Mh Raisi kwanza nimefurahi kugundua juzi hukulala unapitia Jamiiforum na Twiter
naamini hata huu ujumbe utaupata
Mh Raisi sitotaja jina la mhusika samahan kwa hilo
Mimi nafanya kazi kwenye sekta ya ulinz(usalama) kuna bos wetu ni mtu mkubwa naamini utakuwa unamjua
Mwaka 2015 alipaswa kuchukua cheo kikubwa sana hapa kazini ila watu wakampiga fitna kuwa ni team Membe hivyo badala ya kupanda cheo akapelekwa DRC kama diplomat akakaa kule miaka mitatu
Aliporud tulitarajia ye ndo atachukua uongozi kwa sababu anawazid wakubwa kila kitu kuanzia elim/uelewa mpk uchapakazi ila tukashangaa hakupangiwa kazi yoyote akawa ana report tu kazin bila kupangiwa kazi yoyote
Ghafla tukaanza kusikia tetesi kuwa anapigwa vita sababu anaonekana ni threat kwa wakubwa(kicheo)
Mwanzo tuliona kaka utani mpk pale kweli alipoundiiwa zengwe
Mwaka janaa alichukuliwa na kikosi kaz kisha wakaenda kwake wakakagua kila kitu na kutaifisha vitu(electronic) zote zilizokuwa kwake mpk tablet za watoto
Mh Raisi huwez amin kuwa huyu bwana alipelekwa kule tunakotesea watu na aliwekwa kule 2month akiteswa na kulazimishwa akiri kuwa yeye ndo Kigogo au yeye ndo anampa info Kigogo
Sasa swali linabaki kama ye ndo Kigogo au ye ndo anampa info Kigogo iweje wakat wote waliokuwa wamemshikiria bado Kigogo aliendela kupost info za serikali? Ndo ujue alihujumiwa
Baada ya miez miwili kwa report tulizopata walitaka kummaliza ila kwa sababu ni mtu mkubwa ikabid wampigie sm Anko kuomba ruhusa na yeye akampigia huyu bwana waliyempa kazi ya kukagua serikali(sababu amemuoa mdogo wake huyo usalama) na huyu mkaguzi ndo alimwmba mkuu amsamehe
Huyu bwana akaachiwa ila pasport na acc zake za bank zote walizifreeze so jamaa yupo tu hana kazi na kibaya amewekewa watu wa kumfatilia nyend zake 24/7 sasa hayo sio matimizi mabaya ya pesa za walipa kodi?
Mm nadhani mama hili swala lifatilia na haki ipatikane! Kama kweli huyu bwana ndo kigogo bas ashtakiwe kwa misingi ya sheria ila kama sio kigogo bas atendewe haki
Naomba jf mods msifute huuu uzi pls