Habari wakuu
Mimi binafsi sioni sababu ya kuleta uhasama wa vyama katika nchi yetu yenye Amani, hii dunia tunapita tu, kuleteana ubabe na ujuaji ni kujitengenezea jehanu yako.
Mh jaribu kuwaita...
Nashangazwa na serikali hasa ukizingatia wameweka wasomi wengi sana. Kwasababu ya mazoea wasomi wetu sio wabunifu na hakuna sera siku hizi na mapingo mizuri zaidi ya kumsubiria Magufuli anasema...
Tarehe 28 Machi niliandika mada kuhusu Umagufuli bila Magufuli au Magufulism without Magufuli.
https://www.jamiiforums.com/threads/umagufuli-bila-magufuli-utaendelea.1852857/
Leo Aprili 6 2021...
Ili uondoe chuki ambayo ipo mioyoni mwa watu basi sasa ni wakati wa wale wote ambao walitumia madaraka vibaya wafikishwe mahakamani na kupata haki zao.
Hawa ni wale walioshiriki kwa namna moja au...
Mzee Mwandosya ametoa ushuhuda na shukrani baada ya kupata maradhi yaletwayo na virus vya covid 19, anaomba tuchukue taadhara, anakiri asingependa yampate Mtanzania yoyote hata akiwa ni adui yake...
Kipindi cha miaka mitano na ushee, sheria na taratibu nyingi zilivurugwa. Kiufupi heshima juu ya Katiba na Sheria zilipuuzwa na wakati fulani zilitungwa sheria kuhakikisha mafanikio yanapatikana...
Hotuba ya mama inatoa uelekeo wa Tanzania mpya. Ameongea mambo mengi lakini nitatoa maoni kwenye manne;
1. KODI Mama hataki matumizi ya nguvu kwenye kodi. Anajua wafanyabiashara wanatishwa kupewa...
Watanzania hatuna utamaduni wa kufundisha vijana wetu jinsi ya kujieleza na kuongea mbele ya watu. Hii inasababisha sana hata wataalamu wetu wengi kuonekana kama vile hawana utaalamu. Wenzetu...
Spika wa Bunge Bwana Job Ndugai, bila kujali umeingia Bungeni kihalali au la na bila kuangalia Bunge lenyewe hili la 2020-25 limezaliwa kwa haki au hapana, ulipaswa kutafakari kwa kina je baada ya...
Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan anewasili Zanzibar leo akitokea Jijini Dar es salaam
Siku ya kesho atahudhuria maadhimisho ya siku ya mashujaa (Karume Day) katika ofisi za...
Mh Raisi kwanza nimefurahi kugundua juzi hukulala unapitia Jamiiforum na Twiter
https://emoji.tapatalk-cdn.com/emoji122.png
https://emoji.tapatalk-cdn.com/emoji122.png
naamini hata huu ujumbe...
Ninawaslimu Members wote humu
Kabla ya kujikita kwenye mada naomba nirejee kumbukumbu chache juu ya ujenzi wa UKUTA WA MERERANI
DONDOO
Ukuta huo una urefu wa kilomita 24.5
Ukuta huo un urefu...
Ndio.
Kila nikitafakari uongozi wa mwendazake, ni kuwa alipanda MBEGU za kujimaliza mwenyewe na hatimae kifo chake.
Katika nchi yeyote, Kuna Mambo ambayo ni tunu za taifa Hilo.
Kwa Tanzania...
Kuwa mtoto wa mama kuna raha sana,
Hivi unajua mama anavyodekeza eeh hasa kwa watoto wake sasa imagine unakuwa mtoto wa mama yaani ni full kudeka, ukiwa mtoto wa mama mtoto wa jirani akikufinya...
Ni ushauri mzuri kabisa ambao kama ukifuatwa basi mambo ya kubambikia kesi watu na walipakodi kuonewa kutakwisha. Hii kitu Lissu aliisema sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango amewasili Jijini Dodoma akitokea Dar es Salaam alikohudhuria hafla ya uapisho wa Makatibu Wakuu, Manaibu...
Wengi hudhani unavyokiona ndivyo kilivyo bila utafiti na takwimu za kutosha na kutolea maamuzi.
Angalia sasa tunainamisha nyuso kabla hata jua halijachomoza. Watz tumezidi kukurupuka hata kabla...
Huko nyuma, wale watu waliokutwa na virusi vyenye kusababisha ukimwi au ubakwaji, walikuwa wanaitwa waathirka (victims). Lakini kadri muda unavyoenda imegundulika hizi ni lugha zenye kurudisha...
Tume ya Uchaguzi (NEC) imetupilia mbali pingamizi lililowekea na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muhambwe (CCM) Dkt. AFlorence George Samizi dhidi ya Mgombea wa ACT-Wazalendo, Masabo Julius Joseph...