Familia ya Hayati Dkt. Magufuli kuchunguza waliojisajili mtandaoni kwa jina la familia

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Familia ya Hayati Dkt. John Magufuli imeiomba Serikali kuchunguza na kuchukua hatua dhidi ya watu waliojisajili mtandaoni kwa kutumia jina la Familia hiyo kwakuwa wanapotosha Jamii

Ngusa Samike ameeleza hayo kwa niaba ya Familia ya Hayati Dkt. Magufuli wakati akitoa neno la shukrani baada ya mazishi, ambapo amesema kumekuwa na taarifa zikizunguka kupitia mitandao

Video:

Sio wezi ila wanatumia profile za watoto wa magufuli kuwachafua kina january,kikwete and co kma wamehusika kwenye kifo cha mzee wao...
Hii issue naona tuipe muda tutapata majibu, kawaida mwanzo huwa mgumu, ila tusubiri kidogo tuone watakachoandika hao jamaa kwenye hiyo page yao then tuchanganye na zetu tutajua kama ni credible source au waongo.

Hata yule mwingine twitter alivyoanza hakuaminika, ila as time goes by now amegeuka source of info, so let's relax for the time being.

Nijuavyo hakuna siri ya wawili, wakishakuwa wawili hiyo sio siri tena, inawezekana wakawa wanajuana huko serikalini na kwenye taasisi zake.
 
Nao wanadeal na both vya kitoto halafu haikuwa na haja ya kuandika au kuongelea pale msibani.familia ya Rais mnahangaikia kuongea ishunza Facebook msibani ? Hiyo so kazi ya walinzi wenu tu BTW wao wapo msibani halafu wanacheki mitandao ya nini🤷
 
Familia ya Hayati Dkt. John Magufuli imeiomba Serikali kuchunguza na kuchukua hatua dhidi ya watu waliojisajili mtandaoni kwa kutumia jina la Familia hiyo kwakuwa wanapotosha Jamii

Ngusa Samike ameeleza hayo kwa niaba ya Familia ya Hayati Dkt. Magufuli wakati akitoa neno la shukrani baada ya mazishi, ambapo amesema kumekuwa na taarifa zikizunguka kupitia mitandao

Video:

View attachment 1735099
Wamuhoji Veronica france aseme joyce Magufuli ni nani
2723999_FB_IMG_1616703647349.jpg
 
Back
Top Bottom