Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Closed
Kama nilivyosema jana kuwa leo kabla ya saa nane mchana nitaweka wazi unafiki wa Zitto katika suala la posho , suala ambalo halihitaji vikao vya Chama kulijadili isipokuwa vyombo vya habari na...
71 Reactions
2K Replies
126K Views
Wakuu poleni na pilikapilika za Mapokezi, hakika leo historia imeandikwa, sasa kwa vile mambo ni mengi na muda ni mchache naomba niingie moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Mapokezi mazito ya...
24 Reactions
2K Replies
79K Views
Kwako Paul Makonda, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Hongera na pole kwa jukumu ulilopewa la kuongoza jiji kubwa kuliko yote Tanzania. Ni imani yangu unalimudu jiji vizuri kabisa hata kuiridhisha...
29 Reactions
2K Replies
130K Views
Dowans suffers 3bn/- penalty former Richmonduli Daily News Reporter Daily News; Thursday,October 04, 2007 @00:02 TANZANIA Electric Supply Company (Tanesco) has asked 2.43 million US dollars...
0 Reactions
2K Replies
174K Views
  • Redirect
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika...
21 Reactions
Replies
Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul...
91 Reactions
2K Replies
152K Views
  • Closed
Hali inakuwa tete katika nchi yetu. Kanisani Parokia ya Olasit kumetokea mlipuko haijajulikana kama ni bomu au la ila watu wamejeruhiwa inasikitisha. Source: Radio Maria ================ Updates...
16 Reactions
2K Replies
124K Views
Kama kichwa kilivyo, Dr Slaa yupo live Star Tv kwenye kipindi cha Agenda 2015. ======== Update "Sina account Twitter, ila ninayo JamiiForums na Facebook ambazo ziko active". "Watu walitumia...
16 Reactions
2K Replies
157K Views
Habari wakuu, Leo Jumanne, tarehe 28 Julai, 2015, chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kitampokea rasmi Edward Lowassa kuwa mwanachama wake mpya kutoka chama tawala, tukio hili pia...
53 Reactions
2K Replies
157K Views
WanaJF, Leo ni tarehe 4/8/2015 siku ya Jumanne.Ni alfajiri njema kabisa ambapo Taifa litasimama wakati likishuhudia mkutano mkuu wa CHADEMA mshirika wa UKAWA utakaokuwa na kazi moja kubwa ya...
65 Reactions
2K Replies
163K Views
Saa tisa kamili kikao cha nne cha Mkutano wa kwanza wa Bunge la 11 kitaanza rasmi na kuhutubiwa Rais wa Tanzania John Magufuli. Mkutano huu utahudhuriwa na viongozi karibu wote wa juu akiwemo...
6 Reactions
2K Replies
165K Views
  • Closed
TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA CHANGU CHA CHADEMA 1. Utangulizi Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 - 22 Novemba...
108 Reactions
2K Replies
206K Views
Askofu Zakaria Kakobe leo akiwa kanisani kwenye ibada ya Christmas, katika kanisa la FGBF Mwenge jijini Dar es Salaam, amenukuliwa akituma salamu kwa Rais wa JMT, Dkt. John P. Magufuli. "Rais...
202 Reactions
2K Replies
218K Views
--Kwa Ufupi-- Wakili msomi Mhe. Tundu Lissu ameshinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata kura 1,411 kati ya kura 1,682 zilizopigwa, sawa na ushindi wa 88% ya kura zote. Katika...
82 Reactions
2K Replies
225K Views
  • Closed
  • Poll
Heshima mbele sana wakuu, Najaribu kuichungulia 2015 miezi ya october endapo mchuano utakuwa ni kati ya hawa vinara wawili ni nani atakuwa na nafasi kubwa ya kuukwaa urais wa nchi hii. Wote ni...
3 Reactions
2K Replies
165K Views
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!! Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na...
97 Reactions
2K Replies
154K Views
Wakuu, Kama ilivyo kawaida yetu kuwahabarisha kupitia hapa, tutaendelea kuwaletea kila kinachojiri, kuanzia kufunguliwa vituo vya kura, upigaji kura, flow ya wapiga kura, matukio yoyote...
16 Reactions
2K Replies
236K Views
  • Closed
Dalili zinaashiria CDM kuibuka na ushindi dhidi ya CCM. MODERATOR NAYE ANAJARIBU KUCHAKACHUA,,,, UKWELI NI KWAMBA CDM INAONGOZA. KURA ZA VIJIJINI MNAZOZIONA SIO HALISI KAMA ZILIVYO KWENYE...
22 Reactions
2K Replies
162K Views
Lowassa akihudhuria kikao Kamati kuu CHADEMA Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa, akisalimiana na viongozi na wanachama wa CHADEMA Hatimaye, Waziri Mkuu aliyejiuzulu...
44 Reactions
2K Replies
172K Views
Humu ndani, kuna watu wakiona Hayati Julius Nyerere, the First Preisdent wa URT anasemwa vibaya basi wanakuja juu!! Kinachonikera mimi, ni wengi wao kuhusisha na imani za dini! Kwamba, mtu...
85 Reactions
2K Replies
131K Views
Back
Top Bottom