Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wakurogwa, May 5, 2013.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2013
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hali inakuwa tete katika nchi yetu. Kanisani Parokia ya Olasit kumetokea mlipuko haijajulikana kama ni bomu au la ila watu wamejeruhiwa inasikitisha.

  Source: Radio Maria

  ================
  Updates
  ================

  Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema akiwa na mbunge wa Arumeru, Joshua Nassari wametoa damu kwa ajili ya majeruhi walioumia katika tukio la kulipukiwa na bomu katika Kanisa Katoliki Olasiti Arusha.

  Lema amewahimiza wakazi wa Arusha na vijana kujitolea kwa wingi kuchangia damu ili kuokoa majeruhi.

  ===========================
  Matukio katika Picha
  ===========================  - Waziri Mkuu, Pinda ametembelea eneo la tukio

  - Watu sita (6) wanashikiliwa na Polisi wakihojiwa kuhusiana na tukio hilo (kwa mujibu wa Waziri Nchimbi)
  -Watu zaidi ya 70 wajeruhiwa na watatu kupoteza maisha.
   

  Attached Files:

 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2013
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,928
  Likes Received: 2,687
  Trophy Points: 280
  Poleni.

  Vp hakuna vifo km ukiweza weka picha
  Mkuu maana hii Nchi si salama tena.

   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  [​IMG]Reuters – 3 mins 58 secs ago

  DAR ES SALAAM (Reuters) - A suspected bomb attack on a new Catholic church in the northern Tanzanian town of Arushakilled at least one person and wounded dozens of others on Sunday, police said.

  The Vatican's ambassador to Tanzania, Archbishop Francisco Montecillo Padilla, was attending the official opening of the church when the explosion occurred, but escaped unharmed.

  If a bomb blast is proven, it will mark an escalation in sectarian tensions in east Africa's second biggest economy.


  "Some kind of explosion went off at the church. It is believed to have been a bomb but we don't know what type of bomb it was," police spokesperson Advera Senso said.

  One person was arrested after the blast, which killed a woman and wounded 57 other people, Senso said.

  A Vatican embassy official said he had been in contact with Padilla. "He is personally fine," the official said.


  Two Christian leaders were killed in Tanzania's semi-autonomous, predominantly Muslim islands of Zanzibar earlier this year and there have been attacks on Muslim leaders and mosques. Arusha lies near the snow-capped peak of Mount Kilimanjaro in a part of Tanzania that is predominantly Christian.


  (Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by Richard Lough and Mark Trevelyan)
   
 4. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2013
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu wangapi wamekufa?
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2013
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,828
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Ni parokia ya olasiti na radio maria ndio wametoa na bado wanaendelea kutoa coverage ya tukio hilo. Ningewapa update ila huku kwangu umeme umekatika
   
 6. MY LOVE

  MY LOVE Senior Member

  #6
  May 5, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mbona habari haijitoshelezi? mlipuko wa nini? saa ngapi? madhara yaliyotokea ni nini? majeruhi wapo na ni wangapi?
   
 7. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2013
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,284
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
 8. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2013
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,284
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa nasikiliza radio maria nikasikia mlipuko, na mtangazaji anaelezea tukio.

  Balozi wa Baba Mtakatifu alikuwa anafungua parokia hiyo, na wakati tu anaanza ibada, mlipuko mkubwa wa bomu umetokea na kuna watu wamejeruhiwa vibaya na inawezekana kuna vifo.
   
 9. appoh

  appoh JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2013
  Joined: Mar 14, 2013
  Messages: 4,923
  Likes Received: 814
  Trophy Points: 280
  hali mbaya sana ni mlipuko mkubwa nipo hapa
   
 10. CANIMITO

  CANIMITO JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2013
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 1,818
  Likes Received: 1,489
  Trophy Points: 280
  Poleni sana wote mliopatwa na hilo. Tuna serikali sikivu,naamini itaundwa 'TUME' na kuja na majibu,wakati huo tukiendelea kusikia 'matamko' mbalimbali toka kwa viongozi wa dini na wana'harakati.
   
 11. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2013
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14,380
  Likes Received: 2,521
  Trophy Points: 280
  Ishu ya meno ya tembo ndo isha dailutiwa ivyo.
   
 12. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2013
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 612
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kanisa lipi hilo?
   
 13. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2013
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,783
  Likes Received: 624
  Trophy Points: 280
  wapi hapo?
   
 14. g

  gagonza JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2013
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 309
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kulikuwa na uzinduzi wa parokia ya olasit mlipuko mkubwa unadhaniwa ni mabomu watu wengi wamejeruiiwa na wengine wamekufa.
   
 15. g

  gagonza JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2013
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 309
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kulikuwa na uzinduzi wa parokia ya olasit mlipuko mkubwa umetokea unadhaniwa ni mabomu watu wengi wamejeruiiwa na wengine wamekufa.
   
 16. E

  Earthmover JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2013
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 12,683
  Likes Received: 3,224
  Trophy Points: 280
  Mkuu funguka zaidi...
   
 17. K

  Kijitonyama JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2013
  Joined: Apr 9, 2013
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nasikia ila hawajajua ni nini. Ni mbinu za ccm kuzuia mikutano
   
 18. K

  Kilalo Member

  #18
  May 5, 2013
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu tusaidie na hawa watu. Jambo la ajabu utasikia kikundi cha wahuni wachache wasiofahamika na wala si waislmu (IGP, DCI na DPP)
   
 19. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2013
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,928
  Likes Received: 2,687
  Trophy Points: 280
  Picha kama inawezekana
  Hakuna vifo mliopo hapo ?
   
 20. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2013
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,647
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Tufafanulie ndugu, tafadhali sana. Je mlipuko wa nini? Umesabishwa na nini? Wakati gani (wakati wa misa, kabla au baada)? Nani anahusika? Hizi habari nyigine........
  KWA USHAURI TU: ukitaka kuandika habari, andika ikamilike. Tambua ya kwamba wanaotumia Jamii Forums ni watu wenye akili timamu, na wengine wananyadhifa kubwa sana serikalini. Hivyo kuandika sawia itawapa mwanga.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...