Naomba kuifahamu CV ya Mwenyekiti mpya wa UVCCM ndugu Kheri James

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,159
2,000
Wakuu baada ya kuwasalimia kwa kutanguliza uzalendo kama tunavyohimizwa na viongozi wetu, ningeomba kuiba muda wenu kidogo.

Nikiwa kama kijana wa nchi hii nafuatilia siasa zetu ili kufahamu mustakabali wa Taifa letu , siasa ndio msingi wa kila kitu katika nchi hii , wanasiasa ndio waamuzi wa mambo yote yanayotendwa kwenye nchi hii.

Ningependa kumfahamu Ndugu Kheri James , Mwanasiasa chipukizi .

Natanguliza shukrani .
 

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
May 10, 2012
5,290
2,000
Aliteuliwa kuwa DAS wailaya ya HAI ila akuripoti kazini(sababu zinafanafana na za bashite(JOKES) ) badala yake akateuliwa mwanahabari fulani kuziba nafasi yake

alikuwa katibu wa mbunge mmoja kanda ya ziwa

anauwezo mkubwa sana wa kuongoza ,anastahili kwenye hiyo nafasi


 

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,077
2,000
Kheri James mwaka 2008/ 2009 alikuwa kikosi cha JKT Makutupola,, ambapo HAKUMALIZA mafunzo na kuondoka hapo,, Nijuavyo mimi huyu alichukuliwa na TISS na pia ni ndugu wa ukoo wa Magufuli na kiongozi mmoja wa juu wizara ya fedha kama sikosei ni somebody "James"
Safiii.....Hakumaliza JKT......akachkuliwa TISS......Ukoo na Mkuu........mdogo wa mlipaji mkuuwa serikal.......James! CV kali.
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,413
2,000
Aliteuliwa kuwa DAS wailaya ya HAI ila akuripoti kazini(sababu zinafanafana na za bashite(JOKES) ) badala yake akateuliwa mwanahabari fulani kuziba nafasi yake

alikuwa katibu wa mbunge mmoja kanda ya ziwa

anauwezo mkubwa sana wa kuongoza ,anastahili kwenye hiyo nafasi


Watanzania wa leo tushaachana na habari za ma CV yenu, tunachohitaji ni performance tu. CV peleka vyuoni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom