KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL) imekanusha kuhusika na vichwa 11 vilivyoshushwa na kutelekezwa katika Bandari ya Dar es Salaam hivi karibuni. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi...
Leo tarehe 27/12/2020 Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa Ruangwa amefika katika bandari ya Dar es Salaam
More to follow
=====
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...
Mabalozi wanaoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya Nchi wameelekezwa kujipanga, kushiriki na kutafuta fursa zitakazowezesha bidhaa mbalimbali za Tanzania kupata masoko ya uhakika...
Hizi siku tatu nimeshtuka kwamba tulikuwa tunaibiwa na watu wale wale tulioaminishwa niwazalendo.
Chama Cha mapinduzi lini mtatuondolea wezi Hawa kwenye mfumo? Nadhani ccm imekomaa na usajili wao...
Haya makundi tajwa hapo kwenye title Marehemu rais John Magufuli aliyabeba Sana na alitumia ujinga wao kujinufaisha kisiasa
Yani leo hii miji yote mikubwa imetapakaa Wamachinga hadi barabara kuu...
Wakuu baada ya kuwasalimia kwa kutanguliza uzalendo kama tunavyohimizwa na viongozi wetu, ningeomba kuiba muda wenu kidogo.
Nikiwa kama kijana wa nchi hii nafuatilia siasa zetu ili kufahamu...
Maajabu ya serikali hii na maigizo hayaishi. Vile vichwa vya treni tulivyoambiwa vimeokotwa bandarini na havina mwenyewe ni kichwa kimoja wapo kilichopata ajali kigoma na kuanguka.
Kumbe mwenyewe...
Mbunge wa zamani wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara ameibuka na kusema kuwa kuna genge la baadhi ya wanasiasa nchini walikuwa wanamshauri vibaya hayati Rais Magufuli vibaya kwa maslahi yao...
Kaandika hivi kupitia Twitter:
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ni Taasisi, napenda kuweka kumbukumbu sawa kuwa nimeomba radhi mimi binafsi na isihusishwe na Jumuiya, Chama au Taasisi...
Mark Mwandosya na Jakaya Kikwete ni marafiki wa siku nyingi na ni vijana wa Mwalimu Nyerere aliowapenda na kuwatuma kama wanae
Prof Mwandosya alimtuhumu Mwenyekiti wake wa chama kuwa amekuja na...
HISTORIA YA UTAWALA WA AWAMU YA TANO MWAKA 2015 MPAKA 2020
Utawala wa awamu ya tano ulianza mwaka 2015 mpaka 2020 ukiongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Katika utawala wake Rais huyo...
Wanabodi,
Kumewahi kuwepo kwa dhana ya urais ni kupokezana kati ya Bara na Visiwani na kati ya Rais Mkristo na rais Muislamu.
Jee hizi ni dhana tuu, ama kiukweli, zina karata ya turufu. katika...
Mgombea uwakilishi jimbo la Pandani kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Prof; Omar Fakih Hamad, ameibuka mshindi baada ya kupata kura 2361 dhidi ya kura 1934 alizopata mgombea wa CCM kwenye...
Waungwana, Shalom Shalom na kwa jamaa zangu Asalaam aleykum,
Kama ambavyo kichwa husika hapo juu kilivyo, wacha nisiwapotezee muda nijielekeze moja kwa moja kwenye maswali kwa Watanzania...
Palagamba awataka Watanzania kunyamaza kimya
JUMATATU , 4TH MAR , 2019
NA FATUMA MUNA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi amewataka Watanzania...
Ndugu zangu vijana wangu na wanaccm tuache unafki na ubishi usiokuwa na sababu. Hivi anayoyasema mwenyekiti Heri James kuna kipi kipya hapo? Tunabisha kitu gani kama kweli tunataka kulijenga taifa...
Rais Samia Suluhu Hassan una kila nafasi ya kuunda upya CCM yenye heshima na kuachana na wale wahuni wanafiki waliojaa kiburi majivuno na dharau.
Uamuzi wa kukumbukwa na historia uko mikononi...
Poleni na majukumu yote hapo wizarani.
Sina mengi sana ya kuandika ila ninao ushauri tu.
Nao ni,
Ninawashauri msitishe kuandaa rasilimali watu ya mafuta na gesi kwa sababu tayari wasomi wa kozi...