Mabibi na mabwana hii clip inajieleza:
Hii ni katika ziara ya makamu wa rais mama Samia.
Huyu jirani yetu asiyekuwa mwema, kazi anayo.
Maendeleo hayana vyama!
Pamoja na mapungufu yake katika awamu ya nne, Rais Kikwete aliweza kujenga mshikamano kwa Watanzania kwa asilimia kubwa jambo ambalo kwa sasa hivi limepungua sana.
Uchumi ulizidi kuimarika, deni...
Siku ikitokea kuwahamisha hawa wa Machinga basi Police waje wajiandae kwa Mabomu ya machozi ya kutosha.
Kadri muda inavyo songa mbele ndio swala la kuja kuwahamisha litakavyo kuja kuwa gumu mno...
Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,
Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama...
Wizara ya mifugo na uvuvi imetetea uamuzi wa kuchoma vifaranga kwani ni utaratibu unaotambulika kimataifa na kwa mujibu wa sheria namba 17 ya sheria ya wanyama ya mwaka 2003 imechukua uamuzi huo...
Mimi binafsi na CUF- Chama Cha Wananchi tumepokea kwa masikitiko makubwa Taarifa ya Kifo cha Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli kilichotokea jana Machi 17, 2021 saa 12:00 jioni kutokana na...
Leo Mama Samia ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na...
Taifa lipo kwenye Msiba wa viongozi wetu ambao wametangulia mbele za haki kwa Mapenzi yake Mungu, Kumetokea tabia mbaya ya kuzushiana, (Na fulani anaumwa, na fulani naye anaumwa.
Mara nasikia...
Mwaka Jana kodi ya mshahara ilipunguzwa toka 11% mpaka 9%.
Pia annual increment ilikuwepo,
Na kuanzia May mwaka Jana 2018, promotion zilianza.
Kama Leo pia mmemsikiliza Msigwa, katibu mkuu TUCTA...
Na Thadei Ole Mushi
Hiyo nembo hapo ina Jembe na Nyundo, Jembe likimaanisha CCM ni chama cha Wakulima na Nyundo ikimaanisha kuwa chama chetu ni cha wafanyakazi.
Nimemsikia Mbunge wa Chadema...
Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguzwa na taarifa za kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021.
Amesema kwa maadili ya dini ya kiislamu...
Nimesikia leo Rais Magufuli anasema kuna 'matajiri' wanahonga magazeti
ili yaandike habari za njaa wakati hakuna njaa..
Najiuliza maadui wa Magufuli wako wengi kiasi hiki?
Kwenye sukari...
Huu mchanganyiko ni mkubwa sana kwa Mawaziri, Manaibu, Makatibu Wakuu, Manaibu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Wakurugenzi na Wabunge ambao wanajua hawakuweza kutembea ilibidi wabebwe.
Wengi watarudi...
Juzi nilipoona TBC1 wako 'live' kwenye sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja wa Paul Makonda na watu wakawa wanajiuliza inakuaje TBC1 hawaoneshi bunge live lakini wanaonesha sherehe kama hiyo nikawa...
Tunafahamu JPM (R.I.P) alikuwa rais mwenye msimamo mkali na maamzi magumu. Swali hapa ni je, mama atafuata nyayo zake au atakuja na sera mpya?
Je, haya yafuatayo atayashughulikia vipi?
- Suala...
Sokoine hakuridhika na kuambiwa tu matatizo.alifanya juhudi kubwa katika kujionea mwenyewe na alifuatilia utekelezaji wa kazi za serikali.
Ndivyo alivyo Rais Magufuli haridhiki kwa kuambiwa tu...
Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter
“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba.
Nachambua Taarifa za Benki...
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema Rais John Magufuli amemuagiza kuwakumbusha Wananchi wa Tanga kuchapa kazi ili kuharakisha Maendeleo ya Mkoa huo
Amesema, "Rais pia anawataka mzitumie...
Tumsifu Yesu Kristo,
POLE na majukumu, kwako Katibu mkuu wangu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC, Rev.Dr.Charles Kitima ni mwalimu wangu wa chuo kikuu SAUT na Pia binafsi nimesomeshwa...