GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Mark Mwandosya na Jakaya Kikwete ni marafiki wa siku nyingi na ni vijana wa Mwalimu Nyerere aliowapenda na kuwatuma kama wanae
Prof Mwandosya alimtuhumu Mwenyekiti wake wa chama kuwa amekuja na majina yake mfukoni ya wagombea Urais mwaka 2015 huku akidhibiti watu Wengine wasijadiliwe
Miaka sita baadae Kikwete anakili alikuwa na majina yake mfukoni kwa lengo nzuri tu moja na kubwa ni kudhibiti watu wenye umri mkubwa wa kizazi chake wawaachie vijana madaraka
Ni dhahiri akina Mizengo Pinda na Prof Mwandosya kwa hotuba ya jana ya kumuaga hayati Magufuli wamepata Jibu kamili kwanini Rafiki yao aliamua kuwakata majina
Ingawa Mwandosya alimpa ukweli Rafiki yake kuwa ana majina mfukoni bado Urafiki wao haujakoma na unaendelea