Anderson Ndambo
Senior Member
- Jun 3, 2017
- 152
- 207
Habari za hivi punde ni kwamba, Gazeti la Mawio limefunguwa kwa miezi 24 kutokana na kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete kwenye mikataba ya madini
Ila hawa MAWIO inabidi wafungiwe maisha. Ni wachochezi na wazandikiNilijua tu yangetokea haya baada ya mkulu kuzungumzia ishu ya magazeti Jana
Hahahahahaaaaa. Ulitaka afanyeje kwa uchochezi wa Mawio!Mwakyembe ana mihemko ya kitoto sana
Sasa hivi ukicheza vibaya unachapwa viboko papo hapoHukumu za nyakati hizi zina ukakasi kwakeli ....
Watu wana hukumiana utafikiri hakuna kesho dah!
Polonium imemletea unrecoverable damage huyu jamaa...Jinga sn hili jamaa....dawa ni kulinyonyoa tena nywele. Wasivyolipenda Kyela mpaka aibu
Kwani jana hawakuonywa kuhusu taarifa hiyo?ni kiburi au majaribu?Uhuru wa habari nchi zetu bado sana. Hadi aibu.