa Naibu waziri wa Kazi kipindi ambacho Rais...
Najiuliza tu kama CHADEMA wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lissu kugombea tena urais 2025.
Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa...
Sawa tumekubali tatizo la ajira ni kubwa lakini so kwa kiwango Cha kushindwa kuajiri wafanyakazi wapya. Miaka yote kuanzia enzi za mkapa watu wamekuwa wakiajiriwa kwanini Sasa hivi imekuwa ngumu...
Niliwahi kuandika kwa kuonya juu ya mmomonyoko wa maadili katika jamii tunayoishi, watu walipuuza lakini leo tunaishi matokeo ya mmomonyoko huo.
Baada ya mihimili mitatu ya kikatiba, muhimili...
Ni random thought.. Hivyo isichukuliwe kwamba ninafahamu lolote. Kufikiria hakuna mipaka.
Namuongelea Ben Saanane ambaye ni muda mrefu sasa ametoweka na hajulikani alipo. Kupotea kwake...
Kwa jinsi mambo yanavyoenda na huko tulipotoka, naamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa Rais Magufuli kutokuivusha Tanzania salama.
Nimeona vihashiria kuwa sasa wananchi wanaonyesha kuchoshwa kweli...
Wana bodi,
Nina mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunipa nafasi ku wasiliana na wote tena siku ya leo. Katika kipindi hiki ni vyema kwa wote kufahamu kwamba Rais Magufuli ku wasiliana na...
Kwanza tiuanze Kwa kuuweka ukweli wazi kabisa
Hawa wakifa Mimi sitakuja kujipendekeza eti hawana wa kuziba pengo Lao,
Kusema wakifa aimaanishi lazima wanitangulie maana hata Mimi naweza...
Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao.
Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na...
Leo nitaongea Jambo moja la ajabu kidogo. Nahili Jambo naliongea sio Kwa Nia mbaya Ila Kuwa fungua macho nakuitahadharisha serikali ikiwa kuna ukweli basi wajuwe kule tunaenda watatuumiza na...
Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya viongozi hasa wakuu mbalimbali wa taasisi, idara na vitengo, nk. wakatumia huu ukimya wa Rais kupora mali kwa kisingizio cha kutumwa na Rais ama wakapora kinyume...
Marehemu Hugo Chavez alikuwa kiongozi anayefaa na kama hapa Tanzania tungekuwa na kiongozi kama Hugo Chavez tungefurahia kuwa Watanzania.
Leo hii hili taifa lina kila aina ya rasilimali ambazo...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu waTanzania Mhe Mohamed Chande Othman pamoja na ujumbe wake walipomtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu...
Usiku huu, Aloyce Nyanda (Mtozi) amekuwa na kipindi muhimu katika Star TV usiku huu. Agenda Kuu ilikuwa ni Maadili ya Uandishi wa Habari kufuatia Vyombo vya Habari vya mataifa mengine kuripoti...
Hebu itazameni na nyie hiyo mimbari aliyoitumia Mama Samia Hassan.
Iko na muonekano wa hovyo. Imechokachoka.
Haina nembo ya ‘Makamu wa Rais’.
Mzee Mwanakijiji aliwahi kulizungumzia jambo hili...
Kila eneo analopita waziri wa afya Dkt. Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk.
Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi...
Katika kile kinachoonekana kama mwendelezo wa propaganda za kisiasa za kupika dhidi ya wagombea wa urais wa UKAWA kupitia CHADEMA yameelezwa mengi kwa lengo la kumchafua na kumdhoofisha...
Kwa mliosikia hotuba ya leo ya Mama Samia Suluhu, ametoboa siri ya miaka miwili ya mwanzo kama Makamu wa Rais! Amesema yeye na Waziri Mkuu walikuwa wanamlaani Magufuli kwa kuwakemea lakini baadaye...
Ndugu Nape alipohojiwa kuhusu vuguvugu la kumuongezea Rais Magufuli muda wa utawala wake amesema haya yafuatayo.
1. Kwanza anashangazwa na kwamba ndiyo kwanza miaka mitano ya muhula wa pili wa...
Mshikamano huu si kwa walio nchini tu bali wale wote wanaoishi nchi za nje bila kupenda.
Kama kuna Mtanzania yeyote aliikimbia nchi, naomba arudi 'tushikamane' tujenge nchi yetu.
Kama kuna...