Edward Lowassa: Wako waliosema nitakufa lakini mpangaji wa yote ni Mungu

Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
14,031
Likes
31,831
Points
280
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
14,031 31,831 280
"Bila Ujasiri na Umoja wa Dhati hawa jamaa lazma wataendelea kutupiku lakini niwashukuru vile vile kwa kukubali kubeba lawama juu yangu wako waliosema huyu ni mgonjwa na atakufa bado mlinipigia kura nyingi ila Mungu ndiye hupanga yote"
img-20161126-wa0055-jpg.439791

Edward Lowassa - Mbinga
 
G

GeeM

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2014
Messages
1,901
Likes
1,200
Points
280
G

GeeM

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2014
1,901 1,200 280
Tukiweka ushabiki pembeni, Huyu mzee ukimchunguza anaonekana kuwa na hekima sana kuliko viongozi wengi wa zama hizi. From the start hata kampeni zake zilikuwa za kistaarabu sana, na hata baada ya matokeo hakuonekana kuweweseka, ni mtulivu na ni mfano wa kuigwa kwakweli.
 
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,701
Likes
18,488
Points
280
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,701 18,488 280

Ndiyo yameniingia kwa sababu nategemea zaidi kutoka kwa Kiongozi wa Kisiasa zaidi ya kupiga ramli hapa, kwani kuna tofauti gani fisadi Lowasa asipokufa leo? Si ni swala la muda tu kabla na yeye au Binadamu mwingine yoyote yule hajafa, sasa kwa nini hata anaongelea jambo la kijinga namna hiyo?

Tunataka kusikia chadema kama Chama cha Siasa wana ajenda gani kwenda mbele na siyo kuongelea vifo.
 
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
14,031
Likes
31,831
Points
280
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
14,031 31,831 280
Ndiyo yameniingia kwa sababu nategemea zaidi kutoka kwa Kiongozi wa Kisiasa zaidi ya kupiga ramli hapa, kwani kuna tofauti gani fisadi Lowasa asipokufa leo? Si ni swala la muda tu kabla na yeye au Binadamu mwingine yoyote yule hajafa, sasa kwa nini hata anaongelea jambo la kijinga namna hiyo?

Tunataka kusikia chadema kama Chama cha Siasa wana ajenda gani kwenda mbele na siyo kuongelea vifo, huyu jamaa ni idiot!
Je maono mbona yaliwawewesesha
 
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
6,726
Likes
1,588
Points
280
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
6,726 1,588 280
Hayo maneno yameniuma sana.
Tuko pamoja Mzee wangu,panapo majaaliwa nitakupigia tena kura 2020 In Shaa Allah
tahadhari usije kupiga kura ya huruma. utakua umepoteza kura yako.
 
Hansss

Hansss

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2015
Messages
2,345
Likes
2,547
Points
280
Hansss

Hansss

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2015
2,345 2,547 280
Mwanasiasa aliyejitoa kufundisha siasa kwa upinzani jins wanavyotakiwa kuishi kisiasa.
 
kopites

kopites

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Messages
5,079
Likes
4,328
Points
280
kopites

kopites

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2015
5,079 4,328 280
Ndiyo yameniingia kwa sababu nategemea zaidi kutoka kwa Kiongozi wa Kisiasa zaidi ya kupiga ramli hapa, kwani kuna tofauti gani fisadi Lowasa asipokufa leo? Si ni swala la muda tu kabla na yeye au Binadamu mwingine yoyote yule hajafa, sasa kwa nini hata anaongelea jambo la kijinga namna hiyo?

Tunataka kusikia chadema kama Chama cha Siasa wana ajenda gani kwenda mbele na siyo kuongelea vifo!
Nadhani sasa mshanyooka na midomo yenu,wale waropokaji cku hizi wapo kimya
 
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
10,627
Likes
8,995
Points
280
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
10,627 8,995 280
Ndiyo yameniingia kwa sababu nategemea zaidi kutoka kwa Kiongozi wa Kisiasa zaidi ya kupiga ramli hapa, kwani kuna tofauti gani fisadi Lowasa asipokufa leo? Si ni swala la muda tu kabla na yeye au Binadamu mwingine yoyote yule hajafa, sasa kwa nini hata anaongelea jambo la kijinga namna hiyo?

Tunataka kusikia chadema kama Chama cha Siasa wana ajenda gani kwenda mbele na siyo kuongelea vifo,
Nimekusikitikia sana hivi nikuulize tu unajua lengo.la wewe kua hapa duniani kama hata huez kung'amua ujumbe wa mtu anachoongea
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
107,349
Likes
131,919
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
107,349 131,919 280
"Bila Ujasiri na Umoja wa Dhati hawa jamaa lazma wataendelea kutupiku lakini niwashukuru vile vile kwa kukubali kubeba lawama juu yangu wako waliosema huyu ni mgonjwa na atakufa bado mlinipigia kura nyingi ila Mungu ndiye hupanga yote"

Edward Lowassa - Mbinga
Ndio kwanza wanazidi kupukutika
 
Forum statistics

Threads 1,273,052
Members 490,245
Posts 30,469,012