Sitaki kuwafundisha kufanya maamuzi lakini mnatakiwa mtoe adhabu kali kwa wanaowatisha kua msipowachagua watawanyima Maendeleo. Wakataeni hawa na waonyeshe ni kua mmechukizwa na kauli hizi...
Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
Awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya Kinana,Maalim Seif na Slaa basi padri ataishia hospitalini kwa...
Wakati wa udogo wetu nyumbani kwetu na familia zilizo kuwa zina tuzunguka ilikuwa mwiko kusema uongo, ulikuwa ukisema uongo unaadhibiwa bila ajizi kwa tashititi bila kupepesa macho.
Miongoni mwa...
Magufuli alionyesha utofauti kama kiongozi tangu mwanzo wa safari yake ya uongozi na siasa.Katika ngazi zote za utendaji na kama Waziri,alitimiza wajibu wake katika kila eneo.Akawa kivutio...
Nadhani hii ni baada ya wananchi na waasi wa hii nchi kuchoshwa na manyanyaso ya raisi wao wakamtenda hivi baada ya kumpindua miaka ya 1990s.
African presidents take care kwani uvumilivu wa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi atafanya ziara hapa nchi Disemba, 7 na 8 mwaka huu.
Ziara hii imekuja mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika kwa njia ya simu...
Kwenu Tanzania,
Pole ni kwa kuondokewa na kiongozi wa nchi. Kiongozi mkuu wa nchi anapoondoka,iwe kwa kumaliza muhula au kwa kufa,lazima kuwe na mabadiliko ya watendaji, mtazamo mpya, mtindo wa...
Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk...
lita 1000 ya maji ya Chumvi tulikuwa tunanunua Tsh 15000.
Tuliletewa na Gari na lenyewe hadi uwe unachukua kuanzia lita 3000.
Hadi unaondoka tunaipata mubashara kwa tap Lita 1000 T-sh Kama 1500...
Najua tuko kwenye majonzi kutokana na msiba mzito tulioupata.
Lakini tukiwa tunaendelea na maombolezo ni muhimu tukakumbushana mambo machache yaliyofanyika au kutendeka katika kipindi cha miaka...
MASWALI YASIYO SAHIHI HULETA MAJIBU YASIYOSAHIHI: TATIZO LA KUDHANIA
Na. M. M. Mwanakijiji
Katika hoja yangu ya wiki iliyopita nilijikuta nami nimechokosa udhanifu (assumptions) katika kujenga...
Inashangaza watu unakomaa kukanusha habari za wamachinga kulazimishwa kufunga maduka ili washiriki maombolezo ya kitaifa huku unaacha kukanusha kama kweli au si kweli watu 45 wamefariki na wengine...
Kesho bunge la JMT litapata fursa ya kumuaga hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania ambaye pia ni sehemu ya bunge.
Shughuli za kuaga zitafanyikia kwenye viwanja vya bunge.
Wabunge wengi...
Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko Mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia...
Jamani ni ushauri tena tumeshaona kwa muda mfupi tu ni viongozi wangapi wamepoteza maisha mwaka huu tu kwa miezi mitatu. Lakini hatujui ni Watanzania wangapi hasa wenye umri mkubwa na wale wenye...
Wakiongea kupitia BBC maasikofu na wachungaji wamesema wanasikitishwa na hali inayoendelea Tanzania juu ya matukio ya watu kushambuliwa na hata kuvunjwa mikono. wanasema wanataka iundwe tume huru...
Ni vigumu wahuni wakaingia kariakoo nakufunga biashara za watu, waliofanya Yale Ni vyombo n walikuwa na maelekezo yakufanya hivyo. Kama ni wahuni Basi kamanda wa polisi ilala na hata kanda maalumu...
President Buhari Congratulates Tanzania’s First Female President, Samia Suluhu Hassan
Nigeria’s President, Muhammadu Buhari has congratulated the newly sworn-in Tanzanian first female President...