Dkt. Bashiru sio puto kutishwa na pini

Asha Ommary

Member
Sep 1, 2020
97
90
a97c8969-86ed-448e-8cfa-4c6a8387eeaa.jpg

Nikiona hiki nakumbuka ile picha ya vijana wakikata mbuyu kwa shoka kwa lugha rahisi ni biashara ya kipuuzi na kijinga.

Ni kweli Goliath alidondoshwa na manati ila sio kumdondosha Bashiru kwa akaunti Feki za mitandaoni

Nisiwachoshe kueleza uimara wa Bashiru kwakua umedhihirika kwa vitendo viliotanguliwa na maneno yake, ngoja akafanye kazi aliotumwa bungeni.

MTI WENYE MATUNDA NDIO HUPIGWA MAWE.
 
View attachment 1741969

😀😀😀😀😀 huyo mwizi lazima akome
 
Naungana na wewe kupinga akaunti fake ya Bashiru, ila kumuita Bashiru mbuyu unajidanganya na kujilisha upepo. Bashiru ni mwepesi sana na yeye anajua hilo. Angekuwa mbuyu asingebadili msimamo kuhusu katiba na uendeshaji nchi Kwa sababu ya tonge alilolambishwa. Yeye si mbuyu ni mkate laini sana.
 
Tunatakiwa kuijadiri hii fake post, ama nini?

Bashiru ni Puto tu. Ndio maana Mama hakuona hatari kumtumbua mbele yake tena live on TV
 
Hiyo ndo account yake mkuu
Bashiru anabidi apewe demotion kubwa nyingine
 
Usitumie na wewe nguvu kutetea utopolo ulio hadharani.

Mbuyu ukitaka kuuangusha kwa shoka inawezekana. Ni suala la strategy na muda tu.
 
Bashiru ni UNYOYA tu...

Acha kufananisha MBUYU na vitu vya kijinga.
 
Tunatakiwa kuijadiri hii fake post, ama nini?

Bashiru ni Puto tu. Ndio maana Mama hakuona hatari kumtumbua mbele yake tena live on TV
Kwamba alitumbua jipu makalioni liende kuota kwapani sio? Maana katoka Ikulu kaenda Bungeni, anaona jamaa anabadirisha tu majengo ya serikali.
 
View attachment 1741969
Nikiona hiki nakumbuka ile picha ya vijana wakikata mbuyu kwa shoka kwa lugha rahisi ni biashara ya kipuuzi na kijinga.

Ni kweli Goliath alidondoshwa na manati ila sio kumdondosha Bashiru kwa akaunti Feki za mitandaoni

Nisiwachoshe kueleza uimara wa Bashiru kwakua umedhihirika kwa vitendo viliotanguliwa na maneno yake, ngoja akafanye kazi aliotumwa bungeni.

MTI WENYE MATUNDA NDIO HUPIGWA MAWE.
Mti gani huo wenye matunda. Hivi na bashiru unaweza kusema ana matunda au anabebwa na uchawi wake tu
 
Huyu acha pini, mbona pini kubwa sana, huyu atatishwa na unywele, ushawahi kunyoa kipara? Kunakuaga na vinywele flani vigumu hivi, wenye ndevu mtaelewa, eheee sasa kale ka ndevu kale ndio nikakosemea hapa. achana na sindno hio nywele tu hio itamtambua
 
Mti gani huo wenye matunda. Hivi na bashiru unaweza kusema ana matunda au anabebwa na uchawi wake tu
Aliyembeba hayupo.
Nashangaa sana. Bashiru alipompa onyo Makamba na Kinana.
Hata hakua mbunifu kuuliza kadi ya Makamba ya CCM Ni namba ngapi na yake Ni ya lini?
 
Back
Top Bottom