Marehemu Lwajabe anatajwa katika sakata la Kabendera; Kuna nini?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Nimejaribu kufuatilia ishu ya Kabendera naona Kuna mtu anatajwa Anaitwa Lwajabe ambae alikufa kwenye mazingira ya ajabu na kutatanisha na alikuwa anafanya kazi wizara ya fedha au foreign.

Sasa swali langu ni je kwani kulikuwa na nini katika watu Hawa wawili? Je kifo cha Lwajabe ni mwendelezo wa misukosuko anayopewa Kabendera?

Naamini ndani ya JamiIforums hili PANDORA BOX litafunguliwa bila kuumiza mtu.
Nasimama na Kabendera mpaka mtuambie ana nini na Lwajabe.

Usiku mwema na majibu twasubiri!

Paskali
 
Wapi Kabendera ametaja marehemu Lwajabe ??? Tatizo la ufipa ni kuficha ukweli ulio dhahiri, Kabendera alikuwa analipwa na Acacia kwa kazi ya kuichafua serikali, baada ya Barrick kumalizana na serikali, wamemuuza Kabendera kwa kutoa siri ni nani waliyekuwa wanamtumia kuichafua serikali.

Hakuna nchi inayovumilia usaliti, mbele ya macho ya usalama, Kabendera anachopata ni haki yake, na ashukuru hata kuwa hai tu maana nchi nyingi wasaliti aina ya Kabendera wanachukuliwa kama “foreign agent” tu ambao vifo ni miongoni mwa adhabu zao “kihalali” kwa macho ya kiusalama.
 
On another note, kwa nini habari za wiki 2 zilizopita za jamaa wa LHRC, Tito Magoti na za muendelezo wa kesi ya Kabendera hazijapelekwa kwa vyombo vya habari vya kimataifa kama kawaida?

Ni kwamba mhusika aliyekuwa anasukuma hizi habari yupo likizo au beberu amehakikishwa maslahi yake yatalindwa ameamua awatose nyumbu aliokuwa anawatumia?
 
Kuna mambo mazito sana hapa ila hayawekwi wazi. Lakini hata hivyo, haihitaji rocket science kunga'mua kinachoendelea.

Katika kashfa ya Watergate, kulikuwa na "whistleblower" mmoja aliyekuwa akiitwa Deep Throat (Mark Felt). Huyu bwana kila alipododoswa sana kuhusu taarifa za ndani za high crimes za bwana Nixon, alipenda kuwaambia wachunguzi wa mambo maneno haya matatu "follow the money."

Vivyo hivyo, wale mnaotaka kujua kinachoendelea kuhusu Kabendera (na mengine mengi), fuateni kanuni hiyo hiyo. "Follow the money."

Ila mkae chonjo. Msijisahau kama brother Kabendera. It seems to me, the poor soul dropped his guard just a tad, completely overlooking the perils of what he was involved with, and just how dangerous the trail of the money was.
 
Hamtaki kusikia ukweli kuwa Kabendera alikuwa analipwa na Acacia ili kuichafua serikali ? Au unafikiri hizo 176m anazotuhumiwa kutakatisha zimetoka mbinguni?
kwanini serikali ilikawia kumustaki kabendera mahakami kuhusu hizo 176m, pls jaribu kutumia akili, hii ni kesi ya kubadikiwa, lakini watu kaa nyinyi ambao muabudu chama cha kijana hamuelewi
 
Nietzsche,
so you want us to beleive kabendera was charged coz of exposing the theft of 1.5trn or? pls dont try to ever compare the nixon case with what is happening with kabendera, kabendera is just being prosecuted by a cluless dictator who kills at whim, nixon ilikuwa mchezo diffrent kabisa, after all dont ever compare apples with pears bro
 
On another note, kwa nini habari za wiki 2 zilizopita za jamaa wa LHRC, Tito Magoti na za muendelezo wa kesi ya Kabendera hazijapelekwa kwa vyombo vya habari vya kimataifa kama kawaida?

Ni kwamba mhusika aliyekuwa anasukuma hizi habari yupo likizo au beberu amehakikishwa maslahi yake yatalindwa ameamua awatose nyumbu aliokuwa anawatumia?
Humu ni kama ngomani tu,mwanzoni mtu atashabikiwa wee,mwisho wanamuacha akiitesa familia yake
 
kwanini serikali ilikawia kumustaki kabendera mahakami kuhusu hizo 176m, pls jaribu kutumia akili, hii ni kesi ya kubadikiwa, lakini watu kaa nyinyi ambao muabudu chama cha kijana uelewa wenu ni duni sana
Ni nini kabambikiwa hapo ? Serikali haijachelewa ila identity ya Kabendera imejulikana tu baada ya serikali na Barrick kufukia makubaliono, ni wazi Barrick ( Acacia) ndio wameuza identity ya nani waliyekuwa wanamtumia kuichafua serikali.

Kama unalipwa hela na beberu ili kuichafua serikali, wewe ni kama “foreign agent “ tu na watu wa usalama watahakikisha unapata haki stahili, kwa Kabendera kuwa hai tu ashukuru Mungu kwa sababu “foreign agent” yoyote kuuliwa ni haki yake pia.
 
Kuna vitu unatakiwa kufanya tuu kama huna familia na kama huhitaji uhuru
 
Back
Top Bottom