Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mayoscissors, Jun 27, 2012.

 1. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!

  Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.

  Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).

  UPDATE:
  Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!

  Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.

  [​IMG][​IMG][​IMG]

  [​IMG]
  PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
  Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!

   

  Attached Files:

 2. h

  hans79 JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Tupo Iraq nini!
   
 3. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  mh! sidhani kama that can be the case, labda useme amekamatwa. kutekwa?
   
 4. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wenye silaha ni maaskari na usalama, Dr Ulimboka hana biashara yoyote anayofanya imfanye atekwe, hana pesa hana kitu ni maskini tuu, sasa swali kuu ni nani aliyemteka? Ni government agent na ni specific na issue ya madokta full stop.

  Aand then what next.....the doktas are still ndani ya mgomo baridi
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Watakuwa wapuuzi kweli wakimteka. Labda kukamatwa kwa kuvunja sheria. But does it help?
   
 6. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa mbona hao jamaa kwa kitendo hicho ndio wanaibua ajenda mpya sasa!!!!!!!!!
   
 7. M

  Malolella JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapo serikali ndo inapojitia kitanzi.
   
 8. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  yaan serikali hapo ndo inapochemka!what do u think ikitangazwa kuwa amekamatwa au kitekwa,nchi haitatawalika jamani,mark my word!
   
 9. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Duuu sasa hili balaa.
   
 10. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndio maamuzi mabovu ya serikali. Bado walimu na kitawaka tu.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Sina hakika na ukweli wa habari hii!
  Kwa uhusiano alionao na serikali hii, saa sita ya usiku anaenda kufanya 'reconciliation' na 'mtu' wa serikali? Tena peke yake bila viongozi wenzie? Atakuwa wa ajabu basi!
   
 12. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kama habari hii ni ya kweli, Suluhisho la ukweli halitokani na kuteka watu, ni kwa kuwapa madaktari haki yao.

  Serikali badala ya kuteka mafisadi inateka wanaodai maslahi yao. Aibu!. Baadhi ya madai ya madaktari ni ya Msingi, wanataka huduma ziboreshwe hospitalini, wanataka wasiwaandikie watu aspirini wakati wanahitaji dawa ya malaria isiyokuwepo.

  Haya ni madai ya haki, hayatatatuliwa kwa kuteka watu.
   
 13. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kiswahili kinakusumbua wewe? angekuwa amekamatwa ungejua yuko wapi na ni nani kafanya hivyo

   
 14. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kama ni kweli,hapo ndio serekali inawasukuma madaktari kugoma kwa nguvu zote..
   
 15. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Inanikumbusha utawala wa Moi Bwana Ouko alipopotea kwa Staili hii.... Sasa kama Mr Dhaifu naye anafuata njia hizi hizi kufunika Uozo wake hii ni hatari zaidi ya Ukoma
   
 16. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  sidhani kama kikwete atamaliza mda wake, inabidi apewe ulinzi mkali mana anaweza kujinyonga!
   
 17. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  ma Dr wapo tayari kwa mazungumzo ya dhati, hiyo njia wanayotumia serikali italeta tatizo la pili.
   
 18. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Serikali ya ccm angalieni sana! Kumwaga damu sio suluhisho la matatizo! Mkimuua huyo ndio chanzo cha migogoro zaidi!!!
   
 19. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,282
  Trophy Points: 280
  Madaktari please! Tupe taarifa
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,405
  Trophy Points: 280
  Du imbombo ngafu ni simple kuwatrack hao waliomkamata kupitia call records zao tu mpaka watajulikana.
   
Loading...