Makala ya Jenerali Ulimwengu: Magufuli na utawala wa madoido uliokosa mfumo

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,863
Katika makala iliyosomwa DW Ulimwengu amemsifia Magufuli kwa kuifumua bandari, TRA, kutimua wafanyakazi hewa, kurudisha heshima ofisi za umma. Lakini akasema serikali yoyote ingeweza kufanya hayo kama si chama hicho kutekwa mafidi...

Kwa upande wa wale wanaomkosoa, amesema wanaona ni mtu anayendesha nchi kwa madoido badala ya mfumo. Anasema kuzuia bunge live, kuchukua maamzi ya papo kwa papo, kutokubali kushauriwa na kwa sehemu fulani kudaiwa kutofuata sheria kwenye maamzi yake ni mambo yanayoongeza upinzani dhidi yake. Anasema miezi sita ya pili itaonyesha kama atashinda upinzani unaozidi kukua dhidi yake
 
Sasa hakuna madawa ya chanjo hospitali nyingi sana na hili linazidi kukua.....tunasubiri jeshi la mtu mmoja ambae hataki ushauri!! Naona hata mawaziri wake wote wako kimya wanamwachia yeye maana wanaogopa wasije wakaharibu! Namuona Mbarawa tu akihaha kote kote! Wengine wanasikilizia muziki nyuma ya speaker!!
 
Kama ushauri wenyewe niwa aina hii, bora Rais Magufuli asiuchukue kabisa!
 
Mawaziri wengi wanatenda mambo yao kimya ndo maana huwasikii hawapend kuandikwaandikwa na vyombo vya habari
 
Mr. President pumzi inakata taratibu mana kila akitafakari Nchi ya Viwanda anabaki kujikuna kichwa,na yanamjia mawazo ya kuhamia Dodoma hapo ndo anachanganyikiwa zaidi..huku upande wa pili walimu tunaongeza idadi ya Wanafunzi tupate hela ya sukari japo kuna watu wamemtonya na anahakiki wanafunzi hewa..ila kamwe hawezi shindana na mwenye njaa...mpaka aboreshe masilahi yetu
 
Msingi mkuu wa madaraka yake ni katiba
Ameapa kuilinda
Ameapa kuifuata

Lakin kinachotokea nikinyume chake.....
Akiendelea na utaratibu huu basi upinzan unakuwa na kuongezeka kwa kasi kubwa sana...kimahesabu unaongezeka exponentially.
 
Kama ushauri wenyewe niwa aina hii, bora Rais Magufuli asiuchukue kabisa!

1469858490819-jpg.373214
Huo wimbo ni zilipendwa hauna soko sasa
 
nakumbuka kipindi cha kampeni kuna mchambuzi mmoja aliwahi kusema makufuli ni mtu mwenye kiburi mno na hashauliki.
nadhani kwa kwasasa usemi wake umetimia na matokeo yake tumeanza kuyaona.
na wala sio ukawa wala ccm wote lazima tuiosome namba.
 
Shida rais wenu akikosolewa mnakimbia kumleta Lowassa. Tutaona kama baada ya miaka mitano mtawaambia watanzania mlishibdwa kuleta maendeleo kwa sabanu ya Lowassa
Hata wewe ni Rais wako, hapa nimejibu hoja yako ya kusema hata mawaziri wamekata tamaa siyo kweli. Hata kama JPM anachukua maamuzi ya papo kwa hapo lakini Ministers wengi wapi makini na kazi zao tatizo we unataka kila Waziri akifanya maamuzi umuone kwenye TV
 
Mkuu, mbona huwa humuweki kikwete akiwa Monduli kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2010...?
 
Fredrick Sumaye alikiri JPM ni mtendaji mzuri, lakini akaonya, " huyu mtu anahitaji kuwa nyuma ya mtu, lazima awepo wa kumshika mkono". tahadhari hii ilimaanisha nini?
 
Ulimwengu kaisha kabakiza hasira tu lazima akubali tu kwamba zama zao zimekwisha kabisa ni wakati wa kizazi kipya.
 
!
!
Mimi anayeniudhi huenda kuliko hata Magufuli, ni huyu mtu anaitwa Makondakta. Aisee huyu jamaa anapenda sifa daaah yaani sijui akitoka hapo alipo atafanya kazi gani na wapi, maana huu ni uteuzi tu. Anyway anamtumikia bwana wake.
Pamoja Sana mkuu,hata DC Hapi alianza kunichefua Ila sasa katulia Kidogo,mbaya zaidi makondraa upstairs ni ombwe (vacuum) ! Anajichoresha sasa kwenye social networks!!
 
Back
Top Bottom