Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,571
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?.
Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?.

Tangu kutumbuliwa kwa Top Diplomat No. 1 kwa Tanzania, Waziri wa Nje, Balozi Liberata Mulamula, bila kutolewa sababu zozote, huku kwenye mitandao ya kijamii kumelipuka kila mtu akisema lake na watu kuzua sababu mara ni Mama kupandishwa "School Bus London", mara "She is American Subject", mara "ni wivu wa kike kwani Balozi apige picha na naniliu, alipaswa pale awe mama, hivyo mama amemind", mara... mara, mara alumuradi kila mtu anasema lwakwe!,

Tanzani tumepata uhuru toka kwa Waingereza, hivyo tukaiga mfumo wa serikali wa Uingereza ambapo mawaziri ni wabunge. Katiba yetu pia ikampa rais mamlaka ya kuteua wasaidizi wake atakavyo bila kutoa sababu na huwatumbua atakavyo bila kuwajibika kutoa sababu, yaani hiring and firing as she pleases kwasababu the appointment imefanywa with the president's pleasure hivyo kutumbua as she pleases na hatuna haki kuuliza sababu!, huku ni kumuingilia rais!. Hakuna rais aliyeteua na kutumbua kama JPM, na sikumbuki kuona watu wakidemand kuambiwa sababu kama sasa.

Kwenye uteuzi na utumbuzi wa majipu, enzi za JPM, mimi nilipandisha hoja hoja zaidi ya 100!, nakuwekea baadhi kwa wenye muda
  1. Jee sasa should we demand more right to Information and more transparency kwenye teuzi za key posts?. Sasa hivi tunaishi kwenye the world of information power, jee sasa tuhitaji rais akiteua, atoe sababu za kumteua fulani kwenye key posts, na siku akimtumbua, pia atoe sababu kwanini amemtumbua?, au tuendelee na utaratibu wetu, wa rais kujiteulia yoyote bila kutoa sababu kwa yeyote na siku akitumbua, ni kujitumbulia tuu bila kuwajibika kutoa sababu yoyote kwa yeyote hata kama mtumbuliwa hana kosa lolote?. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!, hivyo hata huu utumbuaji tusihoji?.
  2. Jee tumefika wakati teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Kama posts za majaji, Gavana wa BOT, GAG, zina kipengele cha security of tenure, rais anaweza kuwateua tuu lakini hawezi kutengua, ili wafanye kazi kwa uhuru, yaani indepent, na sio kuteuliwa kwa hisani, hivyo kuwajibika kwa hisani ya kutegemea huruma ya mteuzi hivyo kufanya kazi kwa nidhamu ya woga ?
  3. Should we adopt the American System of Government Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Watanzania wenye sifa waombe, wachujwe, wateuliwe, waidhinishwe na Bunge na kutimiza majukumu yao independently bila kutegemea hisani au huruma ya mtu yoyote?.
  4. Kwa hali ilivyo sasa hizi teuzi za at presidents pleasure, siku rais ameamka vizuri, akifurahi, mtu unalamba teuzi, siku akiamka vibaya, unatumbuliwa!. Do we still need this?.
Paskali
 
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri Wasiwe Wabunge ili Wawajibike Bungeni?.

Yes point muhimu sana hii na ndio umuhim wa katiba mpya ,turekebishe haya kwa maslahi mapana ya nchi yetu
 
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Should we adop the American System of Goverment Mawaziri Wasiwe Wabunge ili Wawajibike Bungeni?.

Imeendelea...
Nimeelewa hoja yako ila kaka hiki kiswakinge kilikuwa na ulazima? Kwamba ungetumia kiswahili moja kwa moja usingeeleweka?..

Oh nimesahau kumbe wewe ni mmojawapo wa "learned brothers" lazima uoneshe umahiri kwenye lugha zaidi ya moja.

Tukirudi kwenye hoja... Nadhani umefika muda muafaka rasimu ya katiba ya mzee Warioba ipitishwe kuwa katiba rasmi

Vinginevyo thread za namna hii zitaibuka kila siku. Ilipigiwa kifua na wapinzani naona hivi sasa hata Sukuma gang wanaona umuhimu wake....

Mwendazake angekuwa hai hivi sasa hii thread isingeanzishwa...Mungu yu mwema daina
 
Mbona katiba mpya ingetibu yote, kwa katiba ya sasa hakuna demokrasia wala utawala bora ni ujanjaujanja wa kiuongozi wa mfumo wa chama kimoja ndio maana haijawahi kutokea tukafanya uchaguzi huru na wa haki toka tupate uhuru, Kenya tu hapo Rais anateua lakini bunge lazima lithibitishe post zilizo nyingi,
 
Hata mgawanyo wa rasilimali unatakiwa uendane na idadi ya watu haiwezekani Zanzibar inawatu milioni moja laki tano ipate mgawanyo kuizidi mwanza yenye watu milioni karibu nne lazima katiba mpya iseme yote ikiwapo ya serikali tatu ili Tanganyika iwepo kama ilivo Zanzibar
 
Uteuzi huwa ni kwa watu wafuatao
1. Watu wazito
2. Watoto wa watu wazito
3. Watu wenye "connection" na watu wazito
4. Watu waliopo kwenye zamu ya kulamba asali na watu wazito
5. Wenye uchawa na watu wazito

Kiufupi watu wazito= uteuzi

Wengine tusubirie uteuzi wa Mbinguni.

Nawasilisha.
CCM bila katiba mpya ujue ni asali asali asali. Hakuna kulala
 
Ni jambo la msingi kabisa hili.
Mawaziri wasiwe wabunge ...Rais akichagua ..Bunge linafanya vetting na kupiga Kura...but since nchi yetu bado changa Rais apewe veto...Bunge lilikataa bado anapiga veto...mradi msimamo wa Bunge anaujua...
Inasikitisha Sukuma gang waliokuwa wanashangilia mwendazake kuiweka kapuni rasimu ya katiba ya Jaji Warioba.... Hivi sasa ndio wanalia wakiona umuhimu wake....

Karma is a bitch
 
CCM bila katiba mpya ujue ni asali asali asali. Hakuna kulala
😂
Kwa jinsi nchi yetu "ilivyokaa", katiba mpya sio suluhisho. Hata ikija leo madudu yataendelea tu. Hivi unawajua ccm vizuri au mnawasikia? Yaani hata kama tungetumia katiba ya USA bado ccm wangekuwa na nguvu mno. Watu wengi mnawachukulia poa ccm 😂. Mnadhani ni vile vibendera 😂😂😂. Endeleeni kujidanganya na katiba mpya 😂😂😂😂.
Unadhani kwa nini nchi za afrika magharibi huko kila siku watu wanapinduana?
 
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts?

...unamaanisha na taarifa kamili za kutenguliwa?
Mkuu nafikiri inategemea na kazi na mamlaka za hizo posts??? Serikalini?-S.J.M- Au mashirika ya Serikali kama vile TSSF et al
Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure?
I agree. To be endorsed by bunge. Katiba inatosheleza according to some stalwarts ila haifuatiliwi "ipasavyo" sasa?
...yaani kweli...ha
Kuna ibara katika Katiba ya Muungano inayoyodai nini yafanyike pale hao kwenye "key post" wanapovurunda(kushindwa kumudu majukumu) na kama imo ibara, kipengele au hata kasentensi itafuatiliwa na Bunge lilivyo sasa?? Halina upinzani wa kweli!
Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri Wasiwe Wabunge ili Wawajibike Bungeni?.
Hata tuki adopt ya "Mwenye Kutapa" sic haya tunayoyaona siyo mazingaombwe.

Hapana. Katiba mpya, Vyama vya siasa(CCM haikubaliki) na v viruhusiwe kwenye shughuli za Taifa. Wabongo Siasa tumekomaa. Ni Wachache waoga.
 
Uteuzi huwa ni kwa watu wafuatao
1. Watu wazito
2. Watoto wa watu wazito
3. Watu wenye "connection" na watu wazito
4. Watu waliopo kwenye zamu ya kulamba asali na watu wazito
5. Wenye uchawa na watu wazito

Kiufupi watu wazito= uteuzi

Wengine tusubirie uteuzi wa Mbinguni.

Nawasilisha.
Ambao hatuna connection na watu wazito tukutane ajira portal
 
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri Wasiwe Wabunge ili Wawajibike Bungeni?.

Tangu kutumbuliwa kwa Top Diplomat No. 1 kwa Tanzania, Waziri wa Nje, Balozi Liberata Mulamula, bila kutolewa sababu zozote, huku kwenye mitandao ya kijamii kumelipuka kila mtu akisema lake na watu kuzua sababu mara ni Mama kupandishwa "School Bus London", mara "She is American Subject", mara "ni wivu wa kike kwani Balozi apige picha na naniliu, alipaswa pale awe mama, hivyo mama amemind", mara... mara, mara alumuradi kila mtu anasema lwakwe!,

Tanzani tumepata uhuru toka kwa Waingereza, hivyo tukaiga mfumo wa serikali wa Uingereza ambapo mawaziri ni wabunge. Katiba yetu oia ikampa rais mamlaka ya kuteua wasaidizi wake atakavyo bila kutoa sababu na huwatumbua atakavyo bila kuwajibika kutoa sababu, yaani hiring and firing as she pleases kwasababu the appointment imefanywa with the president's pleasure hivyo kutumbua as she pleases na hatuna haki kuuliza sababu!, huku ni kumuingilia rais!. Hakuna rais aliyeteua na kutumbua kama JPM, na sikumbuki kuona watu wakidemand kuambiwa sababu kama sasa.

Kwenye uteuzi na utumbuzi wa majipu, enzi za JPM, mimi nilipandisha hoja hoja zaidi ya 100!, nakuwekea baadhi kwa wenye muda
Jee sasa should we demand more right to Information kwenye teuzi za key posts?. Sasa hivi tunaishi kwenye the world of information power, jee sasa tuhitaji rais akiteua, atoe za kumteua fulani kwenye key posts, na siku akimtumbua, pia atoe sababu?, au tuendelee na utaratibu wetu, wa rais kujiteulia yoyote bila kutoa sababu kwa yeyote na siku akitumbua, ni kujitumbulia tuu bila kutoa sababu yoyote hata kama mtumbuliwa hana kosa lolote?. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!, hivyo hata huu utumbuaji tusihoji?.

Nakubaliana na hoja ya mawaziri kutokuwa wabunge
 
Nin
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri Wasiwe Wabunge ili Wawajibike Bungeni?.

Tangu kutumbuliwa kwa Top Diplomat No. 1 kwa Tanzania, Waziri wa Nje, Balozi Liberata Mulamula, bila kutolewa sababu zozote, huku kwenye mitandao ya kijamii kumelipuka kila mtu akisema lake na watu kuzua sababu mara ni Mama kupandishwa "School Bus London", mara "She is American Subject", mara "ni wivu wa kike kwani Balozi apige picha na naniliu, alipaswa pale awe mama, hivyo mama amemind", mara... mara, mara alumuradi kila mtu anasema lwakwe!,

Tanzani tumepata uhuru toka kwa Waingereza, hivyo tukaiga mfumo wa serikali wa Uingereza ambapo mawaziri ni wabunge. Katiba yetu oia ikampa rais mamlaka ya kuteua wasaidizi wake atakavyo bila kutoa sababu na huwatumbua atakavyo bila kuwajibika kutoa sababu, yaani hiring and firing as she pleases kwasababu the appointment imefanywa with the president's pleasure hivyo kutumbua as she pleases na hatuna haki kuuliza sababu!, huku ni kumuingilia rais!. Hakuna rais aliyeteua na kutumbua kama JPM, na sikumbuki kuona watu wakidemand kuambiwa sababu kama sasa.

Kwenye uteuzi na utumbuzi wa majipu, enzi za JPM, mimi nilipandisha hoja hoja zaidi ya 100!, nakuwekea baadhi kwa wenye muda

  1. Jee sasa should we demand more right to Information kwenye teuzi za key posts?. Sasa hivi tunaishi kwenye the world of information power, jee sasa tuhitaji rais akiteua, atoe za kumteua fulani kwenye key posts, na siku akimtumbua, pia atoe sababu?, au tuendelee na utaratibu wetu, wa rais kujiteulia yoyote bila kutoa sababu kwa yeyote na siku akitumbua, ni kujitumbulia tuu bila kutoa sababu yoyote hata kama mtumbuliwa hana kosa lolote?. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!, hivyo hata huu utumbuaji tusihoji?.
  2. Jee teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Kama posts za majaji, Gavana wa BOT, GAG, zina kipengele cha a security of tenure, rais anaweza kuwateua tuu lakini hawezi kutengua, ili wafanye kazi kwa mujibu wa kuwajibika na sio kuteuliwa kwa hisani, hivyo kuwajibika kwa hisani ya kutegemea huruma ya mteuzi hivyo kufanya kazi kwa nidhamu ya woga ?
  3. Should we adopt the American System of Government Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Watanzania wenye sifa waombe, wachujwe, wateuliwe, waidhinishwe na Bunge na kutimiza majukumu yao bila kutegemea hisani ya mtu yoyote?.
Paskali
Ni sawa lakini tusiwe na wasiwasi huyu Dipromatic anaenda kuwa matawi ya Juu huko UN. Wivu tu ndio chanzo.
 
Katiba ya Warioba ime-address mambo haya kwa mapana sana, ila sioni Rais akiikubali hii hoja, sababu mfumo wetu wa kiutawala umejengwa kutengeneza fear and loyalty.

Ili haya mambo yawe na tija, ni lazima taasisi zingine kama bunge ziwe imara na zenye weledi. Bila kuwepo na uimara wa kitaasisi, bado tatizo litajirudia tu kwa sababu bunge au mahakama linaweza kuwa rubber stamp ya taasisi ya urais.

Bila kumpunguzia Rais madaraka makubwa aliyopewa kikatiba, tutakuwa tunaelekea kwenye "Road to nowhere"

KATIBA MPYA ndo tiba pekee Tanzania, na haipendwi na watawala kwa sababu inampa mwananchi sauti kubwa.
 
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri Wasiwe Wabunge ili Wawajibike Bungeni?.

Tangu kutumbuliwa kwa Top Diplomat No. 1 kwa Tanzania, Waziri wa Nje, Balozi Liberata Mulamula, bila kutolewa sababu zozote, huku kwenye mitandao ya kijamii kumelipuka kila mtu akisema lake na watu kuzua sababu mara ni Mama kupandishwa "School Bus London", mara "She is American Subject", mara "ni wivu wa kike kwani Balozi apige picha na naniliu, alipaswa pale awe mama, hivyo mama amemind", mara... mara, mara alumuradi kila mtu anasema lwakwe!,

Tanzani tumepata uhuru toka kwa Waingereza, hivyo tukaiga mfumo wa serikali wa Uingereza ambapo mawaziri ni wabunge. Katiba yetu oia ikampa rais mamlaka ya kuteua wasaidizi wake atakavyo bila kutoa sababu na huwatumbua atakavyo bila kuwajibika kutoa sababu, yaani hiring and firing as she pleases kwasababu the appointment imefanywa with the president's pleasure hivyo kutumbua as she pleases na hatuna haki kuuliza sababu!, huku ni kumuingilia rais!. Hakuna rais aliyeteua na kutumbua kama JPM, na sikumbuki kuona watu wakidemand kuambiwa sababu kama sasa.

Kwenye uteuzi na utumbuzi wa majipu, enzi za JPM, mimi nilipandisha hoja hoja zaidi ya 100!, nakuwekea baadhi kwa wenye muda

  1. Jee sasa should we demand more right to Information kwenye teuzi za key posts?. Sasa hivi tunaishi kwenye the world of information power, jee sasa tuhitaji rais akiteua, atoe za kumteua fulani kwenye key posts, na siku akimtumbua, pia atoe sababu?, au tuendelee na utaratibu wetu, wa rais kujiteulia yoyote bila kutoa sababu kwa yeyote na siku akitumbua, ni kujitumbulia tuu bila kutoa sababu yoyote hata kama mtumbuliwa hana kosa lolote?. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!, hivyo hata huu utumbuaji tusihoji?.
  2. Jee teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Kama posts za majaji, Gavana wa BOT, GAG, zina kipengele cha a security of tenure, rais anaweza kuwateua tuu lakini hawezi kutengua, ili wafanye kazi kwa mujibu wa kuwajibika na sio kuteuliwa kwa hisani, hivyo kuwajibika kwa hisani ya kutegemea huruma ya mteuzi hivyo kufanya kazi kwa nidhamu ya woga ?
  3. Should we adopt the American System of Government Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Watanzania wenye sifa waombe, wachujwe, wateuliwe, waidhinishwe na Bunge na kutimiza majukumu yao bila kutegemea hisani ya mtu yoyote?.
Paskali
Kama tungekuwa na bunge sawa ila sasa tuna kundi lililoteuliwa na mwehu mmoja linalojiita bunge
 
Ni kweli, mawaziri waliopo wame badilishiwa vitengo mara kwa mara bila sababu yoyote kutolewa. Sambamba na hayo sitegemei serikali kuanza kutoa sababu za kuteua watumishi wa umma ila huu ni muda muafaka kutazama kama uteuzi unaofanywa unaendana na "skill sets" za wahusika. Kwa mfano, kama umeteuliwa kuwa waziri wa afya ni muhimu uwe na uzoefu na ufahamu wa kutosha unaojitokeza baada ya kufanya shughuli mbalimbali kwenye sekta hiyo kwa muda mrefu. Uzoefu huu na ufahamu huu ni muhimu sana kwa kiongozi yeyote anaye tegemewa kushika wadhifa huo. Sio sahihi kwa mawaziri kuchukuliwa kama wanasiasa wanaoweza kuongoza wizara yoyote kwa wakati wowote bila kuwa na uzoefu wa kutosha na muda wa kutosha kutekeleza dira yao katika sekta husika. Tunatakiwa tuanze kufikiria kuwa na mawaziri ambao wapo kama CEOs. Wanaoweza kuendesha wizara wakiwa na mipango na muda wa kutosha kubadilisha sekta zao au kubuni mambo mbalimbali yanayoweza kuleta matokeo chanya.
 
Back
Top Bottom