FORBES: Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi’

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
FORBES wanasema Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi, mleta maendeleo’, ndani ya story hiyo wanaeleza mafanikio kedekede ya serikali yake

FB_IMG_1560885885880.jpg


Screenshot 2019-06-19 at 09.29.03.png
 

Attachments

  • PENRESA_FORBES-TANZANIA_2019.pdf
    3 MB · Views: 71
Hao fobers wanajua lakin kuwa korosho zinaozea gharani
Forbes ni gazeti la kibiashara na wafanya biashara. Wanajua fika kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi. Ili mambo yakae sawa, lazima mistakes zitakuwepo.
Wajanja ni wale.wanao endelea mbele hata baada ya matatizo kutokea. Imagine kama kila mtu angelikuwa anakata tamaa first round, maisha yangekuwaje leo
 

Hawa Forbes Africa la Johannesburg Gauteng South Africa watakuwa wamepewa pesa kuipamba serikali ya CCM ya awamu ya tano. Magazine halisi ya Forbes ya America haiwezi kukubali kutumika kama www.ForbesAfrica.com


Forbes magazine la Forbes Media ni la uhakika www.forbes.com la Jersey City, New Jersey USA haliwezi kukubali kununuliwa kuwahadaa wawekezaji wa ukweli :
Malcolm Stevenson "Steve" Forbes Jr. is an American publishing executive, who was twice a candidate for the nomination of the Republican Party for President of the United States. Forbes is the Editor-in-Chief of Forbes, a business magazine.

Forbes Media Chairman Steve Forbes weighs in on the corporate tax rate and on growing the economy.
 
Hawa Forbes Africa watakuwa wamepewa pesa kuipamba serikali ya CCM ya awamu ya tano. Magazine halisi ya Forbes ya America haiwezi kukubali kutumika kama www.ForbesAfrica.com


Forbes magazine la uhakika www.forbes.com la Jersey City, New Jersey USA haliwezi kukubali kununuliwa kuwahadaa wawekezaji wa ukweli :
Malcolm Stevenson "Steve" Forbes Jr. is an American publishing executive, who was twice a candidate for the nomination of the Republican Party for President of the United States. Forbes is the Editor-in-Chief of Forbes, a business magazine.
Lakini wananchi hatumtaki kabisaaaa
 
Back
Top Bottom